Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Leo kwenye Jahazi la Clouds fm Benpol amefunguka na kudai kuwa kile ambacho alikilenga katika kupiga picha hizo kimefanikiwa kwa asilimia 100%. Benpol amefunguka kuwa picha zile zina maudhui...
6 Reactions
160 Replies
18K Views
Nampenda Sana Huyu Mdada Yvona Kamuntu Jinsi Anavyotangaza Taarifa Ya Habari Hasa Akiwa Sambamba Na Gwiji La Utangazaji Charz Hirar. Hakika Wananoga Sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji118]
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Aliyeimba Kama wanipendaa aah nipe mgongo,nipande unibebe mpaka kwa mama,usichoke Dada nibebe tararibu. Halafu Chagua mwenyewe. Jamaa sijui kapotelea wapi enzi hizi star tv walikuwa wanampa...
0 Reactions
16 Replies
8K Views
The truth about Diamond, Zari and Ivan’s relationship Friday May 26 2017 Diamond Platnumz, Zari Hassan and her late ex-husband Ivan Ssemwanga who will be buried next week on Tuesday as his body...
4 Reactions
51 Replies
16K Views
Anasema kujapewa sumu bali alipata stroke BP ikapanda ikapelekea damu kumwagika kwenye ubongo. Daktari akasema hawezi kurudia kama kawaida. Madaktari walitaka kumfanyia operation ila presha ikawa...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Could it be fake news? ==== Enough is enough’ as actress reveals she’s HIV-positive – Houston News Decades of debauchery have finally caught up with one of Hollywood’s top megastars after...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Siku chache baada ya aliekuwa mume wa Zari kufariki, aliibuka mzee Herbet Lunyinda uncle wa IVAN na kujitambulisha kama baba wa Ivan huku akisema hawamtambui Zari na hahusiki na chochote. Lakini...
10 Reactions
142 Replies
21K Views
Hi,habari zenu ndugu zangu, Naomba kwa mwenye ufahamu anisaidie...ninataka kuwa kwenye bendi ya muziki....bendi kama zile za msondo,the spirit ya vitalis maembe..nadhani utakua umepata picha...ila...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Zamaradi Mketema ameandika sehemu.. Natamani sana siku moja atokee mtu kwenye hii sekta atutambulishe hata kama sio kimataifa basi africa tu. R.I.P KANUMBA alianza kuonesha mwangaza na juhudi...
1 Reactions
12 Replies
5K Views
Acha nikupe ubuyu, Mzee Yusuf akiwa anasheherekea siku yake ya kuzaliwa leo ametoa ya moyoni kuhusu wake zake wawili. Taarifa za chini ya kapeti zinasema mashabiki wamefanikiwa kuwaweka wake hao...
2 Reactions
97 Replies
18K Views
Shetta na Diamond Platnumz walikuwa washikaji sana na muda mwingi walikuwa wakionekana pamoja hata katika post za mitandao ya kijamii, Muda mrefu kwa sasa washikaji hatuwaoni kama zamani na...
0 Reactions
37 Replies
9K Views
Naandika uzi huu kwa niaba ya Watanzania, kumhusu Madam Wema Sepetu, mlimbwende wa zamani wa Tanzania, akishinda Taji hilo mwaka 2006 mbele ya Jokate Mwegelo, mjasiriamali, msanii wa filamu...
10 Reactions
129 Replies
27K Views
Rest in perfect peace Ivan Umenitoa chozi na sijuani nawe. Video clip ni post ya mwisho akiwa Uganda alirusha tarehe 11 May 2017. Uliwapenda sana sana watoto wenu wa kiume 3 na kuwajali na...
6 Reactions
528 Replies
100K Views
Mmh sanaa hizi zitaua watu,pesa inatafutwa kwa mbinu zote. Eric omond ndani ya style ya Joti full make up na mavazi ya kike
2 Reactions
65 Replies
11K Views
Msanii Mrisho Mpoto ameshtushwa na msiba wa Mzee Ngosha kwa aina yake! Kwanza hakujua kama ni mtu aliyewahi kufanya naye kazi. Pia hakujua kama alikuwa mzima kichwani au la! Amekuja kugundua...
3 Reactions
49 Replies
12K Views
Baada ya mwanamziki Ben Pol kuchangia na kuhamasisha uchangishaji wa fedha kwa ajiri ya upasuaji wa Moyo kwa watoto 100 kupitia kampeni ya #rudishatabasamu100moyo Uongozi wa Taasisi ya Moyo ya Dr...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa Mimi swali langu ni moja tu kwenu hivi kwao na huyu msanii Stamina kwao ni wapi zaman alikuwa akijiita Moro town siku hizi kila wimbo anajiita na kutaja Mbeya sasa...
0 Reactions
26 Replies
15K Views
kwa miaka ya zamani ilizoeleka mara nyingi sana pale ambapo mtu hususani baba wa familia anapofariki ndugu wamekua wakijitokeza kudai/kupora mali za mjane/watoto, lakini mara nyingi hutokea kwa...
0 Reactions
29 Replies
9K Views
kama mnavyofahamu waafrika, sina uhakika kama kaburi litaachwa bila kuvunjwa au kufukuliwa, labda kama limewekewa ulinzi Wa halo ya juu
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Sijui ni macho yamgu au vipi! Wenzangu vipi mumemuona huko mzee Wa wasafi? Au alituma mwakilishi yeyote?
0 Reactions
71 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…