Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Tofauti na matarajio ya wengi , Leo ni birthday ya mwanamuziki mkubwa nchini , Diamond Platnum's , hivyo watu walitegemea birthday wishes za kumiminika kutoka kwa mastaa wenzie, Ila hali imekau...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Doh Shikamoo KIKI Kwahiyo keshapatikana Tz Sweet Heart au? Hizi mambo za kunyang'anyana majina mbona mambo ya kiduanzi sana utoto mwiiingi mbona majina yako mengi. Haya basi kama langu...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Kwa wale wanaosomea marketing au sheria watakua wanaelewa zaidi mambo ya BRAND PERSONIFICATION , na intellectual property rights ( patents , copyrights, trademark n so on). Wasanii wengi wanakua...
7 Reactions
52 Replies
5K Views
Ndugu zangu kama ilivyokawaida ile redio station pendwa super brand namba moja nchini clouds FM na clouds media, wameanza msimu mpya wa tamasha lao la fiesta. Katika hali ya tofauti kabisa na...
2 Reactions
27 Replies
6K Views
Mbaya zaidi kaongeza na "PROUD OF YOU" Kama Bosi mwenyewe anamkubali D 100% Vijakazi wanatoa wapi jeuri ya kumdindia kijana wetu?
3 Reactions
16 Replies
7K Views
Huyo katikati, kwa mujibu wa Michuzi, ndiye John Mashaka..
0 Reactions
110 Replies
30K Views
nimejaribu kufatilia Sanaa wanayofanya wanamziki wa bongo nimekuja gundua bado wapo karne ya 20, fikiria mpaka leo mwanamziki anashindwa kuweka lyrics za nyimbo zake mtandaoni, sisi washabiki wao...
1 Reactions
3 Replies
748 Views
Ninachompendea lulu , licha ya kuwa alikua mdangaji kama wadada wengi wa mjini , na pengine ameshalala na mastaa wakubwa na viongozi mbali mbali wa serikalini ambao Wengine hatuwajui, lakini huyu...
7 Reactions
16 Replies
3K Views
Nasikiliza wimbo wa Mandojo na Domokaya, unaitwa Dingi, huu wimbo unaonekana kama ni true story ila sijabahatika kusoma au kusikia sehemu yoyote wakithibitisha kuhusu hili. Jamaa wanazungumzia...
14 Reactions
42 Replies
13K Views
Msanii ak 47 wa uganda,amefarik ghafla baada ya kuteleza kwenye bafu alipokuwa bar.Mungu ampumzishe salama Details as to the cause of death are still...
1 Reactions
21 Replies
12K Views
Monalisa ni mmoja wa wahusika wenye vipaji na ninampenda Celeb24x7.com
3 Reactions
39 Replies
6K Views
Naona hivi sasa Ustaa umeanza kunukia kwa video vixen maarufu nchini , Official Lynn . Awali habari za kuwa vixen huyo anatoka na diamond zilianza kuvuma miaka ya nyuma kidogo , mpaka ikadaiwa...
2 Reactions
21 Replies
5K Views
Rapa Kanye West amebadilisha jina lake kuwa Ye. Akitangaza mabadiliko hayo kwenye Twitter siku ya Jumamosi, aliandika: "Nimekuwa nikijulikana kama Kanye West. Mimi ni YE." West, 41, amekuwa...
0 Reactions
2 Replies
934 Views
Kwema humu.. kwa Tanzania unamkubali dj yupi anaecheza nyimbo za Hip Hop..? na kituo gani cha Radio kinachocheza Nyimbo za Hip Hop mimi naanza na 1. Dj Jeff Jerry-Kiss fm (Jafari mzonge) huyu...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Fiesta imeanzia moro jana, nimebahatika kupata picha chache kutokana na picha safari hii kuwa hadimu. Lakini naambiwa Fid Q ndio alikuwa nyota wa mchezo.
4 Reactions
38 Replies
7K Views
Niliposikiliza voice note ya hamisa mobeto akiongea na mganga au shekhe kama anavyodai, nimegundua tabia halisi ya hamisa mobetto 1. Hana roho mbaya - Akiongea kwa sauti ya upole na ya...
2 Reactions
12 Replies
4K Views
Hongera kwao navykenzo kwa wimbo wa KATIKA umefikia watazamaji Milioni moja ndani ya siku mbili na bado unashika nafasi ya kwanza kwa kutazamwa Tanzania. Na bila kusahau clouds media wamempost...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Inaonekana Diamond ako obsessed mostly with light skinned girl , huenda huu ndo ugonjwa wake kwa wanawake, ukichunguza kwa umakini list ya warembo aliowahi ku date nao au kutoka nao Utagundua...
5 Reactions
42 Replies
6K Views
Leo nimepitia baadhi ya post insta, ingawa mm sio mpenz sana wa mtandao huo. Katika pita zangu nimejikuta naangalia post mbalimbali za diamond. Moja wapo ni show ya namibia. Ukiangalia kwa makin...
6 Reactions
8 Replies
2K Views
Wanajiita wanamuziki lakini mimi nasema ni wahuni na wababaishaji ambao wameivamia fani kwa mtindo wa zima moto. Baadhi ya wanamuziki wanaojiita ni wa kizazi kipya ni janga kwa taifa kwa kuwa...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…