Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

TAARIFA: Mashaka aliugua ghafla usiku ndipo wakamkimbiza hospitali ya Amana kwa ajili ya matibabu na ilipofika asubuhi hali yake ikabadilika. Madaktari walitoa rufaa ya kumpelekea katika...
7 Reactions
140 Replies
29K Views
Hiv karibuni wakati Diamond akifanya press conference ya kuzindua tamasha lake la Wasafi Festival akaulizwa swali na mwandishi "Ali Kiba hivi atakuwepo? Diamond akamjibu bifu hazisaidii kitu...
23 Reactions
62 Replies
7K Views
Habarini za muda huu wakuu. Natumai mu wazima wa afya. Kijana wenu nimejitupa jamvini leo nikiwa nahitaji tujadili kidogo namna sanaa ya nchi yetu inavyokwenda. Kijana wenu nilijaaliwa kusoma...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mtangazaji maarufu wa East Africa redio, Zembwela amejiunga rasmi Leo na Wasafi FM Ameungana na Maulid Kitenge katika kipindi cha Magazetini wakichambua wote habari hizo
23 Reactions
125 Replies
21K Views
Hello guys Nimeshangaa kuona Posh Queen anakuwa interviewed na Diva the Bawse wa Clouds. who is she? Ana kipaji gani? Achievements zake kubwa za kuishangaza Tanzania ni zipi? Au umaarufu wake...
12 Reactions
104 Replies
28K Views
Ni miezi 6 imepita tangu mzee mengi afariki. Kama kuna kitu chochote unachokikumbuka kuhusu mzee mengi tupia kwenye huu uzi.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hakika umeonesha utu,hata kama una mapungufu yako.Sisi sote tunayo mapungufu. --- Diamond Platnumz amezungumzia kilichoandikwa na msanii mwenzake, Ali Kiba katika mtandao wake wa kijamii wa...
5 Reactions
86 Replies
9K Views
Wasalaam wana jamvi! Ni ukweli usio pingika au usio fichika kwa sasa hakuna maelewano mazuri kati ya Msanii Alikiba na Meneja wake mkuu Bi Seven Mosha. Malumbano kati ya Alikiba na Seven Mosha...
5 Reactions
63 Replies
13K Views
Wanabodi. Hayo mapokezi ya Diamond ni makubwa sana amepewa heshima kubwa mno hakuna msanii tanzania aliewahi kupokelewa vile ngoja tusubiri na rekodi atayovunja ya kufanya show indigo london...
7 Reactions
104 Replies
18K Views
Ila jamani huyu dogo janja anajitafutia ugonjwa wa moyo aje kufa bure siku si zake, sasa na yeye kwa akili zake kabisa akajua mwenyewe atamtuliza uwoya ? , namuonea huruma sana aiseeh Uwoya sasa...
15 Reactions
74 Replies
19K Views
Huyu mtu nashindwa kuelewa anakoelekea ni wapi sijui, maana kadiri siku zinavyozidi kwenda anazidi kuwa mtu asiye na busara hata kidogo, sijui ni mapombe ama bhange ndio zinamfanya kuwa hivi maana...
1 Reactions
34 Replies
6K Views
Kwa niliyoyasikia juu ya hawa Watatu ni mengi ila kati yao makubwa matatu yanahusu nyanja za kisiasa hasa kwa Uchaguzi Mkuu ujao wa mwaka 2020, chuki yenye kisasi dhidi ya Vyombo Viwili vikubwa...
0 Reactions
58 Replies
8K Views
Wakuu Habari. Hope mu wazima. Wakuu naona habari zinazo-trend Social Media ni kuhusu Wasafi Festival tu. Hasa ujio wa Wizkid, Innosb, Tiwa Savage nk Upande wa pili Cloud's na EFM kumepoa sana na...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Damini Ebunoluwa Ogulu maarufu kama 'Burna Boy' wengi wamemjua hivi karibuni lakini jamaa anatisha tokea mda kidogo, 2012 aliaachia single yake ya Like to Party kutoka katika album yake ya...
3 Reactions
38 Replies
6K Views
Mtandao wa Instagram umeendelea kujizolea umaarufu mkubwa duniani kote. Hapa kwetu, social network hii nayo si haba. Tumeshuhudia watu maarufu na hata watanzania wa kawaida kabisa wakitumia...
1 Reactions
32 Replies
7K Views
Ila nyumbu nyie bado ana ka mvuto flani hivi, sema basi tu huyo aliyemroga mtoto wa watu alimroga haswa , Wema is Beautiful, Wema is a star , Ana nyota , na ni kati ya mastaa wachache bongo wenye...
2 Reactions
85 Replies
12K Views
Hv huu ndio usanii au mi ndo nimepitwa na wakati? Huyu dada angu Manka nashindwa elewa mapozi ya picha zakee. Dah!!!
1 Reactions
45 Replies
18K Views
Habari zenu ndugu zangu Napenda kujua historia ya huyu producer mkongwe hapa nchini nimeangalia interview zake mbalimbali nimevutiwa na uwezo wake wa kuelezea vitu pia huyu jamaa ana content Sana...
5 Reactions
253 Replies
40K Views
Aman iwe nanyi Katika kitu ambacho wasanii wanabug step ni kumshilikisha Diamond kwenye ngoma zao jamaa huwa anawafunika sana hadi wanaonekana kuwa wao ndo wameshilikishwa Kwa mfano leo Jux...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Habari za muda huu wadau na wafuatiliaji wa habari za ma'celebrities..I hope mko poa. Naam..!!Bila kupoteza muda ngoja...
2 Reactions
35 Replies
8K Views
Back
Top Bottom