Dah Ila wema jamani anapenda KIKI , kile kipindi cha utambulisho wa mboso alivyoalikwa na WCB na kukumbatiana na domo bhasi Madam ndo akajiona karudiana na diamond , akaanza kujipendekeza kwa kina...
Clouds TV INA onekana kumshambulia kijana wetu namzungumzia diamond platnumz
CEO wa wasafi TV leo naona kwenye twitter yao wamemchokoza mond na kuandika
Kua alikiba anasema hata wanawake hua wana...
Tatizo wadada wa mjini mnapenda kuoelewa/ kudate mastaa Ila hamtaki kulipa gharama, ku date na staa sio mchezo, mamillion ya watu wanatamani kulala na mastaa, mastaa huwa wanasumbuliwa kila...
Jarida la Fobes linalochapishwa nchini Marekani limetoa orodha ya watu kumi wenye ushawishi mkubwa zaidi duniani, huku nafasi ya kwanza ikichukuliwa na Rais wa China, Xi Jinping ambaye ndiye mtu...
LINAH, LINAH, LINAH
Linah Linah Linah, mara tatu nakuita.
Si kwamba akili sina, zipo ila zimegota.
Nahitaji kukuona, nikome ndoto kuota.
Jama nampenda Linah, mleteni nimwambie.
Linah...
Diamond kaja na free style aliyoipost IG.
Mashabiki wa King Kiba wanamwaga matusi.
Wanadai Diamond kawataja King Kiba na Ommy Dimpoz katika hiki kionjo.
Tutaona na kusikia mengi safari hii.
jamaa walitegema itashika sana aisee lakin naona baada ya mwezi imekuwa kama youtube channel tu au kama tv zilizoanza kwa mbwembwe ila hazikufika popote kama TTV1 Kwanzatv bongonativetv swahili tv...
Nimekuwa nafuatilia sana vipindi mbalimbali hasa vya mahojiano katika TBC ONE/TAIFA, kwa mijadala mbalimbali ya siha, kwa kufanya hivi nimebahatika pia kufanya uchambuzi wa watangazaji mbalimbali...
Ikiwa ni siku chache tangu stadi wa Bongo Fleva, Ali Kiba kufunga ndoa na mtoto mzuri kutoka Mombasa, Kenya Amina Khalef, ameonyesha nia ya kutaka kuongeza mke mwingine.
"Msanii huyo alisema...
#SteveNyerere amewajibu watu wanaolalamika kuhusu pesa za rambirambi za msiba wa #Masogange kutofika kwa familia na kuwaambia mchango ulikuwa wa mtoto wa marehemu na zitamsaidia kwa ada na...
Christine Mosha, during the interview at Eka Hotel Nairobi, Kenya on January 25, 2017.PHOTO | DENNIS ONSONGO
In Summary
She was born in Nairobi, Kenya but moved to Moshi, Tanzania. Her family...
Nimekuwa nikijiuliza sana hili jambo hasa pale napoona wanavyochalazana mkuyenge na jinsi wanawake wanavyotembeza papuchi,mfano gigy money alipohojiwa alisema hakumbuki kapigwa mkuyenge na wanaume...
Nilisoma mahali humu kwamba so called hitmaker wa "Mwana", Ali Kiba, amedai yeye anamini kutoa nyimbo Mara kwa Mara ni kutojiamini na ufujaji wa kipaji, na kwamba mwimbaji huyo ambaye amekuwa...
Wasaalamu WanaJf popote mlipo..!
Nimeona ni bora leo tukaukumbuka ufalme wa Prodyuza mkali bongo na East Africa kwa ujumla ndugu Paul Majani!
Ukiachilia mbali Kipaji chake cha kutengeneza midundo...
Sikukuu inaanzia ndani ya #Clouds360: Mfalme atawajibika kujibu kuhusu #MoFaya. Je ni yake? Inapatikana na wapi na nondo nyingine atakazoulizwa na samsasali @hassan_ngoma na@babbiekabae.
Wakati...
Hivi huyu dada alimaliza la saba kweli mbona kuandika kwake ni majanga sana ,mtu una followers milion 3 sijui moja kuandika hivi khaa, si ajifunze kama tu kuandika kwa kutumia keyboardy simu ni...
by Chris Mitchell
WALTERBORO, S.C. – Craig Mack has risen again. Not as part of the Bad Boy, but rapping about religion to a congregation in a new video from The Overcomer Ministry.
In the clip...
Aman iwe nanyi wapendwa katika jukwaa hili pendwa
Husika na kichwa cha habali hapo juu
Yule dada muuza nyago ambaye anaumbo tata la kimahaba amedai yeye kwa sasa hafikirii tena uigizaji maana...