Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Aiseeh wacha wee mtoto , funguka zaidi basi tujue na mengine. Movie imenoga aiseeh kumbee
0 Reactions
89 Replies
13K Views
Zikiwa zimesalia siku 12 tu kabla ya hukumu yake kusomwa kufuatia kesi yake ya kuua bila kukusudia inayomkabili, taarifa zinasema maombi na sala zimekua zikitikisa nyumbani kwa msanii Elizabeth...
3 Reactions
109 Replies
22K Views
Urembo:Mrembo na mwigizaji wa filamu za kibongo, Diana Elizabeth Michael ‘Lulu' hivi majuzi alitupia picha yake ya zamani mtandaoni hiyo hapo juu ikiwa kama ni "throwback thursday" (TBT)...
0 Reactions
27 Replies
8K Views
habari wadau.. kesho ni nov 13 ambayo jaji atatoa hukumu kwa lulu kutokana na kesi yake.. kiukweli namuonea huruma sana... na huu ni uzi special wa kumtakia heri kwenye kesi yake hukumu isiwe...
2 Reactions
43 Replies
4K Views
Wajuzi wa mambo naomba mnisaidie, hivi ile kesi ya Elizabeth Michael au Lulu ya mwaka 2012 iliisha? Au kama bado ipo, nini kinachelewesha hukumu yake?
0 Reactions
26 Replies
5K Views
huyu legendary yuko wapi maana sijamsikia mwaka huu.. Jamaa anajua ile ngoma yake ya 2012 ya miss Tanzania mpaka leo naisikiliza naiona kama mpya. Achilia mbali zile ngoma zake za zamani ile album...
3 Reactions
59 Replies
15K Views
Nitoe ombi kwa wale wote walotumia ubinifu wa Dr Shika wajaribu kurudisha sehemu ya walichokipata kwa ajili ya kumsapoti huyu tajiri yetu matata. Baadhi ya watu hao ni Joti na kava lake la simu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Serikali yafungia rangu za midomo za Mwanadada Wema Sepetu zinazojulikana kama "Kiss". > Serikali imechukua uamuzi huo kwa kile kinachoeelezwa kuwa nimeshindwa kikidhi vigezo zilivyokuwa...
1 Reactions
51 Replies
9K Views
Wadau, hii imekaaje? Habari zinazosambaa kuwa Diamond kampachika mimba Tunda ni za kweli? Na huyu msanii naona sasa anapotea na kuzazaa hovyo sio uanaume. Hata kama una hela ya kuwatunza kwanza...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
no autotune,no bullshit,kibongobongo hizi wanafanya wa kwenye gospel tu,kama kundi la vocapella au kina paul clement
0 Reactions
2 Replies
966 Views
Habari zenu wadau Mie kwa upande wangu nafikiri huyu dada ake diamond hana kipaji cha kuimba labda anacho cha kucheza uchi instagram.. kiufupi wasafi waache kufanya kazi kiundungu huyu dada hajui...
10 Reactions
66 Replies
10K Views
Ni watu ambao mara kwa mara nimekuwa nikiwafuatilia kila mmoja katika jukwaa analolitumia na kugundua ya kwamba wawili hawa wana vitu vingi vya kufanana japo pia wana ambavyo wanatofautiana. Ni...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Hii ni moja ya nyimbo bora kabisa kuimbwa , ina mda wa miezi nane tokea itolewe na kundi la chainsmokers waliomshirikisha coldplay inaenda kwa jina la something just like this Enjoy[emoji116]
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Mmh!! Domo na mama tukinao mbona mnapa tununu presha hivi? Juzi tu hapa mwenzenu maralia ilimpanda kichwani, sasa hivi naona itahamia kwenye makalio, maana sio kwa kumrusha roho huko, Mara...
21 Reactions
89 Replies
16K Views
Video queen Sasha, anadai kuchumbiwa na mzungu ambaye ametajiwa mahari ya mil 40 na wazazi wake na amekubali kuitoa hivyo anatarajiwa kufunga ndoa mwakani mwezi wa tatu. "Nashukuru nimepata...
4 Reactions
70 Replies
14K Views
Beauty with brain! Hongera dogo, Mungu akusimamie katika kazi za mikono yako. Hamisa leo amepost kwenye ukurasa wake wa IG kuwa amekuwa akifanya biashara na watu ya kuuza nguo kwa miaka minne...
19 Reactions
159 Replies
15K Views
Nyepesi nyepesi zinazoenea chinichini Hamisa amepokonywa mtoto wake wa kike na mzazi mwenzake. Japo Hamisa anadai mtoto huyo hajapokonywa Wala nini bali kachukuliwa mara moja na mzazi mwenzie.
9 Reactions
171 Replies
29K Views
Nimemfuatilia katika Shows zake karibia zote za Tigo Fiesta na kugundua kwamba mara nyingi huingia Ukumbini au pale Stejini akiwa na mienokano ya aina hii: Kabebwa katika Wheelchair Kakunja mkono...
5 Reactions
50 Replies
6K Views
Kutoka amplifier ya clouds fm amesikika kiongozi wa msondo ngoma akidai wcb wawalipe 300 ml kwa kosa la kutumia kionjo cha nyimbo Yao kinyume na sheria kwenye wimbo wao wa "zilipendwa" kabla ya...
7 Reactions
144 Replies
21K Views
Rapper wa kike kutoka Tanzania Aitwaye Rosa Ree usiku wa Jana ameendelea kuonyesha kuwa yeye ndio mkali wa Kurap kwa upande wa wadada Afrika baada ya kuachia Video kali ya wimbo wake unaitwa Dow...
0 Reactions
40 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…