Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Nazungumzia wasanii wa hapa Tanzania, je ni msanii yupo hata mkutane porini mkiwa huwezi kutamani hata kupiga nae picha!? Kwangu Mimi. Rich Mavoko Harmorapa Harmonize Dimpozi Queen Darleen...
0 Reactions
82 Replies
8K Views
TAZAMA Mwenyewe Zari The Boss Lady Ilivyokuwa Shangwe katika uzinduzi wa Mall | Dar Es Salaam
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Msanii wa muziki wa Injili, Emanuel Mbasha ambaye wengi humsifia kwa utanashati wake, amesema anamshukuru Mungu kwa kuonyeshwa kupendwa, baada ya mabinti wengi kumtamani kimapenzi. Akiongea na...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
habari wadau. mimi ni shabiki mkubwa wa diamond platnumz.. na wcb kwa ujumla.. kuna mtu hasikiki sana anaitwa mwarab fighter.. huyu jamaa anajua sana kutimiza majukumu yake.. niliangalia video...
16 Reactions
45 Replies
11K Views
Habari wadau.. Zari kaja Tanzania kuzindua duka la gsm.. Ushauri tu kwa diamond na wcb management.. mtumie hiii fursa kupata kiki na kupiga hela... Nawaza tu kama diamond akaenda mcity leo na...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Ni kweli anaolewa mwezi ujao na siku ya posa ilishapita zamani, Anaolewa na mwanaume wa kenya mombasa, nakutakia majukumu mema kwa ndoa yako. Magume gume yamebaki mtaani khaaa!!!!! Jina lake...
22 Reactions
242 Replies
44K Views
LIVE Ben Pol VS Juma Jux Fiesta | Mbeya Warning:- Video Haina Quality nzuri
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mambo vipi wadau? Leo asubuhi wakati nawasha redio nikasikia wimbo mpya wa Aslay unapigwa Clouds. Baada ya wimbo kuisha nikasikia Fredwaa akisema kuwa Dogo amesajiliwa kwenye Lebo ya Alikiba...
2 Reactions
50 Replies
23K Views
Nimekuja Dar kwaajili ya Danube sio Diamond – Zari
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Mapokezi Ya Zari The Boss Lady leo | Airport kama Ifuatavyo
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Mdogo wa Jokate niliyosoma nae ambaye nipo nae sawa kiumri yeye anamiaka 30, lakini dada mtu ana miaka chini ya 30. Hakika haya ni maajabu
21 Reactions
176 Replies
34K Views
VIONJO VYA NYIMBO YA | ROZZAY NA PLATNUMZ Tazama
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Hapa katikati Aslay anakuja kwa Kasi kiasi cha kutishia ufalme wa kiba na diamond. Ile show ya Mwanza tigo fiesta ilitoa majibu kuwa ASlay ni anakuja kuvunja ukuta wa kifalme wa kiba na diamond
3 Reactions
14 Replies
7K Views
VIDEO : @rayvanny afanya Kufuru na warembo huko Miami Marekani... Tazama hii Akichekelea mrembo@iamveravendetta anayecheza Nusu Utupu.... Full Kujiachia. Ikiwa bado anaendelea kufanya matanuzi na...
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Je hawa ni Mtu na Baba yake au ni Mtu na Mpwa wake au ni Mtu na Mdogo wake? Nauliza hivi kwakuwa wamefanana kiasi kwamba ni vigumu kutokuamini kuwa labda wana mahusiano makubwa ya Kindugu na...
1 Reactions
37 Replies
7K Views
Vanesa Mdee atema povu zito kwa shabiki wake mmoja mwenye kiherehere. kama we sio mbea pita kama we mbea acha comment.
0 Reactions
34 Replies
9K Views
Msanii wa kimataifa toka Nigeria Davido ametajwa moja kwa moja kuhusika na kifo cha rafiki yake aitwao Tagbo. Katika maelezo yake ya mwanzoni Davido akiwa polisi alisema hausiki na kifo cha Tagbo...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Huyu dada namkubali kweli as a person. Yuko so dope! She lives her life na yupo kinyamwezi ile mbaya. Mjanja. Namkubali sana huyu demu as a person! WHAT ABOUT U ?
3 Reactions
35 Replies
9K Views
Cheki Waarabu hawajui kiswahili wala nn ila wameamsha mbayaa, big up Diamond kwa kuufikisha mziki wa Bongo mbali
4 Reactions
15 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…