huwa nasikiliza nyimbo za huyu jamaa, kuna ule wa umoja ni nguvu humo ndani anasema ''siwezi kula nguruwe, siwezi kuabudu sanamu...''. wimbo wake mwingine mpya wa hivi karibuni anasema ''wanaabudu...
Mwanadada Lulu Michael ambaye pia ni staa katika Bongo Movies ni mwanamke anayependa kupiga picha mara kwa mara huku akionyesha style mpya ya nguo zake ama mtindo mpya wa nywele zake.
Staa huyu...
Nimewakumbuka sana wasanii waliotingisha muziki wa kizazi kipya miaka ya 90's
Kwanza Unit (Adili -Nigger One R.I.P, D-Rob Zomba R.I.P, Kibacha -K single, Y Thang, Fresh G, Chief Ramson - Zavara)...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Yule dada ambaye huwa haishiwi vijimamboz mpenda dogo dogo anayekwenda kwa jina la Wolper anameenda kwao na 'ben ten' wake na kwenda kutoa mahari ili aweza...
Kwako Lemutuz
Unajiita sijui mzee wa mbebez, sijui le mbebez haya majina kiukweli hayaendani na wewe. Umri ulokua nao sio umri wa kuchanua na kula bata na vitoto vidogo ni umri wa kukaa nyumbani...
Je, kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii wasanii na watu wengine maarufu wanatoa kauli gani kuhusu Mh Tundu Lissu kushambuliwa na risasi jana?
Uzi huu umeanzishwa specially kwa ajili ya...
Rapa Farid Kubanda 'Fid Q' ameibuka na kuwachana baadhi ya wakina dada wenye tabia ya kuwategeshea wanaume zao ili wapate watoto kwa kuwaambia hicho wanachokifanya hakina utofauti na unyanyasaji...
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa katika bwana
Ile show kubwa kuliko inayojulikana kama tigo fiesta mbion kuanza kuwashwa mara baada ya miaka miwili iliyopita kutofanyika
Kwa mara ya kwanza kwa...
Jux - utaniua (manekee kaua sana sana maana nyimbo za namna hii yeye ndo mchawi wake)
Bright - Ni wewe (huyu dogo nilikuwa na mu under estimate ila kwa hii ngoma kwakweli nimekubari ni mkali sana...
Nyota wa filamu za Hollyhood, Angelina Jolie, amekuwa na wakati mgumu tangu alipoachana na mpenzi wake Brad Pitt mwaka jana. Aliambia Gazeti la Telegraph: ''Nimekuwa na wakati mgumu. Sifurahi kuwa...
Ndugu wana JF,
Kwanza niwatakie heri ya mwaka mpya, natumaini kwamba mnaendelea vema wadau wangu wa ukweli.
Leo nitajikita zaidi kuwaongelea wasanii wa muziki wa kizazi kipya katika ukanda wa...
Leo asubuhi kwenye kipindi cha Clouds 360 ,nilishuhudia kina Ngoma na wenzake wakimsifia Ali Kiba eti katoa wimbo mzuri ukifanya nchi ya Tanzania na Afrika mashariki yote izizime kwa ajili ya...
Nakumbuka Kelele za Mashabiki zilikuwa nying sana kwanin Ally hajatoa nyimbo kwa takribani mwaka mzima toka alipotoka na ule mwimbo wa Aje akatoa na Remix ambayo haikuwa nzur sana kuliko ile ya...
Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi maarufu kama ‘Sugu’ alianza kuijenga hoteli yake toka mwaka 2016 jijini Mbeya na aliweka wazi kabisa kwamba alipata mkopo wa kuijenga kutoka CRDB BANK...
Habari wakuu,
Kwa wale wadau wa burudani ya muziki watakuwa washawahi kumuona au kumsikia kijana anayeitwa Karim Seleman ama kwa jina la usanii CHIBA aliyekuwa akifanya shughuli zake za...
Msanii wa kimataifa ambaye pia ni mmiliki wa lebo ya WCB Diamond Platnumz hatimaye uchawi unaotumika kumshusha na kummaliza kabisa kisanii wagundulika.
Katika utafiti nilioufanya kwa miezi kadhaa...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habar hapo juu
Mkali anaye sumbua kunako game ya mziki na ngoma kali inayo kwenda kwa jina la sina jambo amekana vikal tuhuma za...
Huyu mzee pembeni ya Diamond ni nani? Ndo manager wa Diamond? Hivi karibuni nimekuwa nikimuonaona akiwa karibu na Diamond, hata kwenye picha za nyumbani kwa Diamond Madale huyu mzee amekuwa...
Baada ya Diamond kuubana wimbo wake wa Zilipendwa kusubiri Ally Kiba atoe kibao chake cha Seduce me ndiyo autoe wimbo wake ili kuufunika wimbo wa Kiba, Kinachoendelea sasa ni kwamba jaribio...