Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Nyota wa Africa diamond platnumz ameweka record mpya kwenye mziki wake baada ya kuingia 20 ya wasanii wapya nchini marekani kwa video take ya marry you kupitia mtandao wa Vevo Video ya marry you...
13 Reactions
44 Replies
8K Views
Ni muda mrefu nimekuwa nikimsikia akijinasibu kama mchekeshaji maarufu hapa nchini, na kwa kuwa mimi siyo mfuatiliaji wa movie za kibongo pamoja na hao wanaojiita wachekeshaji hata sikuwahi...
7 Reactions
64 Replies
22K Views
Lulu ina maana hizo pimples kwa shemela wetu huzioni au wewe unaangalia pochi tu? Ebu angalia uso wa shemela ulivyokuwa na chunusi kama embe ng'ong'o, ukikutana nae usiku unaweza kukimbia halafu...
1 Reactions
21 Replies
9K Views
Huyu Dada apart from being a former miss Tanzania 2006 haijulikani ni shughuli gani anayoifanya kwakweli. Nimepitia profile ya page yake ya Instagram naona kaandika yey e ni actress ila so far...
6 Reactions
52 Replies
7K Views
Wadau, ni hivi majuzi tu mdada mwenye skendo zisizoisha Wema Sepetu alisherehekea birthday yake kutimiza miaka 26. Ni birthday iliyoacha gumzo na kwa upande mwingine maswali kibao hasa ukizingatia...
7 Reactions
568 Replies
70K Views
Leo mama wema nimekushusha huku mtaani kwetu tunasema nimekushusha vyeo yaani heshima nimesikiliza mahojiano yako na Soudy Brown wa Clouds fm muda huu nimeshangaa unavyopayuka kuhusu ugomvi wa...
7 Reactions
161 Replies
18K Views
Ndugu zangu nina maswali najiuliza juu ya hii saga ya huyu nyota Wema Sepetu kukutwa na msokoto wa bangi. Nakumbuka kuwa Wema aliitwa kituoni kujibu tuhuma zake za kuhusishwa na madawa ya...
4 Reactions
27 Replies
7K Views
Msanii wa filamu Irene Uwoya amesema kuwa ana mpango wa kuwa Mchungaji pamoja na kumiliki kanisa lake yeye mwenyewe siku za usoni na kwamba anamuomba Mungu kila siku aweze kutimiza ndoto hizo...
4 Reactions
91 Replies
14K Views
Nimeona kuna kila dalili zote za Wema Sepetu kwenda CHADEMA... Wema nimekuwa fan wako kwa muda mrefu sana, nakupenda sana na hata ningependa uwe mke wangu sema ndio hivyo tu.... Naomba nikupe...
12 Reactions
78 Replies
11K Views
ALI KIBA STUDIO, AY MUZIKI, DIAMOND BIASHARA STUDIO MUZIKI Wimbo Marry You ambao Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ameimba na fundi wa sauti na kucheza kutoka Marekani, Shaffer Chimere Smith...
18 Reactions
40 Replies
17K Views
Kabla sijatizama Top 5 Season huwaga napenda kusindikizwa na Top 5 Music kama ifuatavyo. 5.Dear Mama-Tupac 4.I will always love you-Whitney Houston 3.I want marry you-Diamond Platnumz 2.Ntampata...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwanadada Wema Sepenga ameonesha kwa namna moja ama nyingine kuamishia majeshi Chadema mara baada ya kuona huko alikokuwa mwanzoni (CCM)alikuwa hayupo sehemu sahihi. Kwa uonesha msisistizo zaidi...
12 Reactions
119 Replies
14K Views
Huu mchezo nilihisi tunaushabikia tuu sie waTanzania kwa wasanii wetu tena nilihisi ni ushindani kati ya timu mbili zisizokuwa na uwanja yaani Team Diamond a Team Alikiba ila nimeshangaa kuona...
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Wakiondoka Mahakamani baada ya Masogange kutopandishwa mahakamani. BTW Agness kapata wapi Msambwanda vilee........... Ila mpiga picha Mungu anakuona
9 Reactions
85 Replies
20K Views
Za usiku wapendwa wa humu! Mda si mrefu Gadner na Kibonde walikua wanamfanyia mahojiano mtangazaji wa clouds kipindi cha take one Zamaradi.. Kiukweli naomba nimsifu kwa kujitahidi kukitendea...
19 Reactions
107 Replies
19K Views
wadau hivi huyu jamaa ni nani? maana huwa namuona kupitia account yake ya instagram kama comedian fulani vile.
0 Reactions
30 Replies
8K Views
Aje ni nyimbo iliyoimbwa na msanii legendary katika mziki wa bongo flavour, Alikiba (kingkiba.) hii nyimbo ina zaidi ya miezi tisa tangu ilipotoka, kama zilivyo nyimbo za alikiba zinapotoka huwa...
7 Reactions
43 Replies
4K Views
Ushauri T.O.T ipewe kipaumbele maana ina mchango mkubwa sana kwenye chama tawala CCM maana ndo band rasmi ya ccm inayopigana kufa na kupona kuwezesha chama kuendelea kushika madaraka kutokana na...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…