Bado jina la msanii ben pol linatawala maskio ya wapenda burudani hasa ya muziki, baada ya kufanya vizuri mwaka uliopita na ngoma yake ya Moyo Mashine na akaja kushirikishwa kwenye wimbo wa...
Katika kupitia station tofauti tofauti, nimeshtuka kusikia sauti ya George Bantu ndani ya Clouds. Huyu jamaa alikuwa EA Radio. Leo ndio namsikia upande huo.
Ila nimeshangaa naye ameshaanza...
Habarini Wakuu,
Huwa ninawashangaa sana wale wote wanaomwita Wema Sepetu kuwa ni "Msanii Maarufu"
Najiuliza ni Msanii maarufu katika tasnia ipi?
Aliigiza filamu ya mwisho lini?
Aliwahi kutoa...
Yaani hawa jamaa siwaelewagi elewagi,lifestyle zao mbona zimekaa kimombasa mombasa sana? Hivi nini hasa kinawapa 'ustaa' hawa jamaa maana naona wanatokeatokea sana kwenye muvi za Wema na Diamond
Mwanadada machachari Vanessa Mdee ametajwa katika msururu wa watuhumiwa wa mihadarati pamoja na Tunda ambaye ni kidate cha mtuhumiwa mwingine Young Dee.
Mwaka jana ilikuja thread hapa JF...
Kwa wafuatiliaji wa muziki wa bongo flavour jina la pfunky Bila shaka Lina heshima kubwa kutokana na kuwa mmoja kati ya maproducer wa awali wa muziki huo na amewaibua wasanii wengi huku akichangia...
Aisee huyu bwana mdogo harmorapa naona anazidi kusaka umaarufu kwa nguvu kupitia mgongo wa WCB
Hilo limejidhihirisha kwa kwa kupost pesa zake mtandaoni na wengi wametafsiri kuwa ni dongo kwa...
Habari wana-JF
Hivi karibuni tulisikia juu ya Iyobo kumtukana Hamorapa na wengi wakalaani sana kitendo hiki. Lakini cha kushangaza uongozi wa WCB hawajazungumzia hili wala Iyobo kuomba...
Habari wanaJukwaa,
Huku baadhi ya wanaoitwa Maselebriti wakitakiwa kwenda kuonana na Mkuu wa Mkoa leo kwa tuhuma za kuuza na kutumia Ngada, basi ni vyema tukawasindikiza kwa Kichupa kikali kutoka...
Dili la Tekno na kampuni ya Sony Music inawafanya wanaijeria wengi kuamini kwamba Tekno ameiuza nafsi yake kwa shetani kwa kusaini mkataba huo.(The deal means Tekno has sold his soul to the devil)...
Kupitia mitandao kadhaa ya kijamii na uthibitisho wa picha kupitia account ya IG ya bwana harusi Petit man wakuache imethibitika kuwa wawili wamefunga ndoa siku ya leo.
Esma Platnum ambae ni dada...
Wema Sepetu amezindua rasmi app yake, WS, kwenye jukwaa la app la simu za Android, Google Playstore.
App yake inapatikana bure kabisa. Ukishainstall, itakuomba usign-up kwa kutumia akaunti yako ya...
Hivi wasanii tanzania wana chama chao?Kama kipo kitoke na tamko juu ya tuhuma hizi za madawa.Hii ni kashifa kubwa.Mnaweza kuona ni swala la Wema na wenzake lakini swala hili linaharibu na kuchafua...
Beyoncé just made a major announcement!
Here it is: Beyoncé is pregnant … with twins!
The singer delivered the news on Instagram with a stunning photo of herself with her hands on her baby...
Dah!! this is the ray c we used to know, safi sana, umekua zaidi ya mcharo, nasikia unataka kurudi kwenye bongo fleva ila nina ushauri before hujarudi ungejisalimisha mwenyewe kituoni ukawataje...
Kwanza kabisa naomba mnisamehe kwa wale nitakaowakera ...
Mimi ní mfuatiliaji mzuri wa celebrities forum ila kuna jambo najiuliza alafu sipati Jibu.Kuna baadhi ya watu hatuwajui hata majina...
Harmo Rapper yule msanii anayejifananisha na Harmonize yadaiwa alimnyanganya Demu presenta na DJ aitwae Msabato na jamaa huyo ameenda studio za EA radio kulalamika na kusema alimnunulia kila kitu...
Kaandika kupitia ukurasa wake wa facebook
[emoji116] [emoji116] [emoji116]
"Katika hili sakata la MAPAPA na MAPUNDA ya Unga kama kweli braza Paul yupo serious na sio 'Matango Pori'kama...
Lahaulaaaaa!!!!....Namkubali sana Babu yangu Ze King of all social network,Le Mutuz Nation,yeye hana shida na mtu...iwe mmeonana uso kwa uso au umemuona just mtandaoni tu...mtu Wa amani...
VIOJA VYA DADA YETU VINAENDELEA
WEMA AMZABA MAKOFI MENEJA WA HOTELI
DIVA wa filamu za Bongo ambaye pia ni Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu anasakwa na Jeshi la Polisi Kituo cha Kawe,Dar es Salaam...