Wasalaam wanaJF,
Msanii Diamond ambaye ukweli ulio wazi ni msanii nambari moja hapa Tanzania
Msanii Diamond bado anapitia kwenye adhabu isiyo na kikomo ambayo amepewa na wamiliki wa EATV,efm na...
Niko hapa Dar kibiashara tangu Jumamosi (nimekuja kuuza vumbi la Kongo maana nimeona biashara ya majeneza peke yake ntakufa na njaa)
Sasa jana nikiwa ndani ya bar moja mitaa ya Makumbusho mida ya...
Sosho media ni raha sana , bora ukose pesa ya kula kuliko bundle , bibie kaja na jibu murua, haongei sana , wambea kaz kwetu, limetushuka, mama G kashasema[emoji23][emoji23]
Kwa wale ambao wanapenda miziki ya slow aka rnb song Basi usiache kusikiliza this song na kijana wetu ameutendea haki wimbo ambayo ameshirikishwa na mkali mmoja kutoka ufaransa.
Mstari wa diamond...
Ha ha ha ha ha huyu bwana mdogo Nasibu Abdul aisee mwacheni kama alivyo kwenye sanaa hakuna wa kumlinganisha naye maana mwisho wa siku utatumia nguvu kubwa na kuumbuka mchana kweupeee.
Unaambiwa...
Ikiwa ni siku chache zipite, toka kutambulishwa kwa muigizaji kinda kwenye kiwanda cha film nchini Nigeria , Regina Daniels kwa wake wenzie watano, Baba mzazi aibuka na kulaani kitendo cha Mzee...
Mmh jaman shoga yangu mie hakubalig kupitwa na Kiki , toka Jana kaona Kenya pananoga, full tanasha kupewa Kiki , shoga angu nae akaamua kufanya women conference Sijui na single mother mwenzei...
Nyie konokono wa bongo movie mkipata vibwana uchwara tu vinavyomiliki harrier basi mnajiona matajiri, mnaacha na kuigiza kabisa mnawekwa ndani mnakuwa ma house girl .
Haya mwenzenu Regina...
“ Wasanii wengi wa Kiume wa Tanzania hawana Nguvu za Kiume ndiyo maana wengi Wao wanatumia sana Dawa za Kulevya na hupenda pia Kufakamia hovyo Supu ya Pweza na kudanganyika kutumia Vumbi la Kongo...
Ila domo hawezag kufanya enterview bila kumzungumzia Zari , hivi una akili timamu kweli ? Mtu umezaa nae watoto wawili, kutwa kumdhalilisha kwenye media , na wewe Zari Ndo ukome kuzaa na watoto wa...
Ni mtazamo wangu tu kuhusu hawa wanamuziki wakongo ambo mara nyingi niliona wakishindanishwa kuwa nani ni bora zaidi ya mwingine.Fere gora ana vocals kali sana na nyimbo zake nyingi zimewahi hits...
Aliyewahi kuwa Mnyange maarufu wa enzi hizo,Bi.Aminata Keita hivi sasa ninapoleta habari hizi anajifanyia chicken\Kitchen party yake mwenyewe maeneo ya K,nyama Mabatini,baadhi ya marafiki zake...
Imenisikitisha sana, kijana anajiita Bill Nas (Bill Nenga) Sijui hata jina lake halisi.
Bila haya wala hiyana Katinga Kanzu na Hereni juu..
Nimeshindwa kumuelewa..!!
Kwanza nikiri kuwa, Diamond ana fursa nyingi za wazi wazi ambazo ameziacha tu zipite. Kwa umaarufu aliojikusanyia hadi sasa katika bara zima, alipaswa kuwa na miradi mingi chini ya jina lake...
Pongezi kwa Ali Kiba kwa kuingia kwenye biashara,iwe ni ya ubalozi au umiliki cha msingi ni kujua umuhimu wa uwekezaji kwenye biashara.
Nimeona watu wakianza kupotosha umma na kuanza kujikweza na...
Haijawai kutokea kwa maeneo yetu huku
Msanii diamond platnumz alipotinga viwanja vya masumbwe ilikua nishida, hata kupumua sababu vumbi lililokuepo pale na ukichanganya na nyomi ya watu...
Aisee niaje wana
Kuna chuma moja ya zee la kukomesha yaan country wize kijana flan mnyamwez wa mambele huko akiwa na mtani wangu kijana mmoja mchonga vinyago ambaye ana demu beberu imeachiwa huko...