Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Beyoncé Giselle Knowles (alizaliwa 4 Septemba 1981), anayefahamika zaidi kwa jina moja Beyoncé pronounced /biˈjɒn.seɪ/ ni mwimbaji wa R & B, mtunzi wa nyimbo, mtayarishaji wa rekodi, mwigizaji na...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Msanii wa muziki wa Bongofleva na Diwani wa Kata ya Mwanga Kaskazini mkoani Kigoma, Crayton Chipando (Baba Levo), amesema kitambi cha Peter Msechu kinatokana na kurogwa. Baba Levo amedai Peter...
4 Reactions
23 Replies
8K Views
Anayejua alipo mwanadada huyu anambie au ndo bangi za kibongo zishammeza
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Mjela jela Papii Kocha hatimaye apata mtoto wa kiume ndani ya muda mfupi tu tangu atoke jela. Ila mpaka sasa bado hatujamjua shemela wetu.
2 Reactions
34 Replies
7K Views
Huyu jamaa Castodickson nitamlaumu milele kwa kumuacha mtoto wake mpaka kaharibika kitabia kwa kuiga mambo ya kiume ume na mbaya zaidi baba yake anamtazama tu. Casto ana mtoto anaitwa Fatuma au...
2 Reactions
47 Replies
9K Views
Licha ya kupitia kwenye mahusiano na wanawake lukuki, Mwanamieleka maarufu duniani, John Cena ameonekana nafsi yake kufedheheka kwa kukosa mtoto. John Cena (41) ambaye ameshapitia kwenye maisha ya...
2 Reactions
34 Replies
10K Views
The ongoing Feud between Nicki Minaj and Cardi B has turn to centre of accusations from both sides prompted outside players to confirm and/or deny claims from both parties. Cardi claimed in one...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wasalaam Kati ya watu au wasanii wenye vipaji hapa nchini vya kuimba ni Aslay.... Aslay anao uwezo mkubwa sana tena sana... Lakini kwa hivi karibuni muziki wake umeanza kuyumba kabisa na hata ile...
8 Reactions
108 Replies
18K Views
Chama cha waigizaji mkoa wa Kinondoni (TDFAA) kimemfungia mwanachama wake Wema Sepetu kujihusisha na masuala ya filamu kwa muda wa miaka miwili. Huo ni mwendelezo wa adhabu kwa mwigizaji huyo...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Ni nani anayemjua vyema huyu ndugu? Nasikia ni Mhubiri, je kanisa lake liko wapi?
4 Reactions
517 Replies
111K Views
I won't do justice if I comment In swahili for this new glitz and glamorous look of Hamisa Mobetto, the Queen without a throne. This is the one of the most gorgeous trending pic on instagram for...
15 Reactions
93 Replies
12K Views
Mwanadada Hamisa Mobeto amekiri kuwa mzazi mwenzake na msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ alimpa gundu. Hamisa alitoa kauli hiyo hivi karibuni kwa hoja kwamba katika kipindi...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Kiongozi wa G-Unit, 50 Cent ameendelea kumuandama Ja Rule ambapo wiki hii amezua jambo kwa kununua tiketi 200 za viti vya mbele vya tamasha la hasimu wake huyo ili viwe wazi. Ja Rule anajiandaa...
1 Reactions
32 Replies
8K Views
Siri imefichuka ,kumbe staa wa filamu nchini na aliyekuwa miss tanzania 2006, wema isaac sepetu anadaiwa kuwa mke wa mtu, inasemekana staa huyo alifunga ndoa na mjasiriamali aitwaye yusuph jumbe...
2 Reactions
54 Replies
12K Views
Lile penzi lililokuwa gumzo kwa muda wa siku chache zilizopita kati ya Diamond na mwanadada Kim nana limefika mwisho baada ya mwanadada huyo kutupiwa mabegi nje katika gate la Diamond Platinumz...
3 Reactions
47 Replies
11K Views
Wote mwezi uliopita (mwezi wa 9) waliachia video za ngoma zao pendwa... Alianza aslay akaachia video ya Kwatu tar. 12/9 (takribani siku 46 zimepita).... siku kumi na nne baadae yaani yar. 24/9...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Wanandugu leo katika pita pita zangu nikasema ngoja niangalie boxing records za huyu ndugu yetu Hassan Mwakinyo lakini cha ajabu nikakuta anaitwa Halfan Hythan Hamza, sasa nimeshindwa kuelewa hilo...
6 Reactions
123 Replies
19K Views
Watoto wa mjini siku hizi huita VIBE KAMA LOTEEEE... Mond wa enzi hizo alikuwa km rais wa marekani anavotembelea nchi za Afrika Je diamond wa sasa hv anaweza kufikia tena umati km huo? Wa watu...
1 Reactions
48 Replies
7K Views
Mrembo wa kichaga anaetamba bongo kutokana na umbo lake matata, ameonya watu kuacha kutumia picha zake kwenye matangazo ya dawa zao za kuongeza makalio kwani no kuwapotosha wadada Sanchoka...
6 Reactions
222 Replies
48K Views
Hayo ndo yalojiri jana usiku baina ya queen vee na mwanamziki otile..
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…