Taylor Swift sasa ndiye mwanamuziki wa kike tajiri zaidi duniani, akiwa na utajiri wa dola bilioni 1.6, akimshinda Rihanna. Mafanikio haya makubwa yanatokana hasa na ziara yake ya "Eras Tour" na...
Niseme tu huyu jamaa nimeanza kumfahamu leo kupitia mitandao ya kijamii haswa tiktok. Inasemwa ni mtu fashion. Ila ana ushetani mwingi. Kula wanaume wenzie na mambo mengine ya hovyo. Kuanzia...
Moja ya wanadada icons kwenye muziki wa bongofleva.
Bidada anaejua kuimba na kucheza na jukwaa na mwenye utajiri wa kutisha Nandy amefunguka maswaibu aliyowai kukutana nayo akiwa kwenye show ya...
Hello.
Kwanini Diamond platnumz na Timu yake ya Wasafi ikiundwa na Zuchu,lavalava imeonekana Wanajitenga sana na wasanii Wenzao sio kwenye misiba wala sherehe.
Au ndo masharti ya mganga wao...
Fredinah Peyton a.k.a Rah P
Fredinah Peyton a.k.a Rah P ni msanii wa Hip Hop wa kike kutoka Tanzania.Wengi walijiuliza kuwa dada huyo amepotelea wapi.Rah P yupo Marikani kwa sasa...
Hili ni sofa brand ya Lorenzo Leather ambalo kwa moja kama hilo ubaoni ni Sh. Milioni 5 na Laki 6 (5,645,000)
Kwa Mzee Bakhressa hiyo ni bei ya kawaida tu, ila kwangu mimi napata kabisa kiwanja...
Kaka yake marehemu Dida Shaibu aliyekuwa mtangazaji wa Wasafi fm, amesema mdogo wake alikuwa na vidonda vya tumbo akaacha matumizi ya dawa ikampelekea fangasi kupanda kichwani.
Pia soma TANZIA -...
Habari wana Jamiiforums?
Leo nimeisikia ile nyimbo ya kipindi cha Watoto Show Radio One, nikamkumbuka yule mtoto aliyeiimba.
Wanaojua yuko wapi na anafanya nini kwa sasa atujuze. Ni hayo tu...
Wale wahenga wenzangu mtakuwa mnamkumbuka huyu mwamba coz alitupa burudani wakati wa utoto wetu!Huu ndiyo muonekano wake wa sasa akiwa na umri wa miaka 70! Wakati ni ukuta!
Mimi ni msikilizaji mzuri wa radio mbalimbali ikiwamo Wasafi Fm.
Vipindi karibuni vyote kama Wasafi fm ukikuta wanamu_interview mtu au msanii huwa wanaboa sana wanajidai wanajua kwenda Kwa...
Diamond anashindwa vipi kuweka live safari ya mwisho ya mfanyakazi wake Dida.
Pesa zinatafutwa lakini kuweka ubahili mpaka kwwnye safari ya mwisho ya mfanyakazi wako bora haileti taswira nzuri
Japokuwa Mangwea hakuwa mfanyakazi wa Clouds lakini mwamba alipoondoka clouds walijitahidi sana kumuenzi. Ngoma za mwamba zilipigwa siku nzima.
Hapo hatujaongelea mtu kama Ruge, wakina Kibonde na...
Ki ukweli sauti ya Mkandara Lufufu ilikuwa na upekee fulani hivi ambao haupati kwa watu wengi.
Ila hivi juzi nimeona tangazo la ngumi kati ya Karim Mandonga na Mada Maugo huku kuna jamaa...
Dee7 (jina lake maarufu) aliekuwa mtangazaji wa radio Kiss FM ya jijini Mwanza amefariki dunia hapo jana tarehe 23.09.2023.
Kwa wale waliokuwa wapenzi wa kipindi cha African Beats pale Kiss FM...
Umofia kwenu wana JF,
Heri ya mwaka mpya bonna annee happy nu year, kwanza niwape pole familia zilizoondokewa na wapendwa wao, ukiacha ngada na ajali basi kifua na moyo ni magonjwa yanayoongoza...
Kijana Niki Mbishi anayejiusisha na shughuli za kurap amekuwa sio mtu mwenye muenendo mzuri.
Amejaa jazba, malalamiko, shari, migogoro, umbeya na upotevu wa nuru.
Watu wanasema ni sababu ya...
Mmh! Shoga kidawa Aunty Ezekiel kwenye mitandao ya kijamii kasema ametoa mchango million nne kumbe katoa laki mbili, Uwoya nae alitangaza kalipa mil 8 kumbe laki tano, hawa wanapenda sifa hela...
Celebrities anaabudu pombe na Mademu. Siku likimkuta Jambo anaaibika hadharani kabla na baada ya Maziko, watoto wanabaki kugawana makochi na harrier old model.
NB: Tengeneza future ya wategemezi...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, alimzawadia Diamond Platnumz KEKI kwenye kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwake hapo jana Oktoba 2 na kula pamoja diko la birthday nyumbani kwa Staa huyo wa Bongo Fleva...