Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Huyu Zizi ni stress zinamsumbua ama nini..Mbona kama anapoteza siku hizi..
7 Reactions
104 Replies
18K Views
KATIKA kila jambo au kazi kuna kuzidiana na kila mtu duniani ana wakati wake wa kuwa juu na kuonekana anafanya vizuri na kuna wakati wa kuonekana wa kawaida na mwisho unakuwa chini kabisa. Vivyo...
1 Reactions
22 Replies
34K Views
Wakuu habari zenu! Kuna wimbo mmoja R.Kelly ameutoa unaitwa 'I Admit humo ndani anajutia aliyoyafanya na kujaribu kueleza dunia ukweli wa kile kinachoendelea juu yake. Ningependa kuwaasa wasanii...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu wanajamvi, naomba leo kila mmoja wetu ataje mtu mmoja anayekoga moyo wake kwa kile anachoona anakifanya kwa jamii,hususani kusaidia wasiojiweza au kusaidia elimu au kuburudisha au chochote...
1 Reactions
80 Replies
9K Views
Kwanini wakuu wa mikoa wanaosikika ni 1. Ally Hepi 2. A grey Mwanri 3. Makonda Wengine mbona hatuwasikii? Kwa mfano mkuu wa mkoa wa Tanga au Pwani. Kuna anae wajua?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wadau poleni na shughuli za kutwa nzima. Jamani natafuta filamu ya ki nigeria inaitwa FOR BETTER AND FOR WORSE. Filamu hii imechezwa na emeka ike na genniviv naj, pamoja na yule mzee...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Huyu Dada kaanza kwenye bongo movie akagundua hailipi.,kapambana sana akaanza mziki na amefanikiwa sana. Kikwazo chake kilikuwa nuh mziwanda,akapata washauri wazuri akaachana,nae. Sasa hivi yuko...
6 Reactions
10 Replies
2K Views
Msanii maarufu wa muziki wa Hip Hop Golden Mbunda maarufu Godzilla baada ya kufariki ndipo wengi watamfahamu na kutaja sifa zake. Ni tabia ya 'kipuuzi' iliyozoeleka Mara mtu anapofariki ndipo...
4 Reactions
33 Replies
6K Views
Kila msanii anaenda Kenya kwa sasa kulikoni? Hii ni picha ya Nandy akiwa amevaa kofia yenye jina la Gavana wa Mombasa bwana Joho. Je, ina maana wapo kwa mahusiano? Hivi Joho si anaye mpenzi...
0 Reactions
36 Replies
9K Views
Leo acha niseme ukweli wakuu,watu wanapenda kutompa mtu sifa zake mpaka afe. Toka kizazi cha kina Lwambo mpaka sasa kina ferre na fally hakuna msanii wa kumlinganisha na koffi kimuziki apo...
14 Reactions
81 Replies
16K Views
Msanii Afande Sele ameichana serikali kwa kuwaambia waruhusu bangi na waache kuingiza madawa ya kulevya kwa sbabu yanaua,amesema bora serikali ipitishe bangi watakuwa wanalipa .Amesema...
1 Reactions
37 Replies
8K Views
Kundi la Muziki apa bongo speaking of Navy kenzo linaloundwa na wapenzi wawili,Emmanuel Mkono"Nahreel" na Aika Maleale, "Aika", Dakika chache zilizopita wameachia Video yao mpya Inayoitwa Roll...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Hivi jamani inakuwaje Marekani black wengi wakifanikiwa lazina wapewe Kesi za Kubaka?? Kama ni hela mbona whites pia wana hela lakini hawapewi hizo kesi?? Alafu mpaka documentary za kuwachafua...
2 Reactions
32 Replies
6K Views
Mimi hata sielewi na mimeno ya Domo inaoza kadiri siku zinavuozidi kwenda mbele. Why happened to this https://jamii.app/JFUserGuide.... Guy? Au laana ya baba yake?
0 Reactions
37 Replies
7K Views
Jamaa amekuwa inspirational kwa rika tofauti,mjasiriamali mwenye mafanikio ila historia ya elimu yake ya kushangaza sana alifeli darasa la saba mara mbili na hajasoma secondari kabisa ila ni...
0 Reactions
69 Replies
20K Views
Wasalaam wana jamvi? Nimeona leo niulize utoafauti kati ya steve na Wakazi kwenye sanaa hasa mafanikio ni upi? Binafsi naona wote wamekaa ki uhanaharakati sana kuliko kazi zao za sanaa... Mfano...
5 Reactions
52 Replies
8K Views
Tokea mwaka Jana kumekuwepo na uvumini pamoja matanhazo mbalimbali kwenye vyombo vya habari mengi yakitolewa na Diamond mwenyewe kuwa anatarajia kuguna ndoa na mpenzi wake Mwanadada mrembo Tanasha...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Naizungumzia movie ambayo iliwahi ku make headline karibia ulimwenguni kote miaka hiyo,inaitwa TITANIC,pamoja na mwanamuziki mkongwe wa marekani CELINE DION,ambaye nyimbo yake ya MY HEART WILL GO...
2 Reactions
6 Replies
5K Views
1. Christopher Wallace (Big Small) Alikuwa ni mwanamuziki maarufu wa miondoko ya Rap nchini Marekani. Ni takriban miaka 20 tangu auawe lakini mpaka sasa bado kifo chake kimebaki kuwa...
12 Reactions
35 Replies
14K Views
Back
Top Bottom