Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba nimtakie kijana wenu katika safari yake mpya ya kiimani.....hopefully sasa lazima hawe kama diamond
Mapenzi ni kitu ingine..
Diamond adaiwa kuwa ame copy na kupaste wimbo wake mpya was baila kutoka wimbo original saans.
Alichocopy inadaiwa mavazi na location ya video shoot
Hii si mwanzo zingine kama
Wimbo wa kidogo (...
Habari za jioni wakuu
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu, ni muda mrefu nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa muziki mtamu na wenye ladha tamu kutoka Africa ya Magharibi(hasa Nigeria.
Kiukweli...
Hivi Babra Hassan ana mimba ? Mbona siku hizi amekuwa mkali sana? Kitu kidogo tu akitaniwa anafura redioni na kutoa maneno makali, Anashindwa kwenda sawa na Masoud Kipanya na kufanya kipindi...
Yule presenter maarufu na mwananadada gang,Salama J amezua gumzo mitandaoni baada ya kupost picha ambazo zinaonekana kuwa amechoka,kubwa kabisa ni pale anapoonekana kama busta ya kutaka kifua...
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imesema itatoa amri endapo msanii wa filamu nchini Wema Sepetu atashindwa kuwasilisha uthibitisho wa nyaraka za matibabu yake.
Hatua hiyo imetokana...
Nimefatilia sana hawa wasanii wa kike waliopata kuwa na majina makubwa tangu zamani kama Ray C, Mwasiti, Linah, Rachel, Vumilia, Qeen Darlin, Pipi, Shilole, Snura, Vanessa Mdee, Ruby, Maua Sama...
Muimbaji wa muda mrefu wa kwaya ya Ambassadors of Christ, Mr. Nelson Manzi pamoja na mke wake Eunice wamepata mtoto wa kike, taarifa toka kwa ndugu wa karibu wa familia hiyo ametupa habari...
Huyu jamaa kweli ni mwendeshaji mzuri wa kipindi cha Morning Magic akiwa na wenzake akina Kibwana Dachi Mkambala, na Mary Edward.
Tatizo lake ni kuongea maneno ya Kingereza kila baada ya...
Awali ya yote naomba nitangaze "mahaba" yangu (decralation of interest) kwa mwanamuziki nyota nchini Ali Kiba, kwamba mimi ni mshabiki wako wa kutupwa. una sauti nzuri, una kipaji cha hali ya juu...
Wakuu huyu jamaa kila igizo lao la futuhi nikiangaliaga namuona kavaa mshati mkubwa unaoweza kufunika hata VITZ 3.
Mi mashati yake nikiyaonaga yanachekesha sana mara vifungo vimepishama mikono...
Picha iliozagaa katika mtandao wa facebook, ikimwonyesha mtangazaji mashuhuli wa idhaa ya kiswahili ambae ni raia wa Tanzania; Salim Kikeke imezua mjadala mzito. Picha hiyo ambayo Kikeke...
Hadi wa Leo diamond hajawahi kukili alimfuta alikiba kwenye lala salama .
diamond agekuwepo wapi Kama si alikiba alimpa nafasi Bob junior amrekodi diamond. Bila international collabo diamond si...
Kati ya wasanii ambao nawafatilia sana katika kila neno analo tamka kwenye muziki wake basi ni Msanii Fid Q.... maana kila atamkalo kwenye wimbo lina maana kama si leo basi ni kesho litakuwa lina...
Nakaaya, ambae ni dada wa Nancy Sumari, amemjibu Mange kuhusiana na uzi aliouweka kwa blog yake kuhusu ndugu hawa kuwa mbuzi na chui. Uzi ule ulionekana kuelemea kwa Nancy Sumari kwani ulionesha...
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz leo Julai 7, 2018 amesema kuwa endapo itatokea kesho akaaga dunia basi nusu ya mali zake zitachukuliwa na mama yake mzazi.
Kupitia ukurasa wake...
Hatimaye mwalimu wa kiingereza wa diamond na wasanii wengine wa WCB amefanikiwa kumfanya Diamond aongee kiingereza. Nimesikiliza interview aliyoifanya Washington DC Marekani nikashangaa ama kweli...
Popular Female Singer in EA Lady Jay Dee and Popular Presenter in Tanzania Gadner Habbash who were used to be wife and husband those days,before things went wrong....finally they met and shake...