Wasalaam wana jamvi!
Jumatatu kuanzia saa saba mchana Ndug Hamisa Mabeto atafunguka kupitia Clouds Fm kwenye kipindi cha XXL!Hii.imekuja baada ya mzazi mwenzie Diamond Platinumz kufunguka wazi na...
Hawa ni watu maarufu sana miongoni mwa vijana, na kwa nchi zenye wanamuziki mashuhuri huwa mambo ya kujitolea na kufanya shughuli za hisani huwasogeza wasanii karibu na mashabiki zao.
Lissu ni...
Msanii na mfanyabiashara maarufu Naseeb Abdul (Diamond Platinum) ingawa ni role model wa mabishoo wengi hapa mjini lakini tukisema tutaje watu wanaojua kutupia/ kunyonga/ kuvaa vizuri diamond hata...
Katika hali isiyo ya kawaida diamond amewatolea maneno machafu mashabiki waliomkosoa tabia yake ya kutembea hovyo na Wasichana hali inayomkosesha Amani Mpenzi wake, Zari.
Hali hiyo imejitokeza...
Akizungumza kwa kujiamini kabisa na mikogo yote unayoijua Wewe Meneja mzoefu wa Wasanii maarufu na wakubwa nchini Tanzania na Diwani wa Kata ya Kilungule kupitia Chama cha Mapinduzi Said Fella (...
Mr. Blue Anadai kuwa kutokana na ustaa aliokuwa nao, wasichana wengi walimtaka na yeye alichokifanya ni kuchagua amtakaye na kumpa mambo. Blue anasema enzi hizo alikuwa playboy haswaa!
Anasema...
Sakata la @hamisamobetto... @zarithebosslady Lazidi kuwagusa Watu kibao... Time hi shilole yamemfika hapa.. Ameamua kutoa povuuu : . By @shilolekiuno_badgirlshishi Mwanamke asiyejielewa ndio huwa...
Natumai uko salama na naamini utakuwa unapitia pande hizi.
Naomba nikushauri kitu Naseeb Abdul, ni ukweli usiopingika kuwa wewe ni celebrity mkubwa sana hapa bongo na naomba nikiri wazi kuwa mimi...
Huyu dada jana alitumia lugha kali sana dhidi ya kigogo mmoja kufuatia kauli aliyoitoa kuhusu matibabu ya Tundu Lissu huu ukiwa ni muendelezo tu wa namna ambavyo amekuwa akiwachana hawa watu...
Diamond alisikika akijinadi kuwa alimnunulia Hamisa Mobetto gari aina ya RAV4!! Hii inashangaza! kweli star kama Domo ni Wa kumununulia Demu Ki Rav4 harafu ujigambe mbele ya watu?
unamshusha...
Masinema ya diamond kuzaa na wanawake mbali mbali yameendelea kutuvuruga wapenda ubuyu, jana alijitokeza mwanamke mmoja mburundi akisema amezaa na diamond watoto mapacha wa kike, mwanamke huyo...
Gangasta's Paradise ni moja ya Miziki mikubwa kabisa kutokea dunia, ngoma hii kali ilirekodiwa mwaka 1995 na mwanamziki Leon Ivey Jr maarufu kwa jina la kisanii Coolio, ndani yake kwenye kibwagizo...