Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Miongoni mwa nyimbo ambazo zilikuwa zina subiriwa kwa hamu huku ikipata airtime kubwa ya promo kutoka vituo vikubwa duniani Kama Mtv Base ni wimbo mpya ambao umetoka leo wa patoranking...
2 Reactions
22 Replies
6K Views
Katika jamii yoyote upendo hujengwa kwa kuanza na misingi Licha ya kuwa watu mbali mbali hasaa mitandaoni kuibuka na kuungana kwa kuonesha chuki za wazi juu ya msanii Diamond platnamz .Bado...
3 Reactions
41 Replies
5K Views
Wadau kwa kilicho tokea Kenya,wa umini wa haki na demokrasia ya dhati watakubaliana na mimi kuwa mahakama ya kenya imeonesha dhahiri kuwa ni muhimili HURU na haiingiliwi ktk kufanya maamuzi yake...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Yaani mnamfananisha na sabuni kicherema na Soggy doggy?
1 Reactions
7 Replies
2K Views
hongera zao baadhi ya wasanii wa marekani, wasanii wa tanzania ni vizuri kujifunza kitu kutoka kwa hawa wasanii wenzenu sio kwamba mchukue tu kwa mashabiki, mkumbuke na kuzirudisha kwa nyakati...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Maisha ni zaidi ya kuishi,maisha ni mahusiano na katika hili basi maisha yana maana zaidi ya kuishi.Mfano pale unapo amka asubuhi na kugundua kuwa kuna binadamu kama wewe wanaishi katika dunia...
10 Reactions
36 Replies
7K Views
Ni nadra sana kuona Watu wa ' Medani ' hizi Kubwa tatu ( 3 ) nchini Tanzania Kuoana wao kwa wao na kila unayekutana nae na ukimuuliza tu atakuambia ni bora asioe kuliko Kuona mwana ' Medani '...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Hii ngoma ya beka naona imekaa poa sana, ni mziki mzuri especially ukiusikiliza kwenye spika kubwa. Producer Maximizer ametisha sana. ! Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
20 Replies
11K Views
Simba wa Moro azungumzia nyimbo tajwa mbili na kuzikubali zote. Pia Sele amesema kuwa Zilipendwa ni nyimbo kipenzi mtaani na vijijini kwa watu ambao labda uwezo wa wao ni mdogo kuitazama Youtube...
16 Reactions
56 Replies
9K Views
Msanii wa muziki bongo fleva Juma Jux aonyesha bado anahitaji uwepo wa aliyekuwa mpenzi wake msanii Vanessa Mdee, kwa kushindwa kuvumilia maumivu ya kuachana na kuweka bayana kwamba atafarijika...
0 Reactions
43 Replies
13K Views
Diamond ndo mtanzania pekee alietajwa kwenye 100 most influential young Africans 2016 katika list iliotoka Leo katika kipengele cha sports and entertainment. Kutoka East Africa, Uganda amechomoza...
11 Reactions
82 Replies
11K Views
Management ya Alikiba nafikiri waangalie,hii staili ya kuitafutia ngoma promo itamharibia na mwisho kuonekana hawezi ...ngoma aliyotoa ni nzuri ya kawaida,sasa utasikia Mbunge Flan...No...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Ukienda kule, ukirudi huku ni Domo kamchokoza King kiba matokeo yake kaangukia pua. Ukilala ukiamka story ni Mondi na Kiba. Ukisikiliza redioni ni Seduce me tu,naambiwa Zilipendwa wanapiga...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Zaidi ya Diamond ...tujiulize carnte himself
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Huyu kijana alijizolea umaarufu miaka ya nyuma kutokana na tabia yake ya kulia lia sana pale timu yake ya Yanga ilipokuwa ikipokea kichapo alikuwa anashindwa kabisa kujizuia vile vile alihangaika...
24 Reactions
80 Replies
12K Views
ALL PICTURES BY @heaven on desert instagram @ kifesi official diamond's blogger and photographer
1 Reactions
103 Replies
26K Views
NDEFU KIDOGO KAMA UNA USINGIZI KALALE UTAIKUTA KESHO. Mambo vipi wadau. Kuna muhenga alishawahi kusema kuwa ukiwa unatukanwa sana kwenye "soshomedia" basi ujue we ni star. Usemi huu nimekuja...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Msanii wa muziki na video vixen, Amber Lulu Jumanne hii alipelekwa kituo cha polisi cha Urafiki Ubungo jijini Dar es salaam kueleza kama anahusika katika kusambaza picha chafu mtandaoni ambazo...
0 Reactions
59 Replies
25K Views
juzi nilikuwepo kwenye uzinduzi wa ile movie yako ila sikuamini nlichokiona Wallah mtoto umbo namba nane limekaa likakalika kweli na huo mtrako nyuma ndo kabisa uliniua nguvu zotee za kiume.. ila...
0 Reactions
22 Replies
10K Views
Kwanza mimi cna team katia ya hawa watu wawili ila Kumfananisha #diamond na #kiba mna nkumbusha kipindi cha #ray na #kanumba ujue ilikuaje Wakati kanumba akiangaika kutafuta masoko ya move nje...
30 Reactions
63 Replies
9K Views
Back
Top Bottom