Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Hivi serikali haiwaoni mamodo /video queen kaka huyu pichani? Hali imekua mbaya sana hawa mamodo wameamua kabisa kupiga picha za uchi na kuziweka mitandaoni Utamaduni na maadili ya Mtanzania...
3 Reactions
42 Replies
20K Views
Msanii Madee A.k.a Rais wa Manzese kafyatua ngoma na msanii Tekno wa Nigeria,mzigo umefanyikia wasafi record kusikiliza ngoma iko hapo chini -Ndumilakuwili-
2 Reactions
27 Replies
7K Views
Kuna wanamuziki ambao wamefanya mambo makubwa sana katika fani ya muziki hapa Tanzania na pengine Africa na hata duniani. Hata hivyo hawajapata kutambulika kulingana na mchango wao sawasawa. Uzi...
6 Reactions
46 Replies
4K Views
Mwenye namba ya moja kwa moja kwa Chidi naomba anipatie, nahisi naweza kumsaidia kadri ya uwezo wangu. LeBoss.
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Producer mkali wa kitambo P Funk Majani amedai maneno ya kumsifia Harmorapa noma, ilikuwa tu ni kejeli kwa dogo huyo Amedai hata kwa milioni 10 hawezi kumrekodia msanii huyo kwa kuwa yeye...
6 Reactions
67 Replies
14K Views
Mshindi wa milioni 50 za Tanzania Movie Talent, Dennis Louis amesema mtoto wa Hamisa ni wake sio wa Diamond kama watu wanavyodai kauli ambayo imewafanya madau wengi katika mitandao ya kijamii...
1 Reactions
35 Replies
15K Views
Ni kipaji ambacho ninacho ila nahisi kama nikikaa bila kukifanyia kazi basi kitakufa. Kama kuna kijana au msanii yeyote ambaye anajua kuimba na yuko tayari nimwandikie mashairi basi nitamwandikia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakati ndoa yake ikitimiza mwaka mmoja mwezi huu tangu ilipofungwa Agosti, mwaka jana ndani ya Kanisa la Mito ya Baraka lililopo Jangwani jijini Dar, aliyekuwa memba wa Kundi la Vichekesho la...
3 Reactions
41 Replies
11K Views
  • Closed
Hivi kula wali maharage ni kujishusha, huyu lemutuz sijui yupoje. Kwa hiyo na yeye ni tajiri na hakustahili kula maharage ama. Wakati Lemutuz analazimisha kupata followers, bill gates yeye ana...
2 Reactions
308 Replies
64K Views
Nimekutana na hii post kaipost msanii OMMY DIMPOZ kwenye page yake,kiukweli haileti picha nzuri kwa jamii kwa msanii mkubwa kama yeye kupost ujinga kwenye page yake. Ipitie hapo chini[emoji116]...
7 Reactions
103 Replies
22K Views
Wote wamekalilishwa neno "kimataifa" utacheka sana namna wanavyokazania huu ujinga... Madee katoa nyimbo mpya kamshirikisha Tekno wa Nigeria alooo nyimbo ni mbaya dunia nzima, shishi kamshirikisha...
12 Reactions
55 Replies
5K Views
Magari
0 Reactions
0 Replies
619 Views
kwa wale waliopitia jeshini hata jkt watakuwa wanaojua iyo nyimbo maarafi zimbabwe,ambayo jamaa ameiiba na kuiboresha au anataka wanajeshi wampige mkwara adai wanaonewa?? Maana hata kwa verse...
6 Reactions
85 Replies
13K Views
Kipindi cha nyuma kituo cha televisheni cha ITV kilikua kikirusha majadiliano ya wasomi wetu toka shule na taasisi mbali mbali za elimu ya juu, na tangazo kubwa la kipindi iki na lilikokua maarufu...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
11 Reactions
43 Replies
5K Views
Huyu mtalaka wa Ivan kiukweli ni mzee ambaye kwa hakika siyo saizi ya kuishi na Diamond. Ninampongeza Diamond kwa kuanza kuchukua hatua za kumuacha taratibu na kitendo cha kumzalisha mwanamke...
4 Reactions
88 Replies
9K Views
MSANII wa muziki na mwanamitindo nchini, Jokate Mwegelo, ametangaza kuwa shabiki mpya wa klabu ya Arsenal, baada ya kukutana na mshambuliaji wa zamani wa klabu hiyo na timu ya Taifa ya Ufaransa...
1 Reactions
25 Replies
6K Views
Bill Gates made his first instagram account from Tanzania. He has also approved $330 million to Tanzania for support in Health technology and agriculture
3 Reactions
69 Replies
8K Views
Yule msanii aliyetikisa kwa hit zake km Rafiki akimshirikisha afande sele yupo wapi? The guy was really talented mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Dear comrades.. NB: I'm opening this discussion in English to attract a fresher audience.. Roma, the most controversial hip hop artist this country has ever had, is now on the airwaves...
14 Reactions
134 Replies
20K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…