Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Msanii Kala Pina akihojiwa na E News ya EATV amesema ametumia fedha nyingi sana kumsaidia Chid Benz ila anasikitika juhudi zake hazijazaa matunda na kusema angepata msaada zaidi angefanikiwa...
6 Reactions
40 Replies
10K Views
Msanii pekee wa Kimataifa kutoka ardhi ya Tanzania ambaye amefanya kolabo kibao na wasanii kutoka nchi ya Donald Trump kama Ne-Yo. Rihana, Rossey, leo kupitia akaunti yake ya Instagram ametupia...
20 Reactions
127 Replies
47K Views
Wakuu hivi ni kwa nini wanamuziki wa kizazi hiki hawavai uhusika wa mwanamke kulinganisha na wanamuziki wa miaka ya 90? Tuchukulie baadhi kama Sam mapangala, mbaraka mwishehe nk ni kawaida sana...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Mchekeshaji maarufu kutoka nchini Kenya, Erick Omondi ijumaa iliyopita ya tarehe 10 alifunguka jinsi Diamond alivyomsaidia kupenya kwenye soko la Tanzania. Omondi anasema kwa mara ya kwanza...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Akihojiwa na kituo maarufu cha radio mjini, staa na mpenzi wa mwanamuziki maarufu nchini Diamond Platinumz, Zarinah Hassan, amesema kuwa hakuna kilichomvutia kwa mwanamuziki huyo ila wamejikuta tu...
0 Reactions
125 Replies
25K Views
Baada ya kufanikiwa kulinyakua taji la Miss Tanzania 2016/2017 na kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya kumtafuta mrembo wa dunia huko nchini Marekani mwishoni mwa mwaka jana, mrembo Diana...
1 Reactions
21 Replies
7K Views
Fid Q WIMBO unaokuwa mzuri na umekamilika kuanzia sauti, uimbaji, utayarishaji na ikiwezekana video nzuri ni rahisi kutamba, lakini katika dunia ya sasa kuna vigezo vya ziada vimekuwa...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Msanii wa mziki wa kizazi kipya NAY WAMITEGO amesema kuwa yeye yuko mbiyoni na wazo la siku za usoni, kujenga kanisa nakulimiliki yeye mwenyewe . Alipoulizwa sababu ya kujenga kanisa msanii huyo...
1 Reactions
43 Replies
16K Views
Leo Makonda alimtaja mtu mmoja na kusema amkute polisi leo hii. Hope atakuwa ni PAPA sana. Jina ametaja "Chidd Mapenzi". Huyu ni nani? Wanaomjua watusaidie file lake tafadhali. Anaishi wapi? N.k.
3 Reactions
94 Replies
25K Views
Pole baba tamari,inabidi urudi kwa maxi uombe msamaha akununulie I phone nyingine, ila nina mashaka kweli kma ulikua studio huo usiku wa manane, kama kweli nakupa pole maana unajisumbua bure hip...
7 Reactions
27 Replies
6K Views
Ilikuwa ni kwenye birthday yake 15/02 jana
6 Reactions
106 Replies
18K Views
Habarini wadau wa jukwaa la celeb. Leo imeamua kumleta kwenu kijana kutoka zanzibar, anaeitwa Sultan King, ni msanii wa miondoko ya bongo flavor/zenji flavor, huyu siwezi kusema ni underground...
4 Reactions
55 Replies
10K Views
Lile bifu la muda mrefu kati ya zari na wifi yake Esma limefikia tamati katika arobaini ya mtoto wa diamond aitwaye nillan ,ambapo wawili hao walionekana wakicheza kwa pamoja na kupiga picha na...
0 Reactions
38 Replies
7K Views
Katik hali ambayo wengi hawakutarajia.....Adele alionekana Akiikataa tuzo Ya Album bora ya Mwaka ya Grammy ambayo alipewa na Kusema kuwa tuzo hiyo alistahili kuichukua Beyonce! Adele...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
  • Closed
kuna bifu kali linaendelea la hatari kati ya ma celebrities wawili walioko under 25 years of age,yaani mvulana mmoja aitwaye le akili kubwaz na age mate wake msichana aitwaye lulu. Updates...
2 Reactions
117 Replies
14K Views
Nimemsikia kamanda Sirro kupitia E fm akisema wanawashikilia baadhi ya wasanii ambao watapandishwa kizimbani leo.Je Aggy ni miongoni mwao?naelekea kisutu nitawajuza lakini lengo nataka nikamwone...
4 Reactions
31 Replies
4K Views
Akihojiwa kipindi cha FNL mwanadada Ray C anadai madawa ya kulevya yalikuwa yamtoe uhai, pia ametoa ushauri kuwa waathirika wasifungwe kwa kuwa kuwafunga hakuwasaidii bure na kupendekeza serikali...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu wana JF, Leo ni birthday ya Mkuu wetu wa Mkoa mpendwa mhe Makonda, namtakia happy birthday na aendelee kuchapa kazi.
5 Reactions
14 Replies
5K Views
Wiki hii Habari ya Mjini ni Mombasa Rock Festival, Tamasha hilo limegharimu kiasi cha shilingi milioni mia mbili za kenya (2,000, 000ksh) Zikiwemo Gharama za kuwalipa wasanii, malazi, usafiri...
3 Reactions
15 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…