Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Japo mm si mshabiki WA Christian Ronaldo lkn nimesikitishwa na tuhuma za ubakaji zinazomkabili, najiuliza maswal mengi supastaa km Ronaldo anaanzaje Kubaka ? Na Walikuwa wap kumfungulia Kesi...
2 Reactions
71 Replies
10K Views
Licha ya kutajwa kwenye vipengele 5 msanii maarufu nchini Diamond ameambulia patupu huku tuzo kubwa zikienda kwa Yemi Alade, Wizkid na Fally Ipupa. Wizkid ameshinda wimbo Bora wa mwaka kupitia...
3 Reactions
93 Replies
11K Views
Nikicheki video yake ya mwaka 1995(Don't take it personal-Just one of dem days) wakati ana miaka 15 na Hii ya sasa hivi aliyoitoa Sept 27 2011(Until its gone,akiwa na miaka 32) naona yupo vile...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
baada ya dj mafuvu kulalamika huko insta Kuwa madj wenzake pale clouds wanambania... sasa clouds wameamua Kuwa.. dj sinyorita, dj scratch designer, na dj d ommy.,na mafuvu mwenyewe.. kwa kupitia...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mgogoro wao umefikia patamu sana sasa hivi ambapo kuna kampuni ya Nigeria inataka sasa kumchukua Harmonize maana dau lao ni 10x la sasa Mondi amejaaa Harmo amesema amechoka kunyonywa na ndo maana...
6 Reactions
68 Replies
18K Views
Hapa tunapita tu ila msifu anayefanya vizuri kwa jamii maana kuna ndugu marafiki na wengine wanao nufaika na kutaka maisha yao ya kiuchumi na elimu yaboreshwe, asiyetaka wmenzie afanikiwe ni...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Labda ndo nazeeka,labda sijui trends kwa sasa ndo aina hii ya muziki, muziki uunaboa wakuu, wasanii wanafanana uandishi, beat, sauti Kila kitu. Tafuta ngoma zote zinazofanya vizuri uniambie...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Mwanamasumbwi asiyepigika, Floyd Joy Money Mayweather hatimaye asilimu na kuwa muislamu. Floyd amechukua uamuzi huo mara baada ya kufanya utafiti wa kina na kugundua uislamu ndio dini ya haki na...
2 Reactions
30 Replies
6K Views
Habari waungwana,Msanii asiyeishiwa skendo Tanzania Baba Nyllan au Baba Makabila(Diamond Platnumz) anatarajia kafanya party kubwa hapo Juma Pili kwa kingiilio cha Dola za marekani 500 kwa tiketi...
2 Reactions
61 Replies
9K Views
Kiukweli nashangaa Joe ndio CEO Clouds Media Group ambao kwa sasa hawapigi nyimbo 100% from WCB hata zile za ft.. Hii inaonyesha namna gani picha haziendi kabisa. Joe kuonekana pale hii...
4 Reactions
214 Replies
28K Views
Msanii wa muziki wa Bongo fleva aliyewahi kutamba na vibao vikali kama vile ‘Amore’ amefunguka na kudai anapendelea sana kufanya tendo la ndoa. Baby Madaha ametoa kali hiyo ya mwaka na...
2 Reactions
81 Replies
14K Views
Mi nakazia tu... Know how to sell, Know what to sell, know how to develop a product to sell, Selling is the most important skill for any entrepreneur. Kua na product / service / mtaji wa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Huyu jamaa ni moja kati ya watu wasioongelewa kabisa hapa nchini hususani katika tasnia ya filamu za kibongo,japokuwa wengi wetu filamu za kitanzania zimetutoka kabisa mioyoni mwetu,ila kuna watu...
3 Reactions
23 Replies
9K Views
Serikali ya CCM ni ongopa kila wimbo ambao hauwasifii... Huu ni Wimbo wa Nay wa Mitengo unakwenda kwajina la ALISEMA,Tayari Nay anadai amepigiwa Simu Nzito hivyo ametuasa tusikilize wimbo huwo kwa...
8 Reactions
34 Replies
13K Views
HII KITU NIMEKIPATA KWA MSAADA WA MTANDAO WA DUBAI Dah wana uturn ni kwa masikitiko makubwa mno nawaletea habari hii, Jokate kamnyakua Diamond kutoka kwa wema. Yani navyowaeleza ni kwamba kwa siku...
0 Reactions
181 Replies
37K Views
Siku ya leo umekua ya burudani tosha kwangu,kuna mapini yameshushwa leo kule Youtube.Video kali na burudani imeenda kwa Lavalava,wimbo bora kwa Nay wa mitego na burudani imeenda kwa Maua sama...
0 Reactions
71 Replies
13K Views
Ripoti: Wasanii 10 wa muziki wanaotajwa kulipwa pesa nyingi kwenye show Tanzania! Tasnia ya muziki nchini Tanzania na Afrika Mashariki inakuwa kwa kasi zaidi licha ya kuwa inakumbwa na changamoto...
2 Reactions
18 Replies
10K Views
Felix Wazekwa amtungia Papa Simaro Lutumba ngoma hii. Lutumba 80 kazawadiwa mtaa Kinshasa (Avenue Lutumba Simaro) na Kabila na Kuchongewa sanamu kama ilivyo kwenye hiyo video. Kizuri zaidi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimeshangaa, Nimesikitishwa Na nimehuzunishwa Kwanini Vyombo Vya habari Vikubwa Tanzania Kama ITV,TBC,STAR TV,CLOUDS TV,Na vingine Vimekaa Kimya Katika Kureport Tukio alilofanya Diamond Leo...
16 Reactions
53 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…