Jamani namfollow huyu bidada insta , Ila siku hizi anaboa na post zake za ulimbukeni na wazungu wake , mpaka mda mwingine natamani kabisa kum unfollow sema na Mimi kupenda umbea sasa mxieew ...
Ndio, ndo ukweli. Wameachana miezi mitano na katika kipindi hicho huwezi jua kama diamond alikuwa anatumia kinga au lah, kwanza nashangaa kwanini masuperstaa wanapiga gemu mara kwa mara tena bila...
Hakika wasanii wa Tanzania wanashangaza sana baada ya vyombo vya habari kutangaza kuwa msanii hawa anaumwa na anahitaji matibabu nje ya nchi niliamini wasanii wangejitokeza kwa wingi kumsaidia...
Mimi na uanaume wangu huu lakini serikali ya jiwe naiogopa kama nini
Naogopa kusema chochote
Lakini huyu ney wamitego hasikii naona bado anamsimamo, wasanii wote wameufyata
Kuna bwana mdogo...
Aiseh mpaka sijaamini, nimeona video insta gigy akimwaga kingee, yan nikashangaa utadhan sio yeye , gigy anajifanyaga chizi but kichwani kidogo zimo, japokua anachanganya tense but she is so...
Jamaa walikuja kwa kasi sana walivyotoka jela,this time siwaskii tena licha ya ile ngoma yao "Waambie" kuwa nzuri mnoo iliyoshiba meseji ya Matumaini kuonyesha ujio wao mpya nje ya maisha ya jela...
Haya mambo anayofanya Diamond mitandaoni , hata wadogo zake akina young na dogo janja hawafanyi hivyo , diamond is no longer in experimental phase , kashafanya upuuzi wote, umri umeenda now , he...
RadarOnline Imeripoti kuwa Beyonce na Jay-Z hawana mpango tena wa kurudisha mahusiano bora kati yao na familia ya Kanye West na Kim Kardashian. - Jay Z ,48, na Beyonce ,37, ambao wametajwa kutaka...
Katika pitapita nikakuta blog ya Sammisago akiwa ameandika hii story
===============================
Suge Knight asema hana imani kuwa 2 Pac amekufa
Share Habari Na Marafiki Zake
Kwenye...
Ila mume wangu nae anapenda sifa kama shemej yangu diamond 🤣🤣, sasa jamani Gari si ulipewa jipya au ndo ilikua scraper ? , hayo marekebisho ya Nini? , na utuonyeshe kadi kwa kweli , usije ukawa...
Habari ndugu zangu naitwa Marathon Muziki msanii chipukizi Tanzania.Naomba Watanzania wenzangu mnipe maoni yenu kupitia kazi yangu hii mpya please naomba maoni yako bila kusaau kunifollow...
Muziki wa singeli umeshika sana wakati huu hasa mikoa ya Pwani, na mikoani kila mtu alitaka kujua ni muziki wa aina gani, si kwamba haukuwepo zamani ila jitihada za Efm zilichangia ushike hatamu...
Dj Mafuvu the tantable master, Nimemsikia leo kuanzia alfajiri saa 11 akiamsha kwa ngoma kali, ila nilimsikiliza awali kama majuma kadhaa yaliyopita kwenye XXL, Nikajiuliza ni shamra shamra tu za...
Kama ilivyo mada hapo juu. Mm sio msanii na sio mpenz wa sanaa lakin ni mshabiki
Mtakubaliana na mm kuwa, tangu kuanzishwa kwa bongo starsearch waliofanikiwa,wengi mfano harmonize, walishindwa...
Sumbula ni Character iliyojipatia umaarufu mkubwa miongoni mwa watazamaji wa tamthilia ya Sultan nchini tanzania.
Tamthilia hii huonyeshwa kwenye King'amuzi cha AzamTv kupitia chaneli yao ya...