Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Huko ig katuonesha kuwa kashapata mme wake mtarajiwa..namwombea heri kwa hilo na Mungu amfanyie wepesi afikishe kile anachokutegemea..ni wema na pck now ni new couple in town. Kwa wale mlokuwa...
3 Reactions
303 Replies
42K Views
Yani Toka zari apost UA jeusi domo naona anahangaika kujifariji lakini wapi , anabadilisha kila wanawake Ila wapi . Sasa huyu kimnana nae kujikuta kafika na kuanza kujishau, Ila nilijua tu ata...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Lisa Sparks mcheza ngono maarufu ambaye anashikilia rekodi ya dunia kwa kulala na wanaume 919 ndani ya siku moja (24Hrs)
0 Reactions
42 Replies
12K Views
Mwana falsafa na mfanya biashara mkubwa Dunia PORTER aliwahi kusema moja ya njia ambayo unaweza kumuua mshindani wako kwa urahisi ni kutengeneza ushirika na mshindani wako....Hii husaidia katika...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Ila hii combination matata sana , hawa ndio wanamuziki bhana sio wauza sura , naona kesho patakua hapatoshi mlimani, natamanije ningekua bongo na Mimi . Ila shoga zangu na wenyewe uso umewakomaa...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Unajua shoga yetu Cheusi mangala mambo yake sio Haba , sema tu ni vile yeye hanaga show off za kipumbavu, ni miongoni mwa mastaa wachache ambao wanaishi maisha ya kifahari, anaishi nyumba nzuri ...
12 Reactions
133 Replies
20K Views
Warembo wanaosumbua Tanzania ni Sanchoka, amberlulu bila kumsahau gigy money. kwa kuwashauri BASATA waanze na nani Amberlulu, gigy money au Sanchoka?
1 Reactions
47 Replies
9K Views
Jamani jamani huyu shoga angu nae anapenda mambo makubwa, sasa irene kutembea na bodyguard kila sehemu ndio nini ? Kwa lipi sasa jaman ? , na hao akina k-Lynn mke wa billionea atembee na nani? ...
3 Reactions
41 Replies
8K Views
Walianza kwa mbwembwe sana lakini, wameshachuja na nyimbo zao hazisikilizwi tena. Rayvanny Lava lava Baraka the Prince Harmorapa .......na wengine wengi tu, mfano hata pale WCB wamebaki majina tu...
1 Reactions
29 Replies
6K Views
Msanii Diamond Platnumz ameipeperusha vizuri zaidi bendera ya Tanzania Kwa Kufanikiwa Kubeba Tuzo Mbili - African Entertainment Awards USA 2018 zilizofanyika October 20, New Jersey Nchini...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Ila simshangai bibie, we all have our first flying moment , tena ndo ukipanda business class uwii , utatamani dunia nzima ijue, Ila kwa level ya hamisa , ki ukweli nikujiaibisha sana , tunajua...
7 Reactions
99 Replies
13K Views
Habari wana JF wenzangu hopeful mpo poa! Jana usiku nlikuwa natazama kipindi cha THE MBONI SHOW katika kituo cha runinga namba 1kwa vijana Tanzania EATV chini utangazaji wa mwanadada MBONI MASIMBA...
0 Reactions
34 Replies
17K Views
Hit maker wa ngoma inayosumbua kwa sasa "Hodari" Maromboso a.k.a Mbosso Khan Mshedede ukipenda muite Kirungi sababu kubwa iliyomvutia Mondi ni ule uwezo wa Mbosso kutunga mistari yenye matusi...
1 Reactions
9 Replies
7K Views
Kwa wale wapenzi wa jukwaa letu pendwa la celebrities forum ,leo nataka mniambie mnataka mada zipi au celebrity/celebrities wepi mnataka tuwajadili kwa mapana zaidi? Maana niliamua kukaa kando...
5 Reactions
88 Replies
11K Views
Kwa mujibu wa Meneja wa Diamond Platnumz,Babu Tale,msanii Hawa aliyeshirikishwa kwenye wimbo wa nitarejea wa Diamond amefanyiwa operation ya moyo salama kwa masaa matano,Tale ameandika kupitia...
10 Reactions
21 Replies
6K Views
Huyu dogo nimetokea kumkubali sana baada ya kumsikia kwenye wimbo wa iokote wa yeye na maua sama. Kwa hakika ule wimbo bila kuwepo yeye usingekuwa wimbo wa taifa kama ilivyo hivi sasa.
8 Reactions
37 Replies
8K Views
Latipha Nasibu a.k.a Princess Tiffa kwa sasa anakimbiza dunia nzima kwa kuwa mtoto mwenye followers wengi zaidi duniani huku akimbwaga mbali zaidi mpinzani wake Asad Khalidi ambaye ni mtoto wa Dj...
0 Reactions
41 Replies
7K Views
Huyu kijana anamiliki Kampuni ambayonndani yake ina label,studio,tv,radio nk..ambavyo vyote vimeajili vijana wa Kitanzania ambao wote wanaendesha maisa yao kwa kumtegemea Huyu Kijana Diamond...
10 Reactions
52 Replies
7K Views
Haijakaa sawa kabisa sijajua ni stress au ni nn hadi kupelekea kuonyesha nyeti yake istagram kwa kweli sijajua ilikuwa ni madhumuni yapi au ana nia gani juu ya hili la leo kawadhalilisha sana...
0 Reactions
65 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…