Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Amesema kwamba kuanzia leo hadi kufa Kwake atakuwa anaitwa au atakuwa anajulikana hasa kwa majina haya mapya ya Hassan Ngoma Mange Kimambi Dotto Bahemu. Nadhani hili ni ' Jiwe ' kubwa alilolirusha...
8 Reactions
26 Replies
7K Views
Kuna kipindi hapo nyuma alikiba ali potea kabisa, Hakuwa tena yule tuliyemzoea akitoa kazi zake bampa to bampa, Nakumbuka alitoaga ngoma ya dushelele ndo ukawa mwanzo wa ukimya uliostua wengi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa mjibu wa taarifa ya papo kwa papo(Breaking news) kutoka kwa Mange Kimambi mtangazaji huyo ni Hassan Ngoma.. "Ruge Mutahaba amsimamisha kazi Hassan Ngoma siku ya juzi October 19 2017 kwa...
2 Reactions
164 Replies
32K Views
Muigizaji Lulu, mama yake, na mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba walikua miongoni mwa watu walioshiriki katika misa ya kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu marehemu Kanumba afariki dunia, na...
2 Reactions
34 Replies
40K Views
Mwigizaji Elizabeth Michael "Lulu" akijiandaa kuanza kujibu mashtaka katika kesi ya kudaiwa kumuua bila kukusudia mwigizaji Steven Kanumba. Msanii Lulu Asema Kanumba Akiwa kalewa anampiga Sana.
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Elizabeth Michael Kimemeta Mkakati wa Lulu kujitoa kenye makucha ya hii dola kandamizi sasa umeanza kuchipuka pale ambapo mshitakiwa wa hii kesi ya mauaji alipokerwa pale mahakamani alipokuwa...
9 Reactions
515 Replies
65K Views
Huyo kijana anajitahidi sana kuanzia ile nyimbo ya bongo bahati mbaya,,sasa hiv naona kaja kiutani utani. ,,video zake si haba najua kucheza na camera halaf ile cheza yake huku akirap duu so...
10 Reactions
33 Replies
5K Views
Malkia wa bongo movie Elizabeth Lulu Michael atatakiwa kupanda mahakamani tena Oktoba 19 mwaka huu kwa ajili ya kusikiliza tena kesi ya mauaji inayomkabili. Lulu ambae anakabiliwa na kesi ya...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Model ambaye mara nyingi anapenda kuacha wazi sehemu kubwa ya mwili, Jane Rimoy ‘Sanchi’ amefunguka kuwa anajutia akifikisha umri wa miaka 50 hajui maisha yake yatakuwaje. Sanchi aliiambia Star...
0 Reactions
39 Replies
9K Views
Wale wambea wenzangu team zarimond,sijui watahamia wapi maana story za chini kwa chini mahaba yamerudi na yule wa south kapumzishwa Yasemekana mpira umerudi kwa kipa(wema)ila kwa sharti la...
2 Reactions
69 Replies
10K Views
Habari wakuu Kutakuwa na shindano la fifa 17 kwenye ps3 na ps4 siku ya jumamosi Oct 28,2017 pale NEW MSASANI CLUB, Shindano litaanzia kwenye hatua ya makundi na kisha mtoano, shindano litaanza saa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ilikuwa ni desturi ktk kila tukio la kitaifa au laaa kumuona Mpoto akitumbuiza na kutunzwa na Sizonje iwe kwenye lile jengo jeupe au pengine! Siku hizi simuoni tena Mpoto akialikwa upande wa...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Hivi kati ya Yound Dar es Salaam na Fid Q nani Bongo bahati mbaya? Mwana fa safi sana kwa ngoma yako..ila bongo bahati mbaya kaua..huyu jamaa sema tu kwakuwa Tanzania tuna ombwe la redio...
7 Reactions
38 Replies
5K Views
Mrembo wa Tanzania na Kada wa Chadema Wema Sepetu ametoa ya Moyoni kwa nini hakwenda kumuona mapema Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu baada ya kupigwa risasi septemba 7 ni kwamba asingeweza...
8 Reactions
25 Replies
6K Views
Ikiwa imebakia siku moja kuanza kusikilizwa tena kwa kesi ya mauaji ambayo inamkabili, msanii Elizabeth Michael (Lulu) amesema yupo tayari kukabiliana na kesi hiyo, ambayo alijua ipo siku itarudi...
3 Reactions
149 Replies
47K Views
Julitha Kabeta ni mrembo atakaye wakilisha Tanzania mwaka 2017 katika mashindano ya Miss World. Japo imeacha sitofahamu nyingi kwa wadau wa urembo kwa jinsi alivyopatikana. Tunamtakia kila la...
3 Reactions
94 Replies
14K Views
Baada ya kutoka mahakamani amesikika akiulizwa mama una gari akasema akha tunapanda bajaji Hii kesi naona bora ingefutwa tu Pili.lulu kakosea sana angejaribu kuweka ukaribu na mama kanumba...
7 Reactions
128 Replies
21K Views
Habari kwenu nyote! Napenda kupongeza pande zote mbili kwa kazi nzuri ya kufikisha burudani kwa watanzania hasa wakati huu ambao sote tunakabiliwa na msongo wa mawazo ama kwa hakika burudani zenu...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…