Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Mambo zenu wadau, Ningependa kujua yule mwanadada machachari kabisa aliyetamba na kibao chake cha "Na yule" amepotelea wapi maana naona hasikiki kabisa siku hizi toka alivyotangaza kutoka...
5 Reactions
59 Replies
11K Views
Uchaguzi mdogo uko Kenya ulifanyika kati ya nyimbo mbili zinazobamba hapa bongo za vigogo wa muziki. Asilimia tatu(3) kama uonavyo matokeo jinsi ulivyokawa,wanasema hawafungamani na pande zozote...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Watu wamekuwa wakimdharau huyu jamaa je amekua? Japo anasifika kwa kumwaga mipesa kwenye burudani je amekua? ni biashara au nani yupo nyuma yake? Umiliki 1. Toyota prado(new model) 2. Toyota Rav...
3 Reactions
174 Replies
32K Views
Msanii mwanamama Saida Karoli amerudi kwenye game vizuri baada ya kuachia wimbo wa Orugambo, sasa amekuja na wimbo mpya aliowashirikisha vijana wa bongo fleva. Pamoja na yote Saida hajasahau aina...
5 Reactions
21 Replies
8K Views
EXCLUSIVE: Msaani Ali Kiba anatumbuiza leo usiku katika sherehe maalum iliyoandaliwa na Umoja wa Vyama vya Upinzani (NASA) kwa ajili ya kuwashukuru wapiga kura wao. Habari hii imethibitishwa na...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Baada ya sakata la kusema amefanya collabo na Tupac na kuleta mtafaruku mkubwa kwa mashabiki huku wakimtolea maneno makali wakisema amesha athirika kiakili kwa madawa ya kulevya kwa kuwa Tupac ni...
1 Reactions
34 Replies
9K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Jambo!! Kama habari inavyoeleza hapo juu. Naangalia kipindi cha shilawadu cha hawa vijana wawili live clouds tv. . . Kabla hawajaanza zimepigwa nyimbo mfululizo wasanii mbali mbali, cha...
6 Reactions
70 Replies
16K Views
Wakuu, hasa wale waliokua wapenzi wa movie za action miaka ya 90's, mwanye kumbukumbu walipo hawa mastaa wa movie toka hollywood, atujuze. Walikua maarufu sana miaka ya 90's wakitamba na movies...
1 Reactions
35 Replies
10K Views
Rapa Chid Benz ambaye kwa sasa amekuwa gumzo katika kila kona ya mitandao ya kijamii baada ya yeye kusema ana kolabo na 2pac, amefunguka kwa kumtolea povu Madee na kumwambia yeye ni mmbea ndiyo...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Jana nilipata muda nikiwa nimepumzika nikacheki chapter 22 za ile nyimbo yenye series za chapter inayoitwa HIDDING IN CLOSET. Aisee ule ubunifu sijawahi kuona, yaani ni uimbaji kwa njia ya...
7 Reactions
74 Replies
8K Views
Ni majuzi tu patoranking kaachia kolabo yake aliyofanya na diamond platnumz a.k.a simba...wakati huo huo nakuletea kolabo ingine aliyofanya patoranking na Ally Kiba, sasa nataka tuwe wazalendo...
2 Reactions
13 Replies
8K Views
Kwa mujibu wa mtandao wa Africa Youth Awards, hii ndiyo listi ya vijana wa Kiafrika wenye ushawishi zaidi barani Afrika na duniani: Tanzania inawakilishwa vyema na vijana 7 (sijui kama kuna...
1 Reactions
34 Replies
5K Views
Mie ni mfuatiliaji wa bongo videos muda mrefu. Nimetazama video za Kiba tangu Sindelela mpaka Seduce me! The man knows how to sing na ana sauti nzuri ya kuvutia ila kwa upande wa muonekano na...
4 Reactions
37 Replies
5K Views
Kupitia kwenye kipindi chake cha DIARY YA LADY JAY DEE, judith wambura mbibo(lady jaydee) miezi michache iliyopita aliwahi kusikika akisema "Am no longer binti machozi(mimi sio tena binti...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Msanii wetu pendwa Esterlina Peter Sanga almaarufu officiallinah amejifungua mtoto wa kike Hongera sana Linah Linah na baba mtoto wake Beautiful Tracey wa linah
6 Reactions
57 Replies
16K Views
Seduce yavunja record duniani na Africa kwenye iTunes Mwana yaibuka kwenye kumi bora duniani Seduce me yawa number one duniani na pekee Africa King Kiba akifunika Africa nzima
3 Reactions
80 Replies
10K Views
Unaweza piga mahesabu yako mwenyewe jamaa ameingiza kiasi gani cha pesa kwenye youtube pekee mpaka sasa.
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Wadau Kwema?? Kwa sasa Ally Kiba anatingisha na wimbo wake alioutoa hivi karibuni wa Seduce Me. Wimbo huo kwa sasa ni 'hit Song" kiasi kwamba popote unapopigwa basi watu wengi huonekana...
4 Reactions
207 Replies
36K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…