Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Msanii Roma anaeunda kundi la ROSTAM amefungiwa kutokujihusisha na sanaa kwa muda wa miezi sita ikiwa ni kama adhabu ya yeye kutokutii agizo la baraza la sanaa tanzania (BASATA) la kufungiwa kwa...
1 Reactions
107 Replies
17K Views
Babu yangu(RIP) aliwahi kuniambia kuwa hakuna marehemu mbaya. Yaani mtu akishafariki ni ngumu na ni mara chache mno kuzungumziwa mabaya yake. Kinachotawala huwa ni mema ya marehemu tu! Mowzey...
36 Reactions
148 Replies
26K Views
Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Juliana Shonza amemfungia msanii Roma Mkatoliki kutojihusisha na tasnia ya muziki kwa kipindi cha miezi sita. Akizungumza leo Machi 1, 2018 na...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Matonya amefunguka kuhusu tuhuma zilizosambaa kuwa amekamatwa na Madawa ya Kulevya nchini China akisisitiza kuwa sio kweli na wala yeye hajawahi kujihusisha na biashara hiyo kwenye maisha yake...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakiokuwa wanapiga kelele eti ETV hawachezi ngoma za WCB,hicho kitu hakipo...sasa nguvu ya ETV+WASAFI....Clouds mtaomba poo mwaka huu na roho zenu mbaya. Muda huu hizi picha ni Ngoma ya Diamond ETV
3 Reactions
84 Replies
11K Views
Mzuqa SIZONJE's slaves! Kwani crazy GK aliwakosea nini AY na Mwana FA? Walikuaga Benet Sana. Hata kwenye harusi wamemtenga. Harusi ya AY iliyofanyika Golden Tulip
8 Reactions
124 Replies
28K Views
Wakati style ya kubadili rangi ya nywele zao na kuweka rangi tofauti tofauti ikiendelea ku-trend, Mwana FA hajakaa kimya katika hilo. Katika moja ya picha za Ommy Dimpoz ambazo anaonekana na...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Nyota wa muziki wa pop nchini Marekani Madonna amesema kuwa mwanawe David Banda atakuwa rais wa Malawi siku zijazo katika ujumbe aliouchapisha katika mtandao wa Twitter akimsifu mvulana huyo...
1 Reactions
46 Replies
7K Views
Hebu angalia hii video ya sugu show ya mwaka 1996 mnazimmoja Dar es salaam kweli Sugu ni mwanaharakati toka zamani
7 Reactions
37 Replies
6K Views
Bollywood Super star Sridevi amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. ======================================= Muigizaji wa kwanza wa kike kupata umaarufu zaidi kwenye soko la filamu nchini India...
1 Reactions
28 Replies
11K Views
Picha iliyozua maneno kuhusu mke wa Barnaba Boy ambayo yeye anasema ni ya kawaida tuichambue kidogo
1 Reactions
63 Replies
22K Views
Msanii mwenye kipaji cha kipekee ambaye amegeuka kuwa homa ya jiji Mbosso aka mbosokhan mshedede anakaribisha maoni yako kuhusu muziki wake. Hii ni baada ya kutoa ngoma mbili official na mbili...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Baby gal can definitely get it!
0 Reactions
5 Replies
580 Views
Baada ya kuvunjika kwa kundi la Yamoto band, kila msanii wa kundi hilo alianza kufanya kazi kivyake. 1. Aslay alianza kutoa nyimbo moja baada ya nyingine kila baada ya muda mchache bampa to bampa...
0 Reactions
22 Replies
17K Views
Moja kati ya majina makubwa katika soka kutokea ukanda wa Afrika Mashariki basi huwezi kuacha kutaja jina la nadhoa wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars anayecheza soka la kulipwa katika club...
16 Reactions
124 Replies
26K Views
Aliyekuwa mke wa msanii maarufu nchini Diamond aitwaye Zari Hassan amesema yeye na mme wake Diamond wameachana rasmi na kwamba hivi sasa kila mmoja anaendesha maisha kivyake. Source BBC!
5 Reactions
156 Replies
23K Views
Nahitaji Mtu au Watu ambao wataweza kuratibu vizuri kabisa hili zoezi la kuweza kuchangishana Pesa za Kutosha ili tumnunulie Zawadi kubwa na ya thamani sana huyu Mwanadada ambaye kwakweli nampenda...
28 Reactions
136 Replies
14K Views
Nimeona picha ya Zari na huyu anayejiita Pedeshee Katunzi, sijui ukweli wake kama hawa wawili ni wapenzi, huenda walikuwa ni wapenzi au ilipigwa kama ilivyo watu maarufu wakikutana pamoja hupiga...
1 Reactions
20 Replies
7K Views
Natumaini ni wazima Katka kitu nimekuj kushanga kwenye hii tasnia ya Sanaa Yan bila kiki huwezi kusogeza mziki wqko Kam shabiki wa damu wa mnyama diamond nilifwatia hili jambo kiundani Ila...
1 Reactions
40 Replies
10K Views
Wasalaam Kigali, Rwanda | Liliane Iradukunda has been named Miss Rwanda after the final round of the beauty contest at the Kigali Convention Center on Saturday night. The 18-year-old...
1 Reactions
57 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…