Samatta analipwa kwa Siku Milioni 21 Tsh
Wiki: Milioni 153 Tsh
Mwezi: Milioni 610 Tsh
Mwaka: Bilioni 8 Tsh
Sijui Diamond kipato chake, Ila ningependa kujua nani zaidi?
Sent using Jamii Forums...
Msanii wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda, ameibua hisia kali mitandaoni baada ya ku-share ujumbe wa kusikitisha kupitia ukurasa wake wa Instagram. Kupitia posti hiyo, Nuh alieleza machungu...
Wakuu,
Nilikuwa napitia pitia huko mitandaoni nimeona performance ya Marioo kwenye tuzo za Trace imepandisha sukari Watanzania.
Wengi wamemsifa Bien kuwa ameimba vizuri lakini huyu Marioo...
Ukiongelea kijana mwenye magari makali bongo wengi watakuambia Diamond ila wachache sana hawajui mondi hayupo hata kwenye top 100 ya vijana wakali wa town kwa mandinga makali.
Huyu hapa ni...
Wanabodi,
Tunaposherehekea siku ya wanawake duniani ambayo ndio leo, sio vibaya tukiwakumbuka na Tanzanians Top Women Celebrities ambao kwa namna moja au nyingine, wameling'arisha jina la...
Andrew Tate ni kati ya watu wanatajwa sana kwa hivi sasa, bila shaka. Ikiwa hii ni mara yako ya kwanza kusikia kuhusu jamaa huyo, fuatilia hapa.
Mtumiaji huyu wa mitandao ya kijamii aliye na...
Huyu mkaka ni nani hapa mjini anafanya mishe gani maana huwa namuona akila bata kila mahala dunia mara Marekani mara ulaya mara Dubai mara anaendesha magari ya gharama sana
Anafanya mishe gani...
Swali langu ni hilo wakuu, japo kwa upande wangu nilimkubali na nitaendelea kumkubali sana mzee Hassan Rehani Bitchuka.
Wewe je unakubaliana na huyo huyo wa kwangu?
Au Cosmos Chidumule?
Au...
Zipo tuhuma zinazolikabili kundi la muziki nchini linalopendwa na wakubwa pamoja na watoto na ndiyo kundi linalotumiwa hata kwenye kampeni za kisiasa.
Kwenye kundi hili kuna watu wa ajabu...
Wanazengo mnamtambua mrembo hapo pichani. Naona anatrend sana mitandaoni ikiewemo IG kiufupi anaonekana kuwa level moja na sanchoka kwenye maswala yalee. Inasemekana anatoka Iringa. Kwa mwenye...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwa na viongozi mbalimbali kwenye Iftar aliyowaandalia viongozi wa dini na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam katika viwanja...
Msanii wa Bongo Fleva, Harmonize, amemuomba msamaha Diamond Platnumz kwa tofauti zilizowahi kutokea kati yao. Kupitia Insta Story yake, Harmonize ameandika kuwa anatumia mwezi mtukufu wa Ramadhani...
Baada ya kufanya mahojiano na mwandishi mmoja alidai kwamba @alikiba hawezi kumfikia msanii wa Kenya Bienaimesol kwa uimbaji maana Alikiba anabana sana pua akiwa anaimba live. Alisema;
""Nani...
Habarini,
Wahenga mtakumbuka Reginald Mengi na Rostam aziz waligombana hadi kufikia hatua ya kuitana mafisadi papa kwenye vyombo vya habari
Kwenye msiba wa Reginald Mengi nafikiri Rostam Aziz...
Ana hela ana hela halafu ana hela tena. Siyo mtu wa makando kando, siyo mtu wa madili japo ilitumika nguvu kubwa kumchafua.
Aziz ni akili kubwa sana, tayari ashanunua shirika lenye ndege nyingi...
Kwemaaaaaaaaa... Sauti ni kubwa japo nina swaumu
Kwa wapenzi wa hip hop, upande wa freestyles nadhani wengi wenu jina la Cado Kitengo, Cado nondo, Mzee wa Midamu au Mzee wa AYEEEEEE... nadhani...
Kwa kifupi harmonize ana muonekano wa kishamba sana yani hata afanyeje hawezi kubadilika hata mambo anayoyafanya ni kishamba sana yani ni ya ajabu mpaka anajiaibisha kila kukicha.
Hata akipiga...
Alikiba akerwa na Master J baada ya kukerwa na kuchoshwa na tabia ya Master J kujifanya anafahamu sana muziki kwa kuwasengenya wasanii wa Tz
Alikiba alikereka na kauli ya Master J iliyoruka...
Cheki mwenyewe akiongea mbele ya Rais Lazarus Chakwera
https://www.facebook.com/share/v/1BFDLjgATo/
Kwa msiomfahamu Namadingo mchekini hapa kaimba na Mzee Chalamanda...