Hutu tu michael tulikuwa na dharau sana.Tunawekaje miguu juu mbele ya Rais?Au alimwona mzee mwinyi dhaifu.Ingekuwa wakati huu Magufuli angemkata makofi na kumpa masaa 24 awe amerudi kwao.
Habari
Mwaka 2010 huyu mwanadada alivuma na wimbo wake 'Inatosha basi' baadaye akaja na wimbo 'nafsi inauma' na mwishowe akatoa collabo na Mtoto wa Tandale baadaye akapotea.
Natamani kumsikia...
Hawa nd'o rappers na freestylers wakali na wakatili wanaoitendea haki rap ndani ya Tanzania,
Ingawa watanzania wengi bado hawajawajua.
Hao wengine wenye majina makubwa wanabebwa na upepo wa...
Wasalaam wana jamvi?
Ina semekana msanii Jack amekuwa na mchezo wa kwenda kujitolea mahari,hadi sasa amesha peleka mahari za wanaume zaidi ya saba kwa bibi yake....kiasi kwamba Bibi yake anaelekea...
Dah leo nimepata bahati ya kwenda gerezani kumtembelea lulu au Elizabeth, jamani ndugu zangu kaka dada baba babu Shangazi jela sio pahala pazuri.
Najua leo wengi wetu tumekaa tunakula pilau na...
Ndugu wana JF
Habari zenu wakuu, nimepotea kitambo kwa threads zangu za kuwashika vilivyo. Yule mkongwe wa game asiyekamatika na style yake ya kurap ambaye aliamua kuwa mchungaji, amerudi upya na...
Habari wanajamvi hebu tusalimiane na kufahamiana kidogo tukiumalizia huu mwaka... mfano: habari! naitwa James.. anayefuata..habari James naitwa Husein.. anayefuata.. habari husein naitwa Fadhila...
Baada ya kuona vijembe vikiendelea na maneno kuwa mengi kwenye mitandao ya kijamii kati ya Hamisa Mobetto na Zari na kuonekana kama upande wa Diamond Platnumz unadaiwa kuwa umeamua kumsapoti Zari...
Naisubiria kwa hamu siku yake ya kuzaliwa Abdul Naseeeb mtoto halali wa Diamond Platnumz a.k.a Muuza Karanga na Hamisa Mobeto Chuchunge au ukipenda muite mbu (Anopheles) nataka kuona kama kweli...
Miss Tanzania 2010 GENOVIVA MPANGALA, SIJAWAHI KUMTAMKIA KUMPENDA JAPO NILIKUWA NAMTAKA KIMAPENZI.
Mimi Deo Kisandu, Nakumbuka ilikuwa kati ya Mwaka 2012 au 2011 tulikutana Lushoto, Tanga akiwa...
Msikie hapa..
Hana shida na mtoto wa Mobeto..makosa ya wazazi si makosa ya mtoto. Yuko tayari kumpokea mtoto.
My Take...
Huyu mwanamke nafikiri akili zake si za Africa. Ana akili kubwa sana...
Msanii Nikki wa Pili ambaye ni miongoni mwa wasanii wachache wanaofanya uchambuzi wa masuala mbali mbali ikiwemo uchumi wa taifa, ametupa jiwe gizani kuhusu sera mpya ya viwanda.
Kupitia...
Msanii wa muziki wa bongo fleva Harmorapa amefunguka na kusema kuwa katika mwaka 2017 amehangaika kulipata penzi la mwanadada Wema Sepetu kiasi cha kuamua kwenda kwa mganga wa kienyeji mara tatu...
Kama umekuwa mfatiliaji wa online tv kuna hii Masanja tv ina mwanahabari anaitwa Yusuph Magupa, jamaa ana kipaji sana sema Masanja TV pale siyo mahali sahihi kwake.
Jamaa anahitaji mtu ampe...
Leo boxing day tarehe 26 msanii Alikiba aliahidi kufanya tamasha kubwa la funga mwaka na kushukuru mashabiki zake pamoja na kuzindua bidhaa zake mpya sokoni katika eneo la Escape one
Lakini...
Tunakupenda ww na mzazi mwenzio Chibu mnajitahidi sana kujitoa kwenye social media najua ndo sehemu ya maisha yenu mana bila hivyo nafikiri mngepotea ,
Una watoto 5 uliowazaa mwenyewe basi na...
Mimi naanza na Jide na Mwana FA!
Hakuna msanii ambae amefanya collabo nyingi na Mwana FA kama Lady Jay Dee a.k.a komando Jide.
Kama wasemavyo wahenga, rafiki yako mkubwa anaweza akawa adui yako...