Mr.Nice akifunguka kuhusu utajiri wake ulivyotoweka ghafla!. Katika hali yakushangaza, Lucas Mkenda au maarufu kama Mr.Nice, finaly afunguka kuhusu utajiri wake na sababu za kushuka kwake...
Mnayakumbuka haya;mahujaji kadhaa wameamua kuswali kwa ajili ya yote aliehusika na matatizo na usumbufu wa mahujaji waliolala pale airport ya dar es salaam;
kazi kwelikweli
Makala
Nakala...
Distance: Lady Jaydee
Nakupenda, nakutaka, nakuhitaji-ii-iiii
Moyo wangu wakuwaza, mpenzi uko mbali nami
Nakupenda, nakutaka, nakuhitaji-ii-iiii
Moyo wangu wakuwaza, mpenzi uko mbali nami...
Hili bifu naona limevuka mpaka sasa, yani ukiona kuna bifu mpaka kufika hatua ya kukataa kuzikana ujue hilo bifu si la kitoto.
Ila ninachojiuliza mimi , bifu lao ni hiyo tuzo tu au kuna lingine...
Baadhi ya Wasanii Waliowahi Kutangaza Kuachana na Muziki
Suma Lee
Msanii huyu aliyetamba na wimbo wake wa "Hakunaga" alitangaza kuachana na muziki 2015 na kuamua kumrudia Mungu. Alisema nyimbo...
GTs,
Nimekuwa nikiona wana jukwaa mnavyomsema vibaya Christina kisa kuachana na mume wake Mzee Shusho.
Wengi wenu ni wanaume ambao hamjui hali aliyoipitia Christina ktk maisha yake ya kuolewa ktk...
Huyu presenter wa eatv kipindi cha 5 select Fevushka ananibamba sana kuanzia sura na appearance kwa ujumla(modo) ni aina ya sampuli ya wasichana wenye sifa zote zinazonivutia in short she is my...
Baada ya Rihanna na Katy Perry na Pitbull, Justin Bieber alipwa shilingi bilioni 26.4($10 mil ) kutumbuiza katika shamrashamra za harusi ya mtoto wa tajiri namba moja India na bara la Asia kwa...
Nimepitia jukwaani nikaona picha ya Amina Chifupa nikakumbuka namna alivyofariki na kutuachia maswali mengi.
Hayati Amina Chifupa alisema ana list ya wauza “poda” na atawataja hadharani bungeni...
Wakuu habari za leo?
Nimepata mtafaruku wa moyo sana leo kuwaza ni kipi kimewahi kua kipindi bora zaidi cha Radio na Television hapa nyumban Tanzania.
Kwa upande wa Television kwangu vipindi...
Ukiwa strategic person basi mafanikio yataflow kwako kama maji ya mto yanavyoingia baharini yaani ni mwendo wa blessings mpaka unamuuliza Mungu why me!
Sasa Kuna dada zetu waliingia kazini miaka...
Nmepita pita kwenye mtandao nimekutana na picha za sherehe ya HARUSI ya kuolewa kwa BINTI ya muheshmiwa Rais wa Zanzibar Ndugu Hussein Mwinyi.
Nmepatwa kiu ya kujua huyu mshaikaji aliepata hii...
Video kuwa na budget kubwa haimaanishi kuwa itakuwa bora Kuna utofauti mkubwa kati ya video ya gharama na video iliyo Bora.
Kwa mtazamo wangu ambao sio lazima Kila mtu awe nao kwangu Music video...
Diamond Platnumz ni Msanii mkubwa duniani, BASATA pamoja TASUBA kuna haja ya kumpongeza kwa jitihada zake za kukuza lugha ya Kiswahili
Diamond ni kijana wa Tanzania mwenye kiu ya kufikisha mbali...
Msaniii pendwa kutoka kusini mwa jangwa la Sahara hatimaye Leo kaachia video la Dunia inaitwa Comasava hili goma sisi yanga day 🙌tuta enjoy sana kwa mkapa Cc ephen_
Hapa director folex katisha...
Kufa tutakufa kikubwa kujiandaa ,Asalam aleykum wanajukwaa hiyo ni salamu kwenu.
Tafadhali nina shida na namba za simu au mawasiliano ya aina yoyote kwa wasanii wafuatao nahitaji ikiwa unazo...
Mimi sio mpenzi wa miziki ya vijana japo utakuta bar na harusini ila huyu mtoto anapaswa kuogopwa japo kijana mwenzake alikiba ni mtu wakukunja sana kama ulivyo asili ya mkoa wao walipotokea.
Kwa...
Macho yanavutia sana. Kupitia macho waweza kuchungulia roho ya mtu, baadhi ya vigezo vinavyofanya macho kuwa yenye mvuto ni; kuwa na umbo la Uduara wenye uwiano, kuchomoza nje ya sura, na kuchukua...