Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

SHAHIDI upande wa serikali kesi ya Wema Sepetu kutuhumiwa kutumia madawa ya kulevya amesema msokoto wa bangi ulikutwa ukiwa kabatini jikoni kwake. Hayo yamesemwa na ofisa wa ofisi ya Mkuu wa...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Habarini wanajamvi. KUTOKA BONGO FLAVA: Muziki wetu kwa sasa unakua kwa kiwango cha kimataifa kiasi cha kufanyika kile ambacho hakikuwahi kufikirika kichwani mwa watanzania wenyewe kuhusu BONGO...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Dah! Huyu Diamond wenu Watanzania kweli kidume maana kwa jinsi huwa namuonea wivu kwa huyo Zari wake....Aisei hatulii, mara kamtia mimba yule msanii waliyeshiriki naye kwenye wimbo wa 'Salome'...
3 Reactions
38 Replies
11K Views
MWIGIZAJI na mchekeshaji wa Filamu Bongo, Meya Shaabani amesema kabla ya kuingia katika ndoa aliichukulia poa, lakini kwa sasa anaona utamu wake na kumfanya afurahie maisha. Meya alisema maisha...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Jaman wanajf huyu mwandish wa tbc ni nouma anatangaza vizuri sana na anastahil pongez karipot vzur sana uchaguz mdogo wa igunga!
2 Reactions
28 Replies
7K Views
Leo katika pita pita yangu huko instagram nimeona msanii maarufu Duniani Rick Ross amempost Diamond na Kuandika maneno fulani! inaonekana Diamond kuna Deal kala la kutangaza kinywaji fulani hivi...
2 Reactions
54 Replies
10K Views
Kuna jamaa mmoja alikuwa anatangaza pale clouds FM kwenye kipindi cha the request show jumapili na kuna siku alipewa kuendesha kipindi cha xxl badala ya fetty, dozen na Adam walipokuwa...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Tumebishana sana leo kitaa hebu nisaidieni wanakijiji juu ya hawa mastaa nani mkali? Diamond na 20%
0 Reactions
56 Replies
10K Views
Nmekua nikisikia kua et diamond na bobjunior mkali diamond wana jf mnasemaje kuhusu hili nsaidieni jaman.
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Inakuwaje staa kama Lulu anakubali kuweka ramani ya jasho kwenye kikwapa? Inamaana hajui matumizi ya deodorant wajuzi wamsaidie?
1 Reactions
68 Replies
52K Views
Kwa staili hii ali kiba akikaza Anaweza kumpoteza diamond mapema sana jamaa anaweza tuache utani.......cheki hapa
2 Reactions
48 Replies
7K Views
Aman iwe nanyi wapendwa Kwasisi tunaofuatilia midundo ya mziki huwa tuna dil sana na watayalishaji wa hizo midundo, kwa maono yangu ninavyoona kuna anguko kubwa sana la jamaa yangu t...
1 Reactions
18 Replies
6K Views
Shabiki maarufu instagram wa alikiba na anaejiita kiongozi wa team kiba hatimae amekamatwa na jeshi la polisi kwa kutukana na kukashifu watu mbali mbali mtandaoni, kijana huyo amekuwa akiandika...
12 Reactions
403 Replies
44K Views
:):)
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Waandaaji wa Fiesta, Kampuni ya Clouds Media Group wamesema hakuna mtu aliyezuiwa kuingia katika tamasha hilo. Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds, Ruge Mutahaba amesema wao wanafanya...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Watu wanaojulikana kutoka kampuni ya Tigo usiku wa jana wamkataza mwana FA kuingia katika shoo ya Tigo fiesta kama mtazamaji wa kawaida sababu anaidai kampuni hiyo bil 2.5. Wataalam wa sheria hii...
4 Reactions
37 Replies
8K Views
jamani nimeanza kusikiliza hits za ali kiba mwaka 2002 nikiwa darasa la nne na mr blue mpakaleo hii nina MSC and family either these guy deserve their kingdom hakuna msaa ambaye ame maintain kama...
9 Reactions
61 Replies
15K Views
DIVA"KABLA YA KUWA NA GK NILIKUWA NA DATE NA MWANASIASA" Diva alikuwa akihojiwa na mtandao wa Makorokocho. Swali : Je ni kweli Unatoka na GK? Diva : ofcoz doe …. Gk is my Angel, My...
1 Reactions
259 Replies
69K Views
MAKOSA,UZEMBE NA KUTAPELIWA KWA WASANII WA ARUSHA Mabadiliko makubwa ya sanaa ya filamu na maigizo kwa mkoa wa Arusha yalianza kuonekana wazi kipindi ambacho bwana Chriss Siriwa alipoingia katika...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…