Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Heri ya kuzaliwa kwa bondia asiyepigika na bondia mwenye pesa zaidi kuliko wanamichezo wote ulimwenguni kuanzia soka ,tennis,basketball na kadhalika
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Niende moja kwa moja kwa huyu mwamba joslini mzeee Wa pafyumu yaani alitikisa balaaaa na baadhi ya nyimbo zake kama niite mpenzi,mshikaji mmoja,maisha yanatisha ft nuruel,huyu demu simwelew ft...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Salute comrades.. Leo namleta kwenu mchekeshaji na mwigizaji maarufu kutoka Afrika kusini Leon Schuster aka Mr bones. Kwa wapenzi wa filamu basi watakua wanamfahamu huyu jamaa . Anaitwa Leon...
5 Reactions
31 Replies
5K Views
February 19, 2018 Mwanamitindo maarufu Nchini Tanzania amealikwa ktk Makazi ya Malkia Buckingham Palace ya London Uingereza. Mustafa Hassanali amepata nafasi ya kualikwa kuhudhuria maonesho ya...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Baada ya kusumbua na hits kali kama (i) Kama Utanipenda (ii) Too Much (iii) Muziki (iv) Hasara roho kwanini Darasa amekaa kimya kwa muda mrefu?
0 Reactions
52 Replies
12K Views
Kila nikimsikia akifanya ' mahojiano ' yake ya Media mbalimbali hapa Madafuni / Tanzania utamsikia Msanii Ben Paul akitamba / akijifaragua / akijishebedua / akijimandingondingo kuwa Yeye ni Mfalme...
3 Reactions
48 Replies
8K Views
Msanii wa Filamu Bongo, Irene Uwoya amefunguka kuhusu tabia ya baadhi ya wanawake kutopenda mafanikio ya wazao badala yake wapo tayari kushuhudia wenzao wakishindwa. Muigizaji huyo amesema watu...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Salaaam wanajamvi. Kwa wale watumiaji wenzangu wa mtandao wa kijamii wa instagram wengi wenu mtakuwa mmemfollow mwanadada machachari anaeweza kuikosoa serikali bila woga:- Mange Kimambi...
24 Reactions
254 Replies
48K Views
Divorce act inahusu watu walio nje ya ndoa pia: NENO TARAKA LIMETUMIKA KWA KUKOSEKANA KWA TAFSIRI YA KISWAHILI NOTE: PLEASE, SOMA ARTICLE NZIMA KABLA YA KU COMMENT ILI KUELEWA MADA. Vyanzo vya...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Huu ndio uhalisia kuhusu Simu hiyo.
12 Reactions
333 Replies
39K Views
Wasanii Aslay na Nandy wamepigwa faini ya milioni 5 kwa pamoja kutokana na kukiri, kukubali kosa kuimba wimbo wa 'Subalkheri Mpenzi' bila kufanya mawasiliano na wamiliki wa wimbo huo ambao ni...
0 Reactions
22 Replies
9K Views
1.Vanessa mdee Huyu pamoja na kuwa na jina kubwa ila hana lolote kiukweli anaboronga sababu nyimbo nyingi anajifanya anaimba kizungu. Huyu dada ukisikia ameenda nje ya nchi ni kutafuta collabo au...
11 Reactions
61 Replies
8K Views
Blogger Mange Kimambi wa u-turn Blog ametiwa mbaroni na Jeshi la Polisi leo jijini Dar es Salaam. Polisi wamemkamata wakati ameenda kuchukua fomu ya kutia nia kuomba ridhaa ya kugombea ubunge...
10 Reactions
692 Replies
149K Views
Kwa ninachokiona hapa Escape 1,ni tofauti kabisa na kile kilichokuwa kinapewa promo na Clouds,kwamba hii ndio show kubwa ya kwanza 2018....mmmmmmhhhhhhhhh,jamani LIVE band itabaki kuwa ni ya...
6 Reactions
52 Replies
12K Views
Ndugu wadau mimi ni mpenzi wa TV 1 hasa kwenye kipindi tajwa hapo juu huwa nakipenda sana japo kinaonyesha ni cha muda mrefu huwa nikiangalia napata maswali sana moja ya swali ni Yule kiongoz wa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Huyu dada kila ukitaja wasanii wa hip hop wa kike hapa Tz huwezi kumkosa. Lakini personally uwa anavyo flow naona kawaida sana hata mistari yake naona myepesi tu. Wimbo nilioukubari ni up in the...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mange Kimambi amuasa Lulu’Una kesi kubwa achana na social media, jaji atahisi hujali’ don't forget to subscribe for more videos
3 Reactions
18 Replies
5K Views
Baada ya kupotea kwenye mtandao kama wiki mbili hivi bwana insta amemrejeshea acc yake comment oyoo kumkaribisha tena
6 Reactions
88 Replies
21K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…