Romy Jones, binamu wa mwanamuziki Diamond Platnumz amezua maswali mtandaoni baada ya kusema ndugu yake huyo ana watoto watano badala ya wanne wanaotambulika na maelfu ya mashabiki zake jambo...
Nadhani hii itapelekea watu ambao hata hawakua na mpango wa kusafiri waaanze kutunga safari za uwongo na ukweli ilimradi tu wamiminiwe chai na Hamisa Mobetto, hii ni strategy ya kibiashara, tuache...
Ukisikia mtu anajiharibia basi kiba ni moja wapo, samaki akivuliwa huwa anakunjwa mapema wakati bado mbichi.
Sijui ni kwamba kawa kimya kwasababu amempoteza master mind Ruge, au ni kwavile...
Inasemekana jamaa ana mambo makubwa ila hayaweki wazi sababu Hapendi SHOW OFF ,amemuacha tu mpinzani wake diamond ajishebedue
1.Ana mchumba mombasa ila hataki aweke wazi kwani Hapendi SHOW OFF...
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia msanii wa Bongofleva nchini Tanzania, Rosa Ree kutojihusisha na muziki kwa miezi 6 kutokana na video ya wimbo wa Vitamin U aliyoshirikishwa na msanii...
Wakuu leo nataka tumalize ubishi unaoendea kati ya hawa vinyori nyori vigoli watoto wa uswazi /wapenda miguu ya kuku na mihogo ya kukaanga chipsi yai kwao ni haramu[emoji12] [emoji12] [emoji12]...
Habari wanajamii.
Nimekuja na swali hili baada ya kumsikiliza Ali Kiba alipotutangazia anakuja na kitu babukubwa tukamsubiri kwa hamu lakini alipoanza tu ile intro ni kama mtu anaeongea na masela...
Nikiwa nimekaa zangu nacheki game ya simba mara nikamuona Dr. Shika akikatiza huku akionekana yuko kihome-home zaid. Nikaanza kuwaza jinsi ambavyo hawa mastaa wanavyojificha kiasi kwamba anaweza...
Kuna kipindi mwaka 2007 ilitokaga ngoma flani (nmeisahau kidogo) ila Jay Moe alishirikishwa then kwenye punch za MOE aliandika
"AMANI KWA KAKA VODA MILIONEA// WASHTUE WADOGO ZAKO WAACHE PODA...
Kiwanda cha muziki, lazima tukubali, mara ya mwisho kimetengeneza msanii ambaye kinaweza kikajitutumua na kujisifia kwaajili yake ni kilipomtambulisha "Erick Msodoki" kwa watanzania! Wengi...
Wasanii wengi, si wa maigizo, si waimba nyimbo - uwezo hawana na hawawezi fikia levo ya waigizaji wa Kinigeria au Ghana na nchi kama South Africa.
Kilichobakia ni kujipendekeza CCM wakiamini...
IMEWEZEKANAJE BILA CLOUDS FM?
Kuna nyimbo nyingi mno miaka ya karibuni ambazo ni maarufu kupita kiasi ingawa hazikuwahi kupewa airtime na Clouds FM. Inashangaza mno. Hivi wimbo unawezaje kuwa...
Aisee kama kuna kosa lilifanyika katika tasinia ya muziki wa bongo flavour itakuwa ni uamuzi wa wasanii wa kundi la TMK wanaume kujisambaratisha.
Sina taarifa za uhakika juu ya sababu za...
Wadau hivi ni kweli katemwa pale Mawingu FM maana naona hata ngoma zake hazipigwi sana
Hata hii ngoma mpya ya Mshumaa hakwenda kuiachia pale XXL kama ilivyo kawaida yake
Je swala hili lina...
Star wa filamu nchini Vicent Kigosi "Ray" amesema kuwa yeye ana pesa na mali nyingi na hakuna msanii yeyote wa Tanzania awe wa filamu au muziki anayemfikia sema hapendi tu kujitangaza kama...
Saa chache baada ya msanii, Naseeb Abdul maarufu Diamond Platnumz kuwaalika Harmonize na Ali Kiba katika tamasha la Wasafi, wawili hao wameibuka na kumjibu.
Wakati Ali Kiba akimtaka Diamond...
Baada ya Wasafi festival kuiteka Dar, Jumamosi kwa tamasha lililofanikiwa kwa kiasi kikubwa na kuwa gumzo kila kona. clouds ikimtumia soudy brown akiwa na matarumbeta wanawashawishi watu maeneo ya...
Msanii wa muziki wa bongo fleva Whozuamesaini mkataba na kampuni ya entertainment iitwayo Too Much Money inayoongozwa na kaka yake Frank pamoja na Fred yenye ofisi zake jijini Guangzhou, China...
Naandika nikiamini kwa namna moja au nyingine ushauri huu utamfikia huyu kijana Diamond. Yeyote asiye na maelewano na wazazi/mzazi wake pia inamuhusu. Na wazazi wanaotelekeza vizazi vyao pia...
Tunaokumbuka, tunakumbuka.
Muziki na ushindani wa kweli ulikuwa enzi za Alikiba na Marlaw. Ni miaka ya 2009 kurudi nyuma huko. Kabla ya Belle 9 na kina Ben Pol kutengenezwa kimkakati kisha kuja...