Msanii Diamond Platnumz ambaye anasheherekea siku ya kuzaliwa kwake Uko kwao Tandale.Mambo yamekuwa si mambo Wageni walikwa mbalimbali wamealikwa ikiwemo
Haji manara
Vanesa Mdee
Reginald Mengi...
Salute..
Kwa wale vijana wa zamani, mnzikumbuka muvi za wakongwe wakali wa kung fu kutoka China. Enzi hizo miaka ya 70 Hongkong ndio kulikua Na solo LA filamu huku muvi karibia zote zikitengenezwa...
Katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa msanii wa muziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania, Diamond Platnumz amewaahidi mambo yafuatayo wakazi wa Tandale (mahali alipozaliwa na kukulia)...
1...
Ubuyu unaoenea kwa siri kwenye mitandao ya kijamii kwa sasa, ni kuhusu ndoa ya super star Wema Sepetu inayotarajiwa kufungwa hivi karibuni.
Chanzo cha ubuyu kinaeleza kuwa hatua zote muhimu...
Nina mdau wangu mmoja yeye ni shabiki mkubwa wa bwana kiba ila kakata tamaa kabisa kwa sasa..
Mtazamo wangu kwa bwana kiba ni kwamba....
Nyimbo aliyotoa na kundi lake ni ya kawaida, ci ya kuimba...
Kendrick Lamar,
Tarehe 25.06.2018, ndani ya jengo la burudani la L.A Live, lililotulia pale kwenye Mtaa wa South Park, Downtown, Los Angeles nchini Marekani, kituo maarufu cha televisheni...
Mwanahabari wa TBC1 Mbozi Katala amesema kwamba Diamond Platnumz alikuwa na maisha magumu sana hapo mwanzo maana kuna siku aliwahi kwenda TBC1 na kumwomba poda. Ameongeza kuwa siku hiyo hakuingia...
Kwenye nchi za Ulaya na Marekani ni ufahari mtu kununua kitu chochote kile kilichotumiwa au kumilikiwa na mtu maarufu ama mashuhuri kwa bei kubwa sana na kuhifadhi kwenye majumba yao.
Lakini ni...
Waungwana karibuni kwa maoni yenu. Ni matumaini yangu nyimbo zote mbili mmeshazisikia sasa ni wakati kutoa maoni yenu je ni wimbo upi umekubamba zaidi kati ya Hamissa Mobetto "madam hero" na wimbo...
Mmh hilo jumba la diamond alilopost huko insta ni balaa, hamisa alikua Ana haki ya kuroga aiseh🤣🤣, hongera bwana chibu, halafu nilisahau kukuwish na Mimi , HAPPY BIRTHDAY...
Unakumbuka Video ya Nitarejea ya Diamond? Basi yule msichana aliyeshirikiana naye katika huo wimbo hali yake si nzuri kisanii na kimaslahi pia kisa cha kusema kuwa anauchukia huo wimbo kwani...
Wakati wa The Jackson Five Jamii iliwapokea na kuwakubali kama kundi la Muziki lililosheheni vipaji. Baadae ilibainika kuwa Michael Jackson alikuwa na kipaji maalum kuliko wenzake, na tena haikuwa...
Habarini zenu.
Msanii Ali Kiba anatarajia kudondosha nyimbo yake mpya inayokwenda kwa jina la HELA itakayo anguka muda wowote kuanzia sasa
Huko mitandao ya kijamii imefulika na kuwa na shauku...
Sina uzoefu na kupost humu ndani ila hii kitu imenishangaza.
Nilikuwa naangalia Enews mahojiano ya "Y Tone" kuwa kuna picha yake inasambaa amevaa shanga kiunoni kwa jinsi anavyojibu ni kuwa Mara...
Jana nilikuwa buzy kinyama kumfanyia Mama yangu Birthday
Yes nimesharudi Tz
So nikatonywa kwa Sepenga nae Anabirthday siku ya jana
Wow WEMA na My Mom wanashare same Birthday
Happy Belated...
Watanzania wakikutolea uvivuu kwenye mitandao ya kijamii utakubali show tuu.. Alikiba Katoa wimboo mbovu Sana ambao Audio yake aliitoa zamani now kafanya Video.. Kiukweli Nyimbo ni Mbovuuu...
Tangu ang'atuke WCB chama kubwa linaloshikilia muziki wa bongo kwa sasa(kubali au kataa huo ndo ukweli) kijana Mavoko anaonyesha jitihada za kuzaliwa upya kisanaa lakini changamoto kubwa naona...