Mh Sugu..Joseph Mbilinyi Katika wimbo wa Galagasha anasema mwaka 2030 anagombea Urais na Kushinda... Anadai ' Am joking.....no no am serious'
Kila la heri kwa ndoto yake hiyo inaweza kutimia!
Kwa kweli huyu dada ataniua mie jamani.
Mbona ananichanganya sana huyu m-ghana!!!??
Haya majicho kaa unaweza ukayala.
I love you Jack Appiah wherever you are.
Siweki hata picha wivu
Sent using...
Yaani Huyu jamaa alishazoea kuishi kwa kiki so haishiwi vituko. Sasa Yale maandalizi yalikuwa ya nini mbona kama hiyo Arusi haijafanyika? ndio maana kuwa shabiki wake tu inabidi uwe na akili ya matope
Katika mazingira ya kawaidaa kama kichwa kinavyojieleza hapo juu kuwa king of all social media network ni kwamba ww upo katika mitandao kadhaa na unahusika kuwa active. Kutokana na uking wako hii...
Mwigizaji staa na Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu usiku wa August 31, 2017 alishindwa kutokea kwenye uzinduzi wa bidhaa mpya ya Idriss Sultan licha ya Idriss kuwepo kwenye uzinduzi wa movie mpya ya...
Habar zenu wanajamvi
Kutokana na kile alichopost ndg angu edo kumwembe naomba nichangie kwa kutoa maoni yangu kama ifuatavyo
Vijana wa kibongo sasa umefika wakat wa kubadilika ani unakuta...
juzi kati Celeb wakiganda muke ya diamond platnumz msaniii mkubwa Tanzania baada ya kuelewa aliamua kwenda kwao, huko alifanya mambo mengi na alionekana mwenye furaha muda wote mpaka pale...
Bingwa wa tennis kwa upande bi Serena Williams amejifungua mtoto wa kike katika hospitali moja ya mjini Florida Marekani.
Japo mwenyewe na jamaa zake hawajatoa tangazo rasmi tayari kuna ujumbe wa...
Jack Ma is the founder and executive chairman of Alibaba Group which is of Net Worth US$ 23.4 Billion.
Ma’s life has actually been riddled with failure.
Jack Ma's Chinese name is Ma Yun.
He...
Tanzania ya viwanda haiwezekani kabisa hata kwa enzi za magufuri. Udikteta haujengi nchi. Wananchi wanafocus vitu vya kiwaki kuliko maendeleo. Yaani asbuhi kila MTU instagram kufwatilia Mange...
hello guys
nikimwangaliaga mke wa roma, i have that gut feeling kuwa anampenda sana mumewe though i dont know her personally, lkn kwa kumwangalia tu nimem-judge hivyo, lyk anamsapoti sana mumewe...
Akihojiwa na EATV msanii mkongwe aling'ara kwenye maigizo ya Kaole 'BLANDINA CHAGULA' maarufu kama Johari ameeleza kuwa, anatafuta mume ambaye ana malengo na ambaye yupo tayari kumwoa.
Msanii...
Leo ni arobaini ya marehemu mama Zari huko Uganda, badala Zari apande ndege akamfanyie kisomo mama yake kaenda Madale kufanya shooting ya muziki wa Diamond.
Kweli Zari kakosa hela ya kumfanyia...
Jamani hayawi hayawi sasa yamekuwa. Kumbe promo zote zile clouds walikuwa wanataka kumsajili alikiba. Upuuzi mtupu. Ila sio kesi levo zake ni za akina Rayvan
Sijui kama ni mimi tu aliyegundua hili au kuna mwingine ila hajasema.
Nahisi Diamond na kiba wameamua kuitumia beef yao kibiashara zaidi.
Nimegundua hili baada ya kutafakari mazingira ya...
Chidi Benz azua jipya mjini, adai 2Pac yuko hai na anaishi nchini Cuba, na wanaongea kila siku na tayari ameshafanya naye ngoma itakayotoka hivi karibuni.
Chidi Benz ambaye kwa sasa anazungumzwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.