Tasnia ya sanaa kwa kasi Tanzania, sanaa imekuwa ni ajira rasmi kwa vijana wengi, na wengi wamefanikiwa kimaisha kupitia maigizo, vichekesho miziki filamu uchoraji uremia nk
Kwasasa sanaa...
Waziri wa habari, michezo na sanaa Nape Nnauye amesema msanii wa filamu Wema Sepetu amewapa heshima kubwa kwa ku launch application yake ya Wema Sepetu ambayo itakuwa inatoa taarifa za Wema...
kama ulikuepo kwenye viwanja vya leaders au ulikua ukiona kupitia eatv, kuanzia kwa adam juma mpaka kwa msemaji wa familia walitaja redio na stations mbali mbali wakizishukuru, lakina cha ajabu...
Kwanza niweke wazi kwamba mimi sio mfuatiliaji sana wa vipindi vyenye maudhui ya kiubuyu-ubuyu ndio sababu hata instagram ilinishindaga since then.
Ila nimekuja kugundua watu wengi wanapenda sana...
Samahani wakuu,nataka kufahamu ni msanii gani wa bongo hip hop ana mafanikio ya kipesa..Lengo ni kujua kwamana upande wa wenzetu wa bongo fleva au kuimba imba msanii kama diamond anaonekana...
Jamani Harmo yuuuuuuuuleee.... Huyu mtu kimzahamzaha anapata tu airtime. Sielewi hata ilikuwaje akawa hapo kwa muda huo lakini ndo anakiki mwenzenu.
Naona alienda kumsapoti Homeboy wa Mtwara...
Muigizaji kutoka kiwanda cha bongo movie, jackline wolper ,kupitia ukurasa wake wa instagram, amewaomba radhi followers wake kwa kupost sana biashara hku akidai madeni yamekua mengi sana hivyo...
Habari zenu wapenda burudani,
Ni dhahiri kua kwa sasa mziki wa bongofleva ndio kitu pekee kinacholitangaza zaidi taifa letu katika tasnia ya burudani.
March 18 mwaka huu ambapo kutafanyika...
Watu wengi wameoneshwa kusikitishwa na jambo lililomkuta Mange Kimambi kuhusu kupigwa mnada kwa Hoteli ya familia yao ambayo Mange anahisa 25%.
Kwa kuonyesha masikitiko yao juu ya jambo hilo, watu...
Katika hali inayoonesha kuwa taarifa zinavuja kwa kasi na ishara kuwa mange anakubalika kwa watu wengi hata ndani ya system hii leo mange amepost waraka anaodai kutumiwa na mtu toka ndani ya...
Tupia jicho ujionee kwenye kipazia chako
Hamonaizi amwoneshe kidole cha kati boss wa hamorapa,
Hamonize alikua na interview EATV kipindi cha FNL alipo mkuta hamorapa EATV ameamua kusepa.
Hii remix sijui hata ilipotelea wapi ndani ya siku moja tu ikapotea kwa mawimbi....na mwenye wimbo ndo anasifika kwa kutoa ngoma zenye long term life hii imekaaje mbona imepotea ghafla nn tatzo au...
Miss Tanzania amelalamika kuporwa ushindi wa Miss Afrika na miss wa Kenya baada ya mrembo wa Kenya kumjuibia makala yake ambayo ndio imempa ushindi.
Miss Tanzania Diana Edwardamedai wamefuatlia...
Siamini kama Kamanda huyu kwa sasa amekuwa outdated. Siamini kama CHADEMA wamemsahau kiasi hiki. Siamini kama zile mbwembwe za awali zimeyeyuka kiasi hiki. Kuna siku niliwatahadhalisha kuwa siku...
Leo nimebahatika kusikia ngoma yake mpya inayoitwa KIBABE ni ngoma mbovu kupindukia,ni ya kawaida sana ,kama sio mpya na kama sio ya msanii mkubwa.hivi ni kwa nini hawa wasanii wa zamani wasiache...
Mwizi anaejisifia kwa kujiita (Super hacker) Ameiba account ya Star wa Bongo Movie Shamsa Ford amabapo jina la account hyo kwa sasa amelibadilisha na kujiita @umerikoroga utalinywa mwenyewe...
Baada ya Kipindi cha Shilawadu kukumbwa na misuko suko clouds wamekuja na kipindi kingine cha ukwaju wa meja Jenerali, kinachorushwa na Musa Hussein
msikilize hapa alivyokitangaza leo
Habari zenu wana JF
Ikiwa ni jumapili Mubashara kabsaaaa kwangu lakini kwa upande wa Prince Daud Albert Bashite(jina lake halali kabsa) alimaarufu kama Paul C. Makonda(jina feki) mambo ni Mabaya...
Habari ya muda huu wana jukwaa. Nimejaribu kulinganisha sebene za wasanii mbalimbali hasa kutoka DRC nikaona werrason sebene zake zinakimbiza ile mbaya, mfano Kata fumbwa, mipende na mzigo...