Kwangu mimi binafsi ukiniuliza best couple ya mastaa wa bongo nitakuambia Navy Kenzo yani Aika na Nahreel.
Hawa vijana wanajielewa sana they have no drama, maisha yao ya kimapenzi wameyaweka...
Zari umeni let down bhana , Talking about Tanasha? Like seriously? That’s how boss lady behaves ?, yan that’s too low kwa kweli yan umeniboa kupitiliza, now ndo naamini why diamond said huja move...
Juma jux msanii hatimae kashusha mashine mpya kalii nyeupee. Mashine hiyo kali ni mwanadada ambae jux anaonekana akiwa nae huko serengeti national park wakila bata!
Eeeeeeeeh kumekuchaaa mamaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].......!! Mambo hazarani kashasahau majanga yake atakua na balaa uyu dada au akili zake hazimtoshi
Sent using Jamii Forums...
Ndugu wana celebrities forum.
Nakiri kabisa pamoja na nyimbo za diamond platnum kutrend bwna mdogo inaonyesha jinsi gani ameshuka kiwango kwa spidi kubwa mno.
Nilishasema huko nyuma kwamba...
mchungaji anaongea hiki na jamaa anaongea kile tofauti kabisa sasa sijui ni ushamba,ujinga au welevu mwingi au kwa makanisa ya wenzetu hiyo ni kawaida tu
Jaman mji mzito huu, kwa hiyo Majizo anamla Vanessa Mdee? Khaa poleni akina Lulu na Jux , kama vipi na nyie si mlianzishe, maana mnapendezana hatari, khaa yani V Money jamani ptuuu hadi wewe? Looh...
Straight to the point,
Vile back in days trap music inaanza kuingia bongo wakaibuka watu kama Cyril kamikaze wakafanya Ngoma. Mara soon akaibuka Gosby naye akafanya yake RAIA tukamu-appreciate...
Nicki Minaj to headline music festival in Saudi Arabia
Saudi government accused of hypocrisy for requiring women attending to wear full-length robe
Associated Press
Published:14:31 Wed 3 July...
Ali Kiba
Ali Saleh Gentamilan (anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Ali Kiba; pia: King Kiba; alizaliwa 1986) ni mwanamuziki wa Tanzania, mwimbaji na mtunzi wa nyimbo chini ya lebo ya...
Nimeona huyo Dada yuko mbelembele sana,kumbuka Ruge hakukuoa,haujazaa nae.,kwanini unajichoresha.
Mwanaume anayejielewa ni ngumu kujiweka coz umejifungamanisha na familia ambayo mwisho wa siku...
Jamaaa anajua , nyimbo zake bado zinaujumbe mzito hadi leo sikushangaa kusikia jamaa kawa mbunge hasa album ya MACHOZI JASHO NA DAMU,
NIKUSAIDIEJE? nilipo kuwa natoka naye nyuma anatoka ,usiku...
Leo katika pita pita zangu watoto wakanidai diamond karanga. Kama utani tofauti na nilivyozoea siku za nyuma sijafanikiwa kuona mtu akiuza wala hata dalili.za uwepo wa diamond karanga mjini. What...
Yalimpokuta hamisa kutolewa siri zake na huyo mtu kisha akahamia kwako na kukusifia kila siku ukaonywa ipo siku yako sasa ona leo yaliyotokea hadi umeamua kumblock ngoja tusubiri aanze kumwaga...
Wasalaam wana jf..
Msanii namba moja na tajiri nchini Alikiba ijumaa wiki hii amewashangaza watu na mashabiki wake baada ya kuwapiga marufuku mashabiki wake wanao imba nyimbo zake au nyimbo za...
Huyu kijana mwaka Jana alifanya vizuri na ngoma Kali alizokuwa akitoa mpaka ikafika kushindanishwa na diamond lkn mwaka huu nimesikia ametoa ngoma tatu lkn zote zimefanya vibaya azivumi mtaani...
Naona the way WCB na "mwenyekiti wao" Diamond Plutnumz wanavyopata tabu na huyu mtu na wameona waamue mbinu mpya tu ambayo ni kutoa ngoma zaidi ya 3 wakati Kiba akiwa katoa ngoma hii tafsiri yake...
Wema Mungu amekujalia sura ya kuvutia, wazazi waliokupatia mahitaji yako muhimu mpaka umefika hapo na pia umejaliwa Nyota ya kupendwa. Yachukulie haya kukujenga wewe.
Hapa duniani hakuna...