Diamomd Mimi ni shabiki Wako Tena shabiki wako mkubwa! Nafurahishwa na Juhudi zako nafurahishwa na Utendaji kazi wako! Juhudi zako za kufanya Collabo na wasanii wakubwaa inanitia moyo na...
Ndugu wanajamvi nimeusikiliza wimbo wa msanii anajiita ZAIID unaitwa wowowo. Ni msanii mzuri aliyekuja na wimbo mzuri sana lakini cha ajabu hapati promo kwenye media za Tanzania hata kidogo. Nina...
Mimi ningependa kuwaoona watangazaji wafuatao kuwa kituo kimoja cha habari hapa Tanzania ili kuunda Timu ya hatari
CHARLES HIRLARY
IVONA KAMUNTU
ZUHURA YUNUS
BARBIE KABBAE
MILARD AYOO
MASUD...
Msanii anayefanya vizuri na kuitangaza bongo flavour kimataifa na hitmaker wa "Hallelujah" Diamond Platnumz hivi punde atakuja na Album yake mpya iitwayo "A boy from Tandale"
Na bila kusahau...
The BET Hip Hop Awards were taped in the 305 this past Saturday and aired tonight [Oct.10] on BET.
Per usual, one of the highlights was the cypher and Em came back from 'retirement' and dropped...
Huyu binti mavazi yake naona hayapo kimaadili hasa ikizingatiwa kuna baadhi ya familia zinapenda kufuatilia tamthilia ya siri za familia mara baada ya kumaliza suzzy na sam wa misago ni jambo la...
Inasemekana daimond alivyokwenda south akamchukua Nillan na kwenda kupima nae Dna kimya kimya majibu yakatoka 99%sio wake,,
Wabongo tulikataa kua mbona huyu mtoto anamfanana marehemu ivan,,
Team...
Mtoto wa Magu huyo huko Snapchat...... babake yuko huku anatupigia kelele eti Watu walikuwa na pesa za kuchezea sasa zimeondoka, Mbona mwanae bado ambazo pesa za kuchezea mpaka anazimwaga kwenye...
Kumekuwa na taarifa mbalimbali zikiendelea kusambaa juu ya Nay Wa Mitego kufulia mpaka kufikia hatua ya kuuza magari yake yote na sasa ameonekana mara kadhaa akitembea na bajaji hali ambayo...
Mashabiki wa Lemutuz wamemtaka gwiji hilo la mitandao ya kijamii kuwa makini na mrembo Hamisa Mobeto hasa kutokana na tabia yake ya mrembo huyo kutegeshea mimba kwa watu wenye ukwasi kama...
Habari za kunyapia nyapia Wolper na yule serengeti boy wake sasa wameshagawana hamsini hamsini baada ya kiben ten kupost picha ya mahaba akiwa na mwanamke mwingine.
Hizi ni baadhi ya picha...
Hiyo ndi simu ya Dangote, inaitwa Nokia Vertu Signature. Bei yake ni $5000-$7500. Convert kwa pesa ya madafu, km 16.5M/= hivi.......Alhaji sio mtu wa kisport sport
[emoji124]
Toka nianze kumsikia Mange Kimambi mtandaoni, nimeona asilimia kubwa ya watu huamini kila anachosema.
Kwanini kila habari yake inakuwa verified kuliko nyingine?
Au ni watu ni ile tabia ya...
Hizi tuzo alizoshinda naomba tu iwe fundisho kwa wengine kutomsingizia uongo mtu.
Hizi tuzo zinatoa tafsiri ya kuwa anao mashabiki wengi duniani. Hao views ni wachache kuliko kuliko waliompigia kura.