Sijui tatizo nini wadada wa mjini bongo wanalo...aiseehhh!!hata mtu unaemuona wa maana nae anakua mswahili mswahili kuendeleza vitaa..
Ishu ilianza miss Tanzania baada ya wolper kuliponda...
MAPENZI ni kikohozi kukificha huwezi! Na siku zote unapopenda unaweza kufanya lolote ili tu umfurahishe yule uliyenaye aone tu thamani yako au umuhimu wa kuwa na wewe. Kwenye mapenzi kuna...
Ndugu, jamaaa na marafiki pamoja na wadau mbalimbali wa huu mziki wa bongo fleva nnawaomba tusaidizane kulichambua hili game la bongo fleva.
Mtazamo wangu: game la bongo fleva linazidi kuwa gumu...
MWANAMUZIKI ambaye alishirikishwa kwenye Wimbo wa Nitarejea ya mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Hawa Said hali yake imezidi kuwa mbaya baada ya kulazwa katika Hospitali...
Hawa majamaa wamefanana sana kama ndugu vile.
Letita wright ni Actress kwenye muvi ya Black panther as Shuri, Dada ake T'chala
Tulia Ackson naibu spika wa Subwoofer la Tzania pale dom..
Letita...
Mahakama ya Pennsylvania nchini Marekani imemshushia mvua ya kifungo cha kati ya miaka mitatu hadi kumi, mchekeshaji Bill Cosby mwenye umri wa mika 81, baada ya kumkuta na hatia ya kufanya...
Daah!!! Aisee huyu jamaa anajua good music... Namuelewa sana toka 'haya' mpaka huku anapoelekea.
Nsingependa kuongea sana wadau ningeomba mtafute mzigo wake mpya unaitwa 'kiss and love' ni hatari...
Yani Mdogowangu ungeanzaga hii shughuli miaka ya 2000 ungekuwa mbali kinyama
Ila usijali haujachelewa
Tunamshukuru sana Mheshimiwa Raisi kwa Kauli Mbiu yake ya hapa kazi tu.. naona vijana...
Wakuu,
Ni muda sijamsikia mkali DJ Steve B ambaye binafsi naamini baada ya kizazi cha akina DJ John Dilinga na DJ Bonilove hakuna anayemfikia.
Bongo tumekuwa na tatizo la DJs wanaojua muziki...
Niseme wazi mimi ni mpenzi wa kusikiliza TBC taifa radio,hasa vipindi vyao vya Pwagu na pwaguzi(kinarushwa kila siku ya j3 hadi ijumaa saa 11:45 jioni) na kile cha TUNZA IKUTUNZE(Kinarushwa kila...
Wakati Lemutuz akiwa anamalizia free trial ya mwezi mmoja kutoka gym fulani (jina kapuni),madaktari kadhaa wamecharuka na aina ya upigaji wake wa mazoezi na kudai mambo na mazoezi anayofanya si...
Picha zote tatu3 ni Rihanna akiwa nchini malawi mwezi uliopita,
Hakujali umarufu wake wala uzuri alio nao, alichofanya ni kuyakabiri majukumu ya muda huo kulingana na mazingira,
Alibeba ndoo...
Muigizaji wa filamu na msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Faiza Omary maarufu kama Sister Fey yupo chini ya ulinzi kufuatia tabia yake ya matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii.
Taarifa hiyo...
Hili bifu la clouds fm na WCB kiasi fulani linanishangaza
na linanipa maswali kibao......
But nakumbuka jinsi TID enzi zake anajiita 'TOP IN DAR'
alivyowavimbia clouds hadi siku ile anaitisha...
Ni mda sasa sijamsikia Mkurugenzi wa Clouds Media Ruge na sasa ni msimu wa Fiesta,si kawaida msimu wa Fiesta kuanza bila kusikia neno toka kwa uyu jamaa.Kwa anaejua au fununu atujuze
[Rick Ross]
Tupac and Juice riding [?] on the loose
King James round my neck, haters wish it was a noose
Long Maybach and I wish it was a coupe
Kush out the jar, car smellin' like duke...
Uwa nikisikiliza nyimbo za huyu jamaa uandishi wake uwa unaweza kuwa na tafsiri nyingi kadri msikilizaji anavyo weza kutafsiri.
Leo nimesikiliza tena huu wimbo jamaa yani kaongelea mambo mengi...
Soudy Brown, Maua Sama na Meneja wake(Fadhili Kondo) waachiwa kwa dhamana ya Polisi usiku huu
Watakiwa kuripoti Kituo cha Kati (Central Police) cha jijini Dar walipokuwa wanashikiliwa kesho saa 4...
Mwanamke huyu mpole,mwenye maadili ya Kisukuma na mfanyabiashara ambae ni mmiliki wa Nyumbani Pub iliyopo wilayani Kahama mkoani Shinyanga ni mlimbwende wa haja na ukiiutana nae utafurahia Kwa...