kuna clip inaonyesha mr nice akiapishwa freemasonry na mwenzake alafu cha kushangaza soski za mikono wamepeana mmoja kabaki na kulia mwengine kabaki na ya kushoto.
Mfuko wa wastaafu uboreshwe...
Buti nyeusi za BALENCIAGA anazovaa Mondi zinaenda kwa jina la "ALASKA PUFFER BOOT (men)" amekuwa akizunguk navyo kika kona basi hata Abadilishe rangi tujue Anavyo Vingi basi, yan mwisho wa siku...
Kwa utafitu mdogo niliofanya kupitia Simba Day na Yanga Day nimegundua timu ya Yanga Ina mashabiki wengi wengi wanawake Tena warembo hasa ukilinganisha na Simba.
Hata waliongalia kwenye TV...
TANZIA: Msanii wa vichekesho Mzee King Majuto amefariki dunia usiku wa leo Agosti 8, 2018 katika Hospitali ya Taifa, Muhimbili alipokuwa anapatiwa matibabu.
Msemaji wa hospitali hiyo, Aminiel...
Mkurugenzi wa Clouds media group, Joseph Kusaga amethibitisha kutokuwa na Ubia wowote katika Wasafi media, ameeleza hayo katika mahojiano yake na Clouds, Kusaga ameeleza kuwa hana shea yoyete...
Adidja Palmer, maarufu kama "Vybz Kartel," alihukumiwa kifungo cha maisha Machi 13, 2014, baada ya kupatikana na hatia ya mauaji ya Clive "Lizard" Williams pamoja na wenzake watatu, Shawn, Andre...
Amani kwenu wadau,
Wiki moja iliyopita niliwaeleza jinsi Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la habari Tanzania (TBC), AYOUB RYOBA alivyotaka kupigana na mtangazaji wa EFM Radio, Gerald Hando
Dr. Rioba...
Yani wabongo bana wakishakamata vijichenji kidogo fujooo na kuanza kuringishia.
Aliyekuwa mpambe/mlinzi ama bodyguard wa msanii maarufu nchini Diamond jitu lenye miraba minne Mwarabu fighter naye...
Baada ya kifo cha 2 pac September 7 ,1996 , notorious B.I.G alihusishwa sana na kifo cha 2 pac na haya ndio yalikuwa majibu yake .
Kwa maana rahisi
“Sure we had our hardships, but I would never...
Wakuu bila shaka siku inaenda kadri mwenyezi Mungu anavyojalia.
Nisiwachoshe Kwa maneno mengi, naomba niende moja Kwa moja kwenye mada.
Binafsi nimetokea kuvutiwa Kimuziki na hili kundi la...
Kwa Wahenga wenzangu ambao tulikua miaka 1990s wakati huo kuna ITV na ITV 2, Cheka na CTN kulikuwa na muigizaji wa kwanza hapa Bongo
Alikuwa akiigiza Ana kigugumizi na tumbo kubwa na pia kwa...
Sisi wengine mambo ya siku hizi hayatunogei. Bora tukumbukie ya zamani tu!
Kwa wafuatiliaji wa game hii ya burudani, watakumbuka jinsi Prof Jay alivyokuwa akiburuzwa na penzi la mwanadada...
Wanawake wana dunia yao kimavazi, na nadhani wanahitaji kuwekewa "brake" maalumu duniani kote.
Tukiendelea hivi, baada ya miaka 5 wanawake watatembea uchi wa mnyama. It is too much!
Hebu mtazame...
Huyu ndiye kijana wangu Said Salim Bakhresa, Mtu tajiri sana hapo Tanzania ambaye leo anasherehekea miaka 75 ya kuzaliwa.
Mpaka sasa, Bakhresa sidhani kama amewahi kunywa:
👉🏾 Azam Energy
👉🏾 Azam...
Kuna wachekeshaji mnawaimba sana na komedi zao za kulazimishana kucheka ila kwa huyu mwamba Konkara namvulia kofia jamaa hatumii nguvu nyingi
Pata muda wa kumfuatilia ujionee
picha nawaletea sun
Kampuni ya Home Box Office (HBO) ya Marekani kuwalipa wasanii, Soggy Doggy na Dataz, kiasi cha Tsh Milioni 700 kwa kutumia wimbo wao "Sikutaki Tena" katika filamu ya "Sometimes In April" bila...
Unaambiwa couple inayotrend mtandaoni maarufu kama Meet Us, nje ya upendo ni chapa na ni brand inayowapa kipato. Ni biashara kama biashara nyingine Tsh Million 6 hadi 8 zinaingia kila mwezi kwa...
Pongezi ziende Kwa wazazi wote pastor John shusho na bi Christina shusho hakika mkishakuwa wazazi lazima mkutane kwenye matukio kama haya haijalishi mmetengana.