Mwanadada mbunge wa Segerea anaitwa Bonnah K Ladslaus ametoe pongezi za dhati kupitia mtandao wake wa Instagram kwa Diamond kwa kumuita baba lao kwenye show kali aliyofanya Jana kwenye tamasha...
kwa sasa kiwanda cha burudani kimechangamka na kimechangamshwa na uhasama wa Media houses mbalimbali za hapa nyumbani,
kila media sasa ina Tamasha lake, pia kuingiza mkono kwenye matamasha...
Habari za wakati huu ndugu, jamaa na wanabodi wengineo?? Ni imani yangu kuwa sote tu wazima wa afya na tunaendelea vyema na majukumu ya ujenzi wa taifa. Kwa wale ambao hawapo sawa kwa sababu za...
Wakuu habari.
I hope mko good.
Wadau niliona msanii Harmonize anatangaza kuwa atakuwa na show kule mkoani Shinyanga Jana tarehe 9 Nov,sijafuatilia tena nini kilijiri maana ni kimya kuanzia kwenye...
Habari za wakati huu wakuu.
Naomba kujua wako wapi hawa watu.
1. Prof Ludigo.
2. Mike T Mnyalu( Au alipata mkwanja na akawa mrefu ikawa balaa?)
3. Walume Ndago.
4. Mabaga Fresh.
5. Ispector...
Wasalaam wajamvi!
Msanii Alikiba a.k.a King Kiba amempa talaka tatu mkewe Amina raia wa kenya baada ya kushindwa kupata muafaka juu ya ugomvi wao na ndugu wa Alikiba na Mama wa Alikiba.
Ndoa ya...
Uongozi wa WCB chini ya Diamond ni moja kati ya lebo inayowanyanyasa na kuwanyonya wasanii wake na kuwasainisha mikataba ya kina Chief Mangungo isiyokuwa na haki na iliyojaa unyonyaji wa kupita...
Wadau, huyu mwimbaji wa FM Academia na sometimes mcheza bongo movie,hua namkubali sana mimi binafsi.
Aliwahi kuhojiwa ,akasema Kanumba aliniambia niingie kwenye bongo movie,kwa kuwa mimi ndio...
Nawapongeza wasafi kwa jitihada za kuwaleta kina medd, wizkid na tiwa savage katika tamasha la wasafi ila kama ilivyo kawaida wahudhuriaji wa show wamebaki tu kushangaa shangaa ni nini kinaendelea...
Idea ya tamasha la wasafi lilianzia kupitia mashabiki wa Diamond kwenye group la WhatsApp linaloitwa Wasafi fans lenye members laki 5 ambao walitoa hiyo idea ya kwanini Wasafi wasiwe na tamasha...
Tusisubiri mtu afe kama kanumba ndio tumpe sifa zake, tumpe leo leo, Kiukweli mafanikio ya Daimond platnumz yamekuwa ni mafanikio ya watu wengi sana.
Kijana sio mbinafsi anapenda kula keki yake...
Watu wanaomshabikia Kiba na kufikiria kumshusha Diamond wakiwemo mawingu watumie akili zaidi kuliko kutaka kupambana naye kwa vimaneno tu.
Diamond yupo mbali sana; kwanza kuanzisha hii Media...
Naona boss Diamond hataki kukubaliana na ukweli kuwa Kondeboy kaondoka katika umiliki wake mpaka kutaka kutumia nguvu kubwa kutaka kumzima dogo huku amesahau kuwa alimfundisha njia zote ili arithi...
Natumai mu wazaima wa Afya..
Hili ni tukio lilitokea leo katika mkutano wa alikiba aliokuwa akiongea na waandishi wa habari,
Kama umekuwa ukifuatilia katika mitandao ya kijamii, kijana huyu ame-...
Hatimae kile kitendawili cha muda mrefu cha Issue ya WASSAPE kutoingia Dar Es Salaam kwa takribani miaka10 kimeteguka.
Baada ya Camera zetu za makachero kumshuhudia kwenye daladala viunga vya...
Siku ya jana majira ya saa 12 jioni msanii Ali Kiba alizungumza na waandishi wa Habari pale Ramada Encore, akaeleza mikakati yake na Tour ya Alikiba Unforgetable pamoja na kumtambulisha msanii...
Leo ndo ile siku mfalme wa Bongo ata toa tamko rasmi,Na wadau wengi hatujui ni tamko gani ila ina semekana anataka kuzungumzia inshu ya kuibiwa penseli na mchiz wa tandale,,"inasemekana lakini"...
Msanii wa Bongo Fleva, Ali kiba kupitia akaunti yake ya Instagram ametangaza kufanya mkutano na wanahabari siku ya Ijumaa ya tarehe 8/11/2019 ambapo ni siku moja nyuma ya Tamasha la Wasafi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.