Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

‘Show Me’ ya Harmonize na Rich Mavoko ni moja kati ya nyimbo ambazo zinafanya vizuri katika sehemu mbalimbali ndani na nje ya nchi, katika kipindi kifupi tangu itoke. Imedaiwa kuwa, wimbo huo...
1 Reactions
14 Replies
7K Views
Inauma sana aisee pole kaka utapona hajarishi unapitia magumu kiasi gani pambana mpaka mwisho.
5 Reactions
34 Replies
4K Views
If y'all thought Tanzania had it so bad...... (From Complex.com) Trump, a guy who most certainly doesn't know a goddamn thing about music, changed topics a total of five times during his dual...
2 Reactions
23 Replies
6K Views
Msanii wa bongo movie ameomba watanzania tumuombee, kwani ameanza mwaka vibaya baada ya nyumba zake mbili kuwekwa x na kuwa hatarini kubomolewa. #Hapa kazi tu #Hatunywi sumu wala hatunyongi...
9 Reactions
250 Replies
43K Views
Mmh!! Mpaka sasa hivi Majizzo bado hajatoa birthday wishes kwa aliyekuwa my love wake, Lulu Michael. Sio kawaida aiseh, leo tungeona mbwembwe za kila aina, ila nimepitia kwenye page ya Majizzo...
2 Reactions
25 Replies
10K Views
Habar wapendwa, Muda kidogo nimekuwa nafatilia kwa karibu sana kazi za wasanii wetu wa bongo, Kiukweli zinachosha sana na mnatuchosha sisi watazamaji maan kazi za saiv hazina tofauti sana na za...
9 Reactions
117 Replies
12K Views
Tangu Msanii Harmorapa ameingia kwenye muziki kwa kuanza kujifafanisha na msanii Harmonize, kila wakati rapa huyo amekuwa akiingia kwenye 'headline' mbalimbali na kuzungumziwa na wasanii wengi...
15 Reactions
952 Replies
122K Views
Jamaa yupo serious na kazi, Yani kazi juu ya kazi ile Nganganga! Sasa leo asubuhi ameyabariki masikio yetu kwa kuachia dude flani la kubengika, Dah Sijui ndio kipya kinyemi au vipi ila kwa upande...
1 Reactions
35 Replies
5K Views
Sitandika maneno mengi ila kauli yake rado ya kusema "WASOMI INCHI HII HAWANA MCHANGO WOWOTE WASONI NDIO WANATUCHELEWESHA " kiukweli mdogo wangu umechemka na hiyo kauli tu ndio imeonyesha jinsi...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Diamond ni msanii mdogo sana afrika na duniani. Ila ni mkubwa tanzania. Mwaka jana alitudanganya anashow uk na neyo akatupa na ratiba kumbe ilikuwa kiki. Acha kiki hizo Pia ameleta pafyumu...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Nimepata muda wa kuangalia TVE Kituo cha Television kinachomilikiwa na Majizzo kwa muda sasa lakini hawapigi kabisa video (Nyimbo za WCB) Je kuna nini nyuma ya holidays Kituo hiki kina top 30 kila...
3 Reactions
55 Replies
6K Views
Kwa nn Steve Nyerere hakwenda kwenye Maandamano ya Wasanii wa Bongo Movie? Kwenye page ya Mange nimemuona Steve mapovu yanamtoka anapinga utaratibu huo uliotumiwa na Makonda na Wasanii wenzake wa...
5 Reactions
27 Replies
4K Views
Huyu dada yuko vizur ni bonge la kamanda anafanya kampeni ki stadi sana mbunifu, ana msimamo dah nimemkubali...sio lazima na ww umkubal ila mm nimemuelewan..big up sana Jackline!
5 Reactions
30 Replies
8K Views
Pesaa kitu kibaya sanaaa na kabla ya kufanya uwamuzi wa kwenda WCB ulifanya vizuri sanaa ukiwa mwenyewe nyimbo nyingi sanaaa ulikuwa unafanya mwenyewe na kuziachia ila sasa hivi toka uingia WCB...
18 Reactions
106 Replies
23K Views
Vanessa mdee kila siku anakuja na style mpya ya mavazi ya stegini Akiwa uko nigeria alitupia kivazi kama cha beyonce akisubiri kupanda stegini Ila mshabiki hawapitwi na kitu wengi wakimshambulia...
13 Reactions
191 Replies
49K Views
Mwenye macho haambiwi tazama, kwakweli mmewazingua sana mafans wenu waaminifu. Kuanzia video Ya MUGACHERERE, KIJUSO, SHOW ME, mpaka video ya KARORERO. Hizo video hata ambaye hana utaalamu wa...
5 Reactions
44 Replies
4K Views
Bongo movie nadhani mnajifanya hamjui mchawi wenu ni nyinyi wenyewe na hamjiulizi kwanini siku hizi bongo fleva inafunika nyimbo za magharibi maeneo ya starehe na kitaa kijumla. Mbali na hayo...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Poll Poll
CHEMICAL ROSA REE Hawa wadada nafkiri wameshatambulika vyema. Nani mkali!? -------- Kuna Poll hapo Juu. Tafadhali Piga Kura yako.
2 Reactions
45 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…