Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Habari zenu wakuu kwema??..Ni hivi kume kuwa kuna huu msemo ni wa mda kidogo unaitwa Konk huu msemo ni msemo wa miaka kama 3 au mi 4 ivi imepita na huu msemo muanzilishi wa huu msemo ni Huyu dogo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
1. Ali kiba Moja kati ya wasanii ambao wamejaaliwa kipaji na sauti nzuri ila jamaa anajiamini kupita kiasi na ili akubali ushauri au idea ya kuendeleza kipaji chake nguvu kubwa sana inahitajika...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Sam Mahela ni kijana bora kabisa anayechipukia kwa kasi zaidi ktk tasnia ya habari nchini. Kijana Sam asipoonekana kwenye taarifa ya habari ya saa 2 pale ITV usiku wangu ukosa raha.Zaidi sana...
0 Reactions
82 Replies
15K Views
Mtoto wa Konki konki konki Master Dudu Baya amefunguka kuhusu tuhuma zinazomkumba baba yake za kumuhusisha na ushoga na kusema baba yake siyo shoga. Wille amesema anachofanya baba yake ni kuwataja...
1 Reactions
9 Replies
6K Views
Bondia asiyepigika mwenye pesa chafu ambaye pia anashika namba moja kwa wanamichezo walioingiza pesa ndefu zaidi mwaka huu pia anashika nafasi ya tatu kwa wanamichezo wenye pesa zaidi duniani...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Pancho Latino maarufu 'Mafia' amefariki dunia kwenye ajali ya kuzama kwenye maji wakati anaogelea kwenye kisiwa cha Mbudya, jijini Dar es Salaam Pancho alikuwa mtayarishaji wa muziki katika...
23 Reactions
660 Replies
103K Views
Sina uhakika kama ndo lilikua jina lako lakini nina uhakika ni hilo sijakosea. Pascalina nimependezwa mno na juhudi zako kama mwanamke kujiinua kiuchumi kuliko wanaokaa wanasubiri kuolewa...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Msanii mkongwe wa muziki wa hip hop nchini Dudu Baya amefunguka maana ya ‘Konki Master’, hii inakuja mara baada ya msemo huo kujizoelea umaarufu kwa muda mfupi tu tangu alipoutumia. ”Konki ni mtu...
0 Reactions
20 Replies
15K Views
Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imesema kampeni ya kuwasaka watu wanaojihusisha na vitendo vya ushoga inayoratibiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
1. Emelda Mwamwanga - Bang! Magazine 2. Ridhwan Kikwete - UVCCM 3. Constantine Magavilla - ZAIN 4. Zitto Kabwe - CHADEMA 5. Elsie Kanza - State House 6. Kelvin Twissa - Zain 7. Modesta Mahiga...
1 Reactions
95 Replies
26K Views
Baada ya Wasafi TV kufanya vizuri kila kona ya TZ sasa Wasafi FM Coming soon,ila huku sasa kwenye radio station ndo kwenye ushindani halisi,ngoja tuone
1 Reactions
42 Replies
8K Views
Mtangazaji ‘ Kipenzi ‘ cha wengi Cloudstv360 Babie Kabae katika hali isiyokuwa ya kawaida leo asubuhi aliweza kutoa ‘ dukuduku ‘ lake moyoni kwa kumshauri Rais JPM ajitahidi awe anatenga muda...
3 Reactions
25 Replies
5K Views
Alipozaliwa wazazi wake wakamwita Godfrey William Tumain....... Baadae sasa akaanza kujipachika majina ya ajabu ajabu tu......mara:- Ngumi jiwe....akaibuka na jina lingine....Mapafu ya...
0 Reactions
38 Replies
13K Views
Msanii Dudubaya amefunguka na kusema kuwa maisha ya kuwa maarufu ni magumu sana kwani kuna wakati unashindwa kufanya vitu ambavyo wewe unapenda kutokana na kuwa na umaarufu. Dudubaya kupitia...
3 Reactions
104 Replies
18K Views
Habari wadau wa celebrity Forum. Niende madani hapo juu. Mmoja wa wasanii wakongwe ktk fani hususan Bongo fleva, Dudu Baya aka Dudu Zuri amehojiwa na sudi Brown wa clouds FM juu ya kumtelekeza...
6 Reactions
23 Replies
7K Views
Jamaa Ali Kiba anahangaika sana ,halafu kila anachofanya anafeli tu. Mziki kafeli, mpira kafeli naona kageukia kwenye boxing ,ngoja tuone mwisho wake.
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Jumamosi ya wikii hii nilikuwa Mwanza nikasema ngoja namimi nikahudhulie kwenye tamasha, lakini kwa jinsi nilivoona muitikio ulikuwa mzuri na mapungufu pia yalikuwepo yakutosha, kwa lugha ingine...
1 Reactions
38 Replies
5K Views
Akizindua msimu mpya ya wasafi festival Diamond platnumz amesema mkongwe wa hip hop Dudubaya atapanda stage ya wasafi festival na wakali wengine. "Nimeongea na uongo ili kuweka wakongwa ambao...
3 Reactions
44 Replies
8K Views
Hello wanaJF Leo nimekuja na historia fupi ya mwanadada rihanna Rihanna Robyn Fenty (amezaliwa tar. 20 Februari 1988) ni msanii wa uimbaji wa muziki wa R&B na pop kutoka nchini Barbados...
4 Reactions
28 Replies
13K Views
Nampongeza sana sana kijana huyu..kwa kuyumba sana hapa majuzi ila ameweza yashinda mapito na kurejea tena. Situation aliyokuwa nayo angeweza kujiingiza katika uraibu wa vileo ..madawa na...
4 Reactions
11 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…