Wadau baada ya Abdu kiba kutoa kibao chake cha Jeraha siku moja mbele Timbulo naye akatoa kibao chake akikiita Promise, Jeraha na Promise zina mashahiri yaliyofanana neno kwa neno! sikiliza hapa...
Mfanyabiashara na mchekeshaji maarufu bongo Idriss Sultani amekiri wazi kwa sasa wanawake wengi na warembo wanamuogopa kuwa naye kwenye mahusiano kutokana na kazi yake pamoja na umaarufu alionao...
Nampenda sana mwanamke huyu na popote alipo sifa zangu toka moyoni zikufikie.
Nimemtafakari kwa kina sana na kujiuliza kwanini mabinti bongo wamemjengea chuki
Jibu; Zari ni mzuri hakuna...
Clouds media wamekuwa miungu watu kwa mrefu kwenye Tasnia ya muziki na wanahisi wanaweza kufanya watakalo kwenye muziki
Wamwkuwa watu wa fitina,wanyonyaji na wanafiki
Nani asiyejua kuwa ruby...
Huu ndo wakati wa media nyingine kujitengenezea biashara kwa kuongeza wafuasi ukizingatia team chibu kwa sasa imeanza kujenga chuki kwa clouds kutokana na mgogoro unaoendelea so ikitokea media...
Rose Ndauka
MUIGIZAJI mwenye mikogo Bongo Muvi, Rose Ndauka amefunguka kuwa anatamani sana kuongeza mtoto mwingine kutokana na raha anayoipata kutoka kwa mtoto wake huyo wa kike aitwaye Naveen...
Kwenye wimbo wa Bongo Hip Hop wa FidQ kuna mstari unasema hivi:-
"Sio tu BONGO mpaka NG'AMBO hakuna UHURU wa HABARI... kuna uhuru wa mwenye CHOMBO, MITAMBO na mwenye MALI... Kujifanya hawasikii...
Wasalaam wana JF...
Ni ukweli ulio wazi vyombo vyetu vyote vya habari vinatabia zinazo fanana na vinatofautiana sana kwa kiasi kidogo sana vyombo vyote vinapenda kubembelezwa ,kuabudiwa,kusifiwa...
Mpaka sasa hawaamini hao Clouds, waendelee kukuina kichwa sanaaaa
Hili jembe lishatoboa tundu muda sanaa, wamechelewa waendelee kujipanga kwa hao wengine walokubali kunyanyaswa
Kwa sasa...
Mtakumbuka siku ya leo, Meneja wa Diamond ametokwa na mapovu balaa akimshambulia mtu ambaye alikuwa hamtaji jina, badae akaahidi kusema ukweli kama alivyoandika hapa => Meneja wa wcb sallam sk...
SOURCE: MWANANCHI
Waswahili wanamsemo wao usemao ajali kazini. Hivyo ndivyo ilivyotokea kwa Msanii wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul maarufu Diamond ambaye amewasili katika viunga vya Mahakama ya...
KISUTU: Leo Februari 8, 2018 msanii Wema Sepetu amafika Mahakamani hapo kwa ajili ya kufatilia kesi yake ya kukutwa na msokoto wa Dawa za Kulevya aina ya bangi. Wema amefika Mahakamani hapo akiwa...
Hatari sana haya mambo,mzuka wa queen Darlin leo akiwa jukwaani Mwembe yanga kumkaribisha Mbosso.
Darlin alidhihirisha maana halisi ya wimbo wake ntakufirisi...
Toni Braxton recently dropped by Good Morning America on Jan. 25 to promote her forthcoming film, Faith Under Fire, and spilled some serious tea about her budding romance with Cash Money mogul...
Moja ya kipande chake cha ngoma mpya inaonekana 20 Percent akiwachana kiaina Clouds Fm kwa kuwaaambia ukitaka kudhalilishwa Nenda Clouds hata Sketi watakuambia uvae.kwa Mwendo huu sijui kama tutafika
Mwanamuziki aliyeuteka ulimwengu wa Bongo fleva Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ amejikuta ndani ya skendo nyingine baada ya mwanadada mrembo anayeitwa Mia kukiri kuwa alilala na nae nyumbani kwake...
Hivi huyo kijana ana umri gani? Unajua kuna umri mtu unaweza kuwa mapepe lakini ukiona umri umezidi lakini bado tu una mapepe fulani ambayo wanaume wengine hawana, unatakiwa ukalishwe chini...