Wakuu tarehe kama ya leo ilikuwa siku chungu kwa Tanzania na duniani. Ilikuwa ni siku tuliyompoteza ngwiji la kuigiza Steven kanumba
Binafsi hiki kifo kiliniumiza sana miaka imekwenda kwa kasi...
Harmorapa ameingia choo cha kike. Wema Sepetu amemjibu rapper huyo asiyeishiwa vituko juu ya ujumbe wake aliouandika wiki iliyopita kwenye mtandao wa Instagram kuwa akifanikiwa kumpata mrembo huyo...
Kwanza nianze kwa kusema kuwa Mimi si Fani wa DIAMOND Isipokua napenda Muziki Mzuri anaofanya, Pamoja na Jitihada, Bidii na Discipline aliyonayo katika kufanya kazi zake. Sitaki kuingia kwenye...
Yani hili jamaa linanikera, linapenda sana raha badala ya kufanya kazi, lenyewe kutwa kubadilisha ndege, mara Dubai, US, Italy, London, khaa! Tumekuchoka bhana, fanya kazi mtoto wa kiume hizo...
Msichana ambaye Aunt Ezekiel alikuwa anadai anataka kunyang'anya mume amemjia juu na kudai hana mpango huo na yupo karibu na Mose Iyobo kwa sababu wamezaa pamoja mtoto.
Msichana huyo amesema...
Usalama wa Maisha yangu umekua Mdogo kwasasa, Wana panga kunipoteza ikibidi nisiwepo kabisa kwenye hii Dunia. Nipo tayari kwa chochote wanacho panga kufanya Coz sijajipanga kupambana nao, Mimi ni...
TID alitangaza kuacha kutumia madawa kwa mbwembwe na kusema amebadilika kuwa mtu mstaarabuna siyo yule mwenye wenge kama zamani
Ila kwa interview aliyofanyiwa na EATV huenda TID keshayarudia...
habari wanajukwaa!!!
nimekaa nimetafakari sana afu baadaye nikaanza kucheka mwenyewe nilipo anza kukumbuka vichekesho vya hawa jamaa (braza K, kingwendu na babu mkombe). Hawa jamaa kama tunavyo...
Nimeskia true boy yupo kwenye mchakato wa kutoa remix ya WAPO. Na kasema kwenye remix tutegemee wasanii sio chini ya watatu. Wasanii hao ni nani na nani?
Mimi ninakaombi tu kwa ney fanya wawepo...
Muigizaji wa Bongo movie amesema atamsome Albadir mtualiye hack account yake ya Instagram, ametoa taarifa kwa polisi na wataalamu wa IT tayari
ila kama hatairudisha yupo radhi kumfanya awe kichaa...
Msanii huyu alikuwa akihojiwa kipindi cha XXL clouds FM alipoulizwa atakapoitwa na Rais na kuulizwa swali hilo atajibu vipi.
Alisema pale anamaanisha marinda anamaanisha nguo zilizowekewa...
Saa chache baada ya kuachiwa huru kutokana na amri ya Rais John Magufuli, Rapa Nay wa Mitego amesema kuwa atayafanyia kazi maoni ya Rais kuhusu kuboresha wimbo wake kwa namna ya pekee.
Rapa huyo...
Ney wa Mitego amewashukuru wasanii wote walioonyesha sapoti kwake kipindi alichokuwa matatizoni
pia amemshukuru Rais Magufuli na waziri wake Mwakyembe, ila kuhusu kuonana na Mwakyembe Dodoma kama...
Kila nikimtathmini hasa matendo yake na kubwa zaidi kupenda kupiga picha na kutupia mitandaoni mara akiwa kamshika huyu au kapozi hivi sometimes kihasara hasara na vitu anavyoviandika achilia...
Mwakyembe amesema kupitia yeye ni lazima Diamond na Ali Kiba wakae pamoja kwa kuwa yeye ni baba yao, amemuagiza mkurugenzi anayehusika awapelekee ujumbe huo