Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Mwenyewe anajiita StarBoy. Usiku wa kuamkia leo alikuwa pande za U.K katika ukumbi maarufu wa 02 Arena. Wizkid aliujaza wote (20000) na tiketi zote zilikuwa Sold Out. Hii inafanya msanii wa...
15 Reactions
155 Replies
12K Views
Hivi hawa dada zetu maisha yao yanaendana na kipato chao? Ni swali tu. Comment fupi fupi.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Uyo jamaa simwelewagi apa jukwaani kama ni kijana au mzee make kila jukwaa yupo mambo ya kitoto utamkuta uchumi siasa mpaka kwa akina harmonize tofauti na watu wengine
3 Reactions
62 Replies
6K Views
Namkubali sana huyu mwamba,Ahmed Abdallah...daah Azam tv ligi kuu bara mbona itakua doro sana,patrick Nyembela anakazi ya ziada sana kuziba pengo la.mwana
5 Reactions
19 Replies
7K Views
Sijajua zaidi ni yapi yaliyomsibu Kizzy Daniel kuachana na management yake aliyokuwa nayo ila naona ni kama visa vinafanana na cha Harmonize. Sitaki kujaribu kusema Harmonize atashuka ila...
3 Reactions
45 Replies
6K Views
Nini tathimini yako kwa wale walioskiliza kipindi kuna chemistry au ndio full mauza uza tu?
0 Reactions
26 Replies
7K Views
#HATIMAE Mama mwenye Radio yake Elizabeth Michael aka Lulu ndo amekua mtangazaji rasmi E FM, amechukuwa nafasi ya Maulid wa Kitenge aliyetimkia Wasafi FM.
5 Reactions
75 Replies
15K Views
SI mbaya tukashauriana KABLA ya matokeeo Nimebahatika kumwona msanii MMOJA maarufu HAPA nchini amepanga TANKIBOVU UPANDE WA chadema NDUGU MPENDWA NAJUA n mgeni nashauri kabinti ulicho nacho...
2 Reactions
50 Replies
8K Views
24hrs sasa utata wa alipo mbeya wa social media haonekani na hizi taarifa ni rasmi sasa kutoka ndani ya familia ya mwanadada huyu maarufu mitandaoni especially wa Instagam kuwa hajaonekana tangu...
0 Reactions
62 Replies
8K Views
Unawakumbuka vijana wa Tupac, Outlawz? Yay yay! Bila shaka pia utakuwa unamjua au ushamsikia mmoja wao kwa jina Mutah a.k.a. Napoleon. Huyu jamaa wazazi wake waliuwawa mbele ya macho yake yeye...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wakuu Kama heading yangu inavosomeka hapo juu huyu kijana kutoka marvins ya mkongwe don jazzy amekua akijitahidi kutoa nyimbo kali kama dumebi, why, iron man, corny kwa wafuatiliaji wa...
2 Reactions
34 Replies
6K Views
Kama Diamond kaweza kutumia ushawishi wake na uwezo wake wa fedha kuwavutia Edo na na Kitenge kukubali kusainiwa na wasafi media Basi ni mda muafaka kwa kunguni wa pale mawingu kujiangalia upya...
22 Reactions
106 Replies
16K Views
Kesho kuanzia saa 12 asubuhi wasafi media chini ya CEO wao diamond platnumz wanatarajiwa kufanya tukio kubwa la kulouch kipindi kipya Cha michezo pamoja na mambo mengine Kama suprise kwa mashabiki...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwanza kabisa natanguliza shukrani zangu za nguvu kwa MUNGU BWANA muumba mbingu na nchi... Pili natubu kwa ajili ya nchi hii ya TANZANIA na dunia nzima Turejeeni katika mada hivi karibuni...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
1: Kuruhusu upande wa WCB kutangulia kueleza tofauti yao. Baada ya Salam SK, kuongea, asilimia kubwa imeshaamini kua Harmo anaondoka WCB kwa jeuri. Kiburi, kujisikia na amekosa fadhila...
18 Reactions
54 Replies
13K Views
mikogo ya jack sparrow[emoji16][emoji16][emoji16] karibuni tupunguze stress
8 Reactions
209 Replies
23K Views
Baada ya vita kali ya kumkataa mnafiki namba moja ambae kimsingi sio msanii wala hana kipaji chochote ila ni mtoto wa mjini anaejua kucheza na nyakati huku hapepesi macho bwana Steve Nyerere...
1 Reactions
112 Replies
26K Views
Deal done Bwana Ahmed ndani ya Wasafi.
2 Reactions
47 Replies
10K Views
Msako wa video za @Menina ulikuwa ni mkubwa, Mwijaku kawataja wadaku wote nchini alioshirikiana nao na waliohusika kuzisambaza DJ Carry a.k.a @Carrycarry12 ni mmoja ya waliokamatwa, kwa siku...
0 Reactions
25 Replies
8K Views
Msanii dudu baya aka konki konki konki master amefunguka kuhusu issue ya Menina na Mwijaku uliyotoa baada video chafu ya wasanii hao kuvuja hivi karibu amesema Kama ifuatavyo " hivi vitendo...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…