PENZI LA LINAH NA PANCHO LAFICHUKA
Kwa tetesi zilizotapakaa jijini Dar kuwa mtayarishaji maarufu wa muziki Pacho Latino toka B-hits anatoka na mwanadada linah na...
Msanii huyo anapotea kwa kasi sana kwenye anga la muziki. Kwa miaka miwili lawama juu ya udhaifu wake walitupiwa Wasafi.
Ni muda tangu ajitenge na mafanikio na kuwa peke yake. Tatizo lake huyo...
Inaweza kuwa sio Wahindi-Watanzania wote wana mapenzi ya kweli na Tanzania. Lakini bila ya shaka kuna baadhi yao ni wazalendo kutushinda waasili wenyewe.
Kweli kuna sababu ya kuwa na wasiwasi na...
Staa wa Pop Selena Gomez '26' amelazwa kwenye hospitali ya wagonjwa wa akili baada ya kupata matatizo ya AKILI Na Msongo Wa Mawazo.
Selena alilazwa hospitalini mara mbili wiki mbili zilizopita...
Majina ya nyota hawa wawili wa hollywood yananifanya niwaze kwa sauti kutokana na kuwa na uhusiano na lugha ya kiswahili
Michael B Jordan ambae jina lake limekuwa likifananishwa na mcheza...
MWAKA 2007 (miaka 11 iliyopita), nilisoma jarida la Forbes. Mahojiano mazuri na tajiri mwenye mawe mengi, Warren Buffett. Kipindi hicho, Buffett alikuwa tajiri namba mbili duniani, nyuma ya Bill...
habari wadau.
nimejifunza kitu kikubwa sana kwa diamond.. ambapo ni kuwa muajiri mzuri..
diamond japo hana elimu kubwa kama waajiri wengi.. ila anajua kuishi na wafanyakazi wake..
ndio maana...
Kama akikujibu hajui lolote basi mwambie aanze Kulifuatilia kwa umakini wake wote kwani lina ujumbe na msaada muhimu sana Kwake na hasa hasa akiwa ni Msanii.
Nawasilisha.
Kiuno kidogo cha Ali Kiba chashindwa kuvaa Pensi ya Pepe Kale, aufuta wimbo wake mpya Youtube.
Ali Kiba aliachia wimbo huo usiku wa kuamkia leo Jumatano hii baada ya kukaa muda mrefu bila kuachia...
Beef la Eminem na Machine Gun Kelly (MGK) lilianzaje
Mwaka 2012 MGK alicomment kwenye picha ya mtoto wa kike wa Em (Hailie) aliyopost kwenye social media kuwa “she is hot as f*ck”.Hii comment...
Mchezaji wa mpira ambaye pia ni mdhamini wa timu ya Coastal Union Ali Kiba hatimaye aanza kujirekebisha baadhi ya mapungufu yake.
Mwanzoni huyu jamaa alikuwa hapost kabisa suala la msiba wa...
Mdogowangu Vanessa umeamua kutoka Kihindi zaidi
Lakini sa huu wimbo hatuuelewi jamaa
Hatujui umesifia au umetutukana
Either way it's a slow nice song
Sa kwa wale tuliozoea kugegedwa kwa...
Hitaji kuu la binadamu yoyote katika kuhangaika kote ni kutafuta mafanikio....mafanikio katika maisha ni muhimu sana
Kifedha
Kielimu
Ustawi
Uongozi
Familia na umaarufu
Safari ya mafanikio huanza...
Jamaa katurudisha bongo fleva ya zamani ....nimehisi nipo enzi hizo.
Heshima kwa Whozu, ngoma imetulia ubunifu mkubwa, inavutia kuusikiliza zaidi na zaidi....
Navy Kenzo hawana budi kumshukuru sana tena zaidi ya sana Diamond Platnumz kwa kuwapandisha kwa kiasi kikubwa kimuziki.
Tangu watoe wimbo wa KATIKA waliomshirikisha Diamond, Navy Kenzo...
Majizo kapost video kwenye ukurasa wake wa instagram ikumuonesha akimvisha pete mpenzi wake wa siku nyingi, Elizabeth Michael aka Lulu.
Hongera zao, naona harusi inanukia.
Wapendanao
Jamani , nilivyosikia party ya Diamond kiingilio dollar mia tano, wacha pressure inipande warumi Mimi , nikajua itakua party ya kufa mtu , nikategemea kuona party itakua level ya kistaa kama...
Ni jana wakitokea kisiwa cha Mbudya kurudi Jangwani Sea Breeze kwa mujibu wa maelezo yake kufika katikati boti ikazima na ikaanza kuingiza maji na taratibu ikaanza kwenda chini bahati nzuri...
Viongozi mbalimbali was kisiasa, Sana'a na michezo wameshawasili na sasa anasubiriwa mgeni rasmi katika tukio hili RC Makonda.
Pamoja na mambo mengi yanayojiri wengi wana hamu ya kumuona Hugo...