Mwanamuziki wa kutoka Nairobi Jackson Ngechu Makini maarufu kama 'Prezzo' anadaiwa kufikishwa katika Hospitali ya Karen baada ya kudungwa sindano yenye dawa za kulevya kisha kubakwa na kundi la...
Jamaa no mbunifu sana. Wimbo japo kuna watu wanajaribu kuudis but tayari ni gumzo kila kona ya hii nchi. Vibanda vyote vinavyoingiza nyimbo kwenye simu, memori card, na hata flash siku mbili hizi...
Leo wakati diamond na crew nzima ya wasafi pamoja na baadhi ya wasanii wakifanya press conference ya kutoa shukrani zao kwa mashabiki kwa kuudhuria kwa wingi Sana pamoja na wadhamini waliosponsor...
Mdogo Wangu Ally Kiba acha uzazwa, umoja ni nguvu. Wizkid na mafanikio yote yuko humble na ameweza kuonesha upendo kwa kuimba na Diamond Platnumz lakini wewe unajiona mkubwa kuliko Wizkid. Kaka...
Mapenzi bwana, mwingizaji maarufu Ebitoke amevamia mkutano aliofanya mpenzi wake wa zamani bwana Mlela akimtuhumu kumlaghai
Katika purukushani hizo Ebitoke ambaye alifuatana na kaka yake,Kaka wa...
Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete ameponda Diamond na Ali Kiba kuwa na bifu akisema zinaweza kusababisha madhara makubwa akitolea mfano bifu ya Tupac na notorious big
Pia amesema mzee wake...
Mimi ni mmoja kati ya watu wanaovutiwa sana na video nzuri za muziki hasa hapa bongo na Africa kwa ujumla. Video zilizopangiliwa kuanzia story au ubora wa picha nk.
Kwangu hawa ni director's...
Najua ni sehemu ya siasa lakini Mods we need something for a change at least for a weekend then mnaweza kuihamisha jumapili ikisha
Haya watoto wa mjini hebu tuambieni kuna sehemu inachai nzuri...
Nadhani kwa tuliyoyaona jana pale viwanja vya posta kijitonyama ni dhahiri kusema umefika sasa wakat wasanii wafaidike na kazi zao na waishi maisha halisi,wame fake imetosha ni wakati wa wao...
Niliangalia clip ya Ebitoke akivamia press conference ya Mlela nimewaona hawa ndugu zetu hili suala wamelipanga makusudi ili wapate kiki.
Hivi hawa bongo movies kwanini wasitumie nguvu zao...
Yani wabongo sijui tutaelimika lini, yani mtu kisa tu wimbo unatrend namba moja youtube basi anashikiwa akili na kuamini kuwa huo ndiyo wimbo bora.
Kuntrend kunaweza sababishwa na uzuri wa video...
Nimepitia kidogo mitandaoni nimeona watu wanaitukana couple ya Yusuf mlela na ebitoke eti hawaendani hii imenishangaza Sana kwani couple ziendane inatakiwa iweje?sisi watanzania sijui tumeumbwaje...
Please mod usiuunganishe Uzi wangu.
MTAZAMO WANGU WA SHOW YA JANA
Jana wasafi festival waliiteka dar nzima na east Africa kwa ujumla.kiukweli waliofanya vizuri ni wengi Sana siwezi kuweka...
Wakati macho na masikio ya Watanzania wakisubiri kusikia hatma ya wasanii wanaodaiwa
kujihusisha na dawa za kulevya, wasanii wanne waliofika Kituo Kikuu cha Polisi bado wanashikiliwa na jeshi hilo...
Huyu bwana ana maajabu yake kiufupi hajitambui
1. Anatambulisha msanii mpya wakati wale wa zamani hawajulikani na % kubwa ya wananchi wao wenyewe hadi nyimbo zao
.
2. Anatambulisha msanii mpya...
Hongera sana Diamond [emoji119] kwa kunyakua tuzo umeendelea kuonesha umwamba wako kwenye muziki. Huyu jamaa inatakiwa aheshimiwe tu ametutoa mbalii saana kimuziki.
Hongera na Ommy Dimpoz best...
Kitambo kidogo mwanamuziki wa kizazi kipya, Harmorapa, ambaye sasa hajulikani yuko wapi, alikuja na kibao chake matata kilichoenda kwa jina la 'Nundu'. alisifia manundu mbalimbali humo kutoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.