Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Tupe taarifa za ziara yako naona upo kimya sana kulikoni!! Tunasubiri kwa hamu au ndio tuseme kimya kingi kina mshindo mkuu!! Chama Gongo la Mboto DSM
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa hakika kama unamfuatilia Soudy kwa makini utagundua fika kuwa umbeya wake umejikita kwa wasanii wa bongo muvi na bongo fleva , video vixens ,na wana mitindo . Kamwe huwezi kumuona Soudy...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Maisha ya bondia Conor McGregor yamebadilika kabisa kwa sasa toka alivyopigana na Mmarekani Floyd Mayweather katika pambano la kihistoria na lililoingiza fedha nyingi. Gregor amekuwa akiishi...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Natamani DJ Jd aanzishe kipindi kwenye Television kiwe kimejikita nyimbo za flashback huku akialika wakongwe wa miaka hiyo wakishusha mastori
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kiukweli kama Mwanaume ambaye Kiafya kila siku lazima tu Mnara wangu wa Babeli ( namaanisha Uume wangu au Mkuyenge ) huwa unasimama asubuhi kunidhihirishia kwamba nipo vyema Kiurijali huwa natokea...
2 Reactions
57 Replies
6K Views
Mtangazaji wa Taarifa ya habari ya Azam two, Ivona Kamuntu jitahidi ubadilike kwani unatuboa sisi watazamaji wako wa taarifa ya habari. Umekuwa na tabia ya kurudia rudia hilo gauni lako la kitenge...
16 Reactions
137 Replies
43K Views
Mama Mobeto. KWA siku kadhaa kumekuwa na ubuyu mzito kuwa, mwanaume anayedaiwa kumuona mama wa msanii wa Bongo Fleva, Sanura Kassim almaarufu Bi Sandra anayetambuliwa kwa jina la Salum Shamte...
0 Reactions
95 Replies
15K Views
Ni Aibu kuu tumedhalilishwa sana watanzania pamoja na wanawake wengine wooote kwa alichokifanya Dada Faiza, kupitia page ya Mange Kimambi Instagram, kutoa na kuonyesha hadharani Chupi yake...
1 Reactions
71 Replies
9K Views
Kila kitu na wakati wake Naona ngoma ikivuma sana mwisho upasuka sasa naona upepo wa Team diamond,Team Kiba umefika mwisho. Hii imetoka na wadau wa Muziki kuchoka na kuona kuwa uwezo wao wakuimba...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Mtumishi wa mungu sijui mungu gani anajua yeye ,, kajua kunivunja mbavu aisee kampa huyu mwanamke kichambo cha haja cha kistaarabu nimecheka sana ila watu wengi kwenye kuzingatia kuandika ni...
7 Reactions
46 Replies
6K Views
Mke wa mchekeshaji steve Nyerere amezungumzia kuhusu dada mmoja wa bongo movie kunyang'anya mume wake na kudai kuwa steve ataenda popote lakini atarudi tu kwa kuwa yeye ana watoto wake, Amesema...
8 Reactions
102 Replies
29K Views
Kiukweli huyu mzee tulivipenda vitu vyake ila tusimlazimishe kurudi kwenye Sana'a ya mziki! Huyu mzee kachoka na kazeeka hivyo hata akirudi kwenye muziki performance yake itakuwa poor. Ingawa...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Washiriki wa shindano la Avance Media kwa Watanzania 50 wenye umri mdogo na wenye ushawishi kwa mwaka 2017 wametajwa. Watanzania hao 50 huchaguliwa kwa kupigiwa kura wakitokea katika sekta...
0 Reactions
55 Replies
8K Views
Huyu jamaa nimekuwa nikimfuatilia muda mrefu.. Aisee huyu jamaa ni kichwa sana.. Yaani unaweza ukachukua threads kibao za JF na comments za watu, lakini yeye akaweza kuyapresent kwa mchoro mmoja...
17 Reactions
125 Replies
46K Views
Baada ya kimya cha mda mrefu ruby amukuja na muonekano mpya wa kimaumbile ambao unashawishi kumtazama kila akipita mbele yako, hakika zawadi ya kudumu ni kubarikiwa wowowo
1 Reactions
65 Replies
14K Views
Kulikua na mburudishani mmoja miaka ya mwishoni ya 80 akijulikana kama Queen Clouds alikua ni mchezaji wa disko miaka hiyo , mwenye kumkumbuka na kujua yuko wapi atupatie taarifa.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanasema "Like Father, Like Son" naona mtoto wa zari na aliyekua mpenziwe marehem Ivan Don, Raphael, ameanza kufata nyayo za baba yake baada ya kuonekana akiwa na mabunda ya hela huku akileta zile...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Umofia Kwenu wana JF, Habari zilizonifikia hapa minjingu ni kwamba msanii wa sinema za kibongo aliyetamba na movie ya swahiba,Rich mtambalike alias Rich Richie ameshusha mjengo wa ghorofa moja...
2 Reactions
47 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…