Kwa Hali ya taharuki iliyopo nchini kila kukicha laiti kama ingekuwa ni awamu ile huyu Mpoto saivi angekuwa na album...
Sasa ni nani kamfumba mdomo huyu mwanamashairi maarufu asiyeona haya ikosoa...
My take,
Roma anaweza akawa amepigwa biti asiseme alikuwa amefichwa wapi, lakini naamini Ruge ndiye mtu sahihi wa kumuhoji hawa madogo walikuwa wapi??
Kama alihangaika nao kuanzia asubuhi ya...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Roma akiongea baada ya kutoka hospitali ya Mwananyamala. Amesema yeye na wenzake ni wazima wa afya, kimwili na kiakili na kuwashukuru watanzania wote...
Vanessa Mdee
Wherever you are, God is Bigger than, Stronger than, Realer than all the other forces that be. Stay UP brother @roma2030 #VivaRoma #FreeRoma #FreeMoni roho inauma na nimetoka...
Huu ni ushauri wangu wa bure kabisa kwa WCB team inayoongozwa na Diamond platinumz.
Imedhihirika wazi kabisa kuwa mpaka sasa WCB inazidi kuchukiwa na idadi kubwa ya watu..hii itapelekea Diamond na...
Mmh!! Mama nyonzo sio kwa muonekano huo aiseeh, yani umepauka utafikiri misukule ya gwajima, halafu hiyo camera uliyotumia sijui ni tecno wereva maana siilewi aiseeh, dah inabidi tu ukaroge tena...
Kupitia ukarasa wake wa instagram. Diamond kasema hakumuimba Konda na Gwajima kwa ubaya. Kajishusha haraka sana. Kamuomba asimgeuze maji Nami naungana na Diamond kumuomba mchuganji asimgeuze maji...
Mm nimekaa nikatafakari kuhusu hili sakata la kutekwa nyara kwa roma na wenzake linanipa ukakasi na mashaka kabisa juu yake.....nahisi ni usanii fulani apa unatumika watu wapate attention either...
Kama kuchagua brand soud kachagua,anajipa shida muda mwingi kwa kuvaa mask,akitaka kula lazima afunue kofia lake,hivi najiuliza kwenye matukio ya kijamii inakuaje,msiba,kuchimba kaburi,harusi,na...
Sakata la kutekwa kwa Roma limezidi kupamba moto baada ya Nay kushitukia Rafiki yao aliwachezea sinema. Kwenye ukurasa wake ameandika haya.
naytrueboy1. Unatuchezea Sinema mpaka wana.?! F***k...
Kesho tunataka kusikia yafuatayo..wale watu wawili waliokuja kukuhoji kwanini walikuwa hawakujui je walielekezwa na nani kwako?..mlipoingia ndani ya ile Noah kwanini nyote mlifungwa vitambaa...
Habari za mchana sana JF wenzangu.
Uhusiano ni UPI hapa.
Wasanii waliowengi wakubwa wametoboa pua na masikio,wanavaa hereni,wamejichora tattoo mwilini mwao.
Naomba msaada juu ya hili.
Wasalaam wanajf
Hivi karibuni nimemsikia kamanda Wa jeshi la polisi akitoa tahadhali na muda kuhusu kusitisha usambazaji Wa mikanda ya filam za nje ili kulinda soko la wasanii wetu.
Nafikili kwa...
Erick Shigongo bado anaendelea kumpa ushauri msanii wa muziki nchini Alikiba na uongozi kuwa wanatakiwa kuwa heshimu mashabiki wake.Japo Shigongo ameendelea kumpa ushauri tofauti ili kuweza...
Imekua kawaida ya mastaa wa kike ulimwengu kupiga picha za nusu uchi wakiwa wajawazito na kuonyesha matumbo yao wazi, style hii imejizoelea umaarufu sana hata kwa baadhi ya mastaa nchini Africa...
Nimejaribu kuusikiliza ule wimbo wa msanii wenu pendwa nimesikitika sana. Kama yeye msanii pendwa sikujua nini kimemsukuma na kujiingiza kwenye utetezi wa anaetuhumiwa kuwa hana vyeti. Kama yeye...
Mnalo mnaopotoshwa na huyo nabi wa uongo .mimi simo nyiye mfateni tuu ,movie inaendelea &hhhhhggffgjhdddfvhfdssghhfdfffghjjvxx nn,, Gwaji nabi wa Shetani