Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Hi Guys,, I Hope Mko Gud,,,Right? Ok Freshhhh,,, Sikumbuki vizuri Hili bifu la hawa miamba wawili wa Bongo flava lilianza lini ila ninacho jua tu bifu lao lina muda mlefu kidogo, Kusema ukweli...
3 Reactions
26 Replies
5K Views
Kwa wale watazamaji wa series ya game of thrones kuna mwanadada anajulikana kama Daenarys Targaryen ambaye jina lake halisi ni Emilia Isabelle Euphemia Rose Clarke, raia wa Uingereza kazaliwa...
1 Reactions
67 Replies
8K Views
Ni mchezo mchafu ambao sasa umeanza kuoneshwa wazi baada ya kuwa unazungumzwa na baadhi ya mastaa wa muziki wa bongo flavour na hata baadhi ya waigizaji wa filamu za hapa kwetu Tz,,,,,ipo mifano...
2 Reactions
805 Replies
225K Views
_ Mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva, Afande Sele amewataka watoto wake kwamba akifariki wahakikishe anachomwa moto. Afande Sele amewataka watoto wake wasimamie hilo kwa kuwa hiyo ni zawadi ambayo...
2 Reactions
92 Replies
10K Views
Nimepita kitaa kimoja nikakuta wana wanabishana kubusu ule wimbo wa Mwanana FA unaoitwa alikufa kwa ngoma. Kuna mwana alikuwa anadai kuwa ule wimbo FA aliimba tu but mistari ilichorwa na jamaa...
0 Reactions
49 Replies
7K Views
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Marlaw amepotea kwenye ramani ya muziki wa Bongo Fleva, hasikiki tena, licha ya kutoa nyimbo mpya kila siku, lakini hapati tena kushikilia chati za redio kama...
4 Reactions
66 Replies
22K Views
Habari wadau.. Diamond Plutnumz japo hajaenda sana shule ila ndio smart boy kulilo wote niliowahi kuwaona Tanzania. Amekulia Tandale na amekuwa bilionea bila kumuibia mtu, kula rushwa wala...
15 Reactions
19 Replies
4K Views
Hvi kumbe lile bifu la dada Jide na domo liliisha? Maana hawa nao walikua hawapatanagi, mmh nimefurahi kumuona jide kwa mara ya kwanza kwenye event inayomhusu Diamond, kweli dada jide siku hizi kakua
1 Reactions
61 Replies
11K Views
Tamasha la Nicki Minaj lazua gumzo Saudia Haki miliki ya picha Getty Images Image caption Nicki Minaj anajulikana kwa kuvalia mavazi ya kuonesha...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Nimeona mmeleta wasanii wanaovutia ,kwenye listi yooote mliyoweka huyu kaka hakuna anaemfikia hata robo[emoji108][emoji108][emoji108],au mna makengeza mnaweka kin diamond wana midomo ya kumeza...
10 Reactions
414 Replies
43K Views
Huyu Dada sikuhuzi sijui amekuwaje dakika 2 anaitukuana familia ya msanii Diamond platnumz baada ya muda kidogo anasema anamtaka Diamond kimapenzi yaani anaonekana Yuko obsessed na Diamond Either...
15 Reactions
205 Replies
18K Views
Wanaume wa Tanga kwa kupenda mitelezo hamjambo, mwenzenu kakimbilia kwa bibi yake kisa hela, kazi hamtaki kufanya mnataka kuteleza tu [emoji23][emoji23][emoji23] Ningekuwa Diamond walahi huyu...
5 Reactions
31 Replies
4K Views
Siku ambayo atakuja kuhukumiwa huyu dada watu mnaweza msiamini lakini ukweli ndio huo Binti baada ya kutafutiwa dhamana akatoka, ilitakiwa kwa sasa atulie aweke mikakati ya kupambana na hii kesi...
9 Reactions
100 Replies
18K Views
Msanii wa filamu nchini, Wema Sepetu amezua kizaa zaa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akigoma kukamatwa na polisi baada ya mahakama hiyo kumwachia huru na kisha kumkamata tena na kumuweka...
2 Reactions
70 Replies
9K Views
Huyo ndie Mwanamitindo wa kitaifa na kimataifa zaidi anaitwa @noelgiotz wa tz wote saport yako ndio itamfanya azidi KUSONGA mbere zaidi ku like sana kazi zake na kupost sana kwenye pejizenu...
3 Reactions
77 Replies
19K Views
Zari taratibu na hiyo kiu yako ya ndoa, bwana atapepea huyo akuachie jina tu ubaki Mrs hewa, haujifunzi tu? Kwa Diamond hivo hivo Mrs Dee Mrs Dee ukanunua na lile sijui joho sijui gauni nyuma...
8 Reactions
94 Replies
10K Views
Nilishawahi kuandika kuhusu huyu shogiyoyo kana kimwehu mwehu na kiroho papu, yan ana kiherehere flan hivi cha kishamba shamba, anajichetuaga akili halafu mashauzi yenyewe hayawezi sasa. Sasa...
3 Reactions
58 Replies
7K Views
Haka kamamii by the way kametulia, I like how she entertains no drama , she is just her and her world, she is not trying to compete or compare with any of her boyfriend’s ex, that’s Tanasha for...
7 Reactions
48 Replies
8K Views
Angalieni kwenye top 10 ya nyimbo bora za mwezi hapa chini https://www.okayafrica.com/east-african-music-songs-best-month-june/
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kiukweli tunashindwa kumuelewa huyu kijana na nyimbo zake amekua mtu wa hovyo kutoa nyimbo zisizo na content zenye kuelemisha au kushawishi Jamii kwa namna moja au nyengine in a positive way...
2 Reactions
99 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…