Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Kulingana na hivi karibuni msanii mkali bongo, Diamond platnums kutoa wimbo wake mpya unaoitwa "bora nikae kimya" huku ndani ya ngoma hiyo akiwa ameitetea serikali na mkuu wa mkoa paul makonda...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Download wimbo mpya toka kwa Harmonize na Mavoko uitwao Show Me upakue kupitia Wasafi.co.
1 Reactions
15 Replies
14K Views
Wakuu Nimekuwa mfuasi mkuu wa timu kiba tangu muda mrefu lakini muda wote huu ni wazi kabsa hii timu haitupi mashabiki wake furaha kabisa Tumekuwa tukiburuzwa na WCB kila siku, Diamond na wenzake...
11 Reactions
25 Replies
5K Views
Ni wasanii manguli wa rnb ambao ubingwa wao ktk kutengeneza nyimbo nzuri,kusimama vyema ktk viitikio na kuwa na sauti zao murua walizojaaliwa....Belle 9 ni mbunif mzur wa idea,ana sauti ya...
0 Reactions
42 Replies
7K Views
Acheni kumlaumu Roma jamani Roma kasema eti atasema kila kitu jumatatu nawala hajataja tarehe na mwezi wa jumatatu hiyo yawezekana ikawa juma tatu ya mwaka ujao .
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Huyu kijana ni mnafiki sana. Anadhani watanzania ni wapuuzi sana. Haiwezekani MTU ambaye anaikanyaga demokrasia na kuvamia vituo vya Habari yeye anatunga nyimbo ya kumpromote na kumfagilia kana...
45 Reactions
263 Replies
22K Views
Mwanamuziki namba moja Tanzania na Afrika Mashariki baada ya kushambuliwa sana na mitandao ya kijamii wiki jana na mwanzoni mwa wiki hii ameamua kujipoza na ndinga kali yenye hadhi ya kimataifa.
6 Reactions
148 Replies
28K Views
Ni shilawadu ndio wanasema na Vanessa inasemekana alikuwa anachepuka kabla
3 Reactions
98 Replies
18K Views
Toka huyu jamaa Gwajima ajifanye anajua siri za watu na kuwaumbua kwenye kanisa lake fake, hakuna cha maana anachoongea kuhusu wabaya wake zaidi ya kuchukua udaku wa kwenye mitandao ya kijamii...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Na Saleh Ally NARUDI nyuma kidogo, nataka kukumbusha namna ambavyo niliwahi kuandika kuhusiana na namna ambavyo mwanamuziki Nasibu Abdul, maarufu kama Diamond, kwamba ameanza kukosea vitu kadhaa...
9 Reactions
30 Replies
5K Views
27 Reactions
588 Replies
79K Views
Kikundi cha kash kash, kinajojishughulisha na shughuli za sanaa kwa kucheza ucheshi unaojulikaba kama Mizengwe ndio kikundi pekee hivi sasa kilichobakia kwenye tasnia ya ucheshi kwa kuweza...
17 Reactions
54 Replies
12K Views
Salam, Kwa kile kinachoonyesha kuwa ni kuendana na upepo wa kisiasa wasanii wameonekana kuhamia kwenye muziki wenye maudhui ya kisiasa na haswa kwa kinachoendelea katika uongozi uliopo...
5 Reactions
61 Replies
9K Views
Kwa siku nne zilizopita kumekuwa na taharuki baada ya ‘kutekwa’ kwa wasanii wa Bongo Fleva, Roma, Moni na wenzie lakini habari njema ni kuwa kwa sasa wamepatikana. Tukio hilo limezua mijadala...
2 Reactions
46 Replies
5K Views
Bifu la pamba moto Diamond amtolea povu Gwajima.Adai adai ni mnafiki na muongo.Je Gwajima akizinyaka hizi itakuwaje?
7 Reactions
148 Replies
22K Views
Wabana pua na vinyimbo vyao vya mapenzi wameshindwa kufurukuta katika kipindi hiki ambacho Mashabiki wako alerted na mambo ya kisiasa yanayoendelea nchini. Hali hii imewafanya washindwe kutoa...
3 Reactions
28 Replies
4K Views
Kupitia mtandao wa picha (instagram) mafuvu ameandika kuhusu kuacha kazi vituo hvyo sababu ikiwa ni agizo kutoka juu kwa aina mpya ya kupiga musiki... Sababu nyingine ametaja kipato kidogo...
2 Reactions
63 Replies
21K Views
Producer mkongwe P Funk amemjibu Master Jay baada ya kusema msanii wake hana kipaji, Majani amesema Master Jay hatakiwi aongee kwa kuwa alikuwa akimletea wasanii wabovu na P funk kuwapotezea...
2 Reactions
32 Replies
7K Views
Kitendo chenu cha kuficha ukweli wa mambo ulivyo, eti kwa sababu ya mapatano na watekaji; Mosi. Huku kutakuwa ni kuwasariti wale walioshinikiza kuachiwa kwenu, na ni dhambi mbaya sana! Pili...
11 Reactions
63 Replies
7K Views
Wakuu mbona diamond haufanyii promo wimbo wake mpya aloutoa last week? Ni kwamba ameupotezea baada ya kelele za mitandaoni?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…