I love Beyonce lakini naona hakumfikia Toni braxton bado..to be honest there is no one song of hers that i hate...
hebu check this one...this is one of the greatest dong..."please"
MISS Tanzania 2006 aliye pia staa wa filamu za Bongo, Wema Isaac Sepetu Madam amevunja ukimya kwa kuweka wazi kuwa, mkorogo umemtia adabu na anajuta kuutumia mwilini mwake.
Wema Sepetu...
Mimi nina wasiwasi na kiongozi huyu kwamba nini hasa lengo lake, labda la kuwa raisi wa Afrika au mlezi kwani kufikia hatua ya kuwa kila siku anaangalia ramani ya Afika ni jambo la kushangaza...
Heshima mbele wakubwa.
Nimesoma kwa masikitiko taarifa ya mapokezi aliyoandaliwa EL kule kwenye jimbo lake kama shujaa,sasa sijui ni shujaa wa kabila lake au shujaa wa ufisadi...
Mambo ya Mahaba nipeleke West Africa nikateketee kwa Ebola yule Mpenzi wa Shilole Nuhu Mziwanda ameamua kuchora tatoo mkononi yenye sura ya Shilole kuonesha mapenzi yake kwa bidada.
Hii imekuja...
FILAMU ya Bohemian Rhapsody inayohusu maisha ya muimbaji kinara wa bendi ya Queen ya Uingereza, Freddie Mercury, ambaye ni mzaliwa wa visiwani Zanzibar imenyakua tuzo mbili kubwa za tamasha la...
Shilole ameingia katika akaunti yake ya Instagram na kusema kuwa makalio yake ni original. Alijaribu kuwadiss mahasimu wake ambao anawadhania kutumia chupi bandia kuonekana na makalio makubwa...
Msanii wa zamani wa kundi la Wakilisha, Witness Mwaijaga, amesema pamoja na kufanya hip hop kwa sasa ni mfanyabiashara na mtaalam wa tiba asili zinazotumia vyakula vyenye virutubisho...
Ostaz Juma ameendelea kuongezea petroli kwenye moto aliouwasha jana. Na sasa amewaamkia wasanii na watangazaji wote wa redio nchini akisema njaa inawasumbua na ndio maana wamekuwa...
Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya
Makubwa! Mtabiri maarufu Bongo, Maalim Hussein Yahya ameanika nyota za baadhi ya mastaa wa Bongo katika kipengele cha mapenzi au ngono, Risasi...
Licha ya kubadili dini na kuwa muislam kisha kupewa jina la Rahma, staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel amesema sasa anatamani kurejea ulokoleni na kumrudia Yesu kwa kuokoka...
Haya tena kile kikosi cha CSI cha JF tunaomba mtupe listi kamili ya orodha za safari alizozifanya JK mwaka huu
Kisha tuangalie zipi zilikuwa na ULAZIMA na zipi zilikuwa hazina ulazima kisha...
Kwa mitandao kumingia kero, kila mmoja anatamani hata kwa upeo kujipatia umaarufu zaidi. Kwa akina dada umaarufu wao wa mitandaoni wanatumia miili yao kuonyesha dunia nzima...jambo ambalo kwa...
Status update ya Ridhiwani Kikwete FB....
"Baada ya kusoma taarifa toka kwenye Ukuta wa dada Diagi Janguo juu ya msiba wa Bi.dada Zay B pichani nimejikuta mwenye masikitiko mengi sana.
Kwanza...
RAPA Birdman na aliyekuwa mchumba wake, Ton Braxton, mahusiano yao yamefikia tamati mwishoni mwa mwaka 2018 na mwanzoni mwa 2019.
Siku ya mwaka mpya tarehe moja, rapa huyo aliweka video...
Mtangazaji wa kipindi cha shilawadu kinachorushwa na clouds tv Soudy brown ameonekana kutafuta bifu na WCB hasahasa diamond platnumz.... maana kila ambacho wanakifanya lazima akikosoe kwa mafumbo...